[ad_1]
Rais wa zamani wa Ireland Mary Robinson amesema, “anaona aibu” kwa mjibizo ambao Umoja wa Ulaya (EU) umeonyesha kwa vita vinavyoendelezwa na Israel huko Ghaza, na akaukosoa umoja huo kwa kushindwa kusimamisha makubaliano yake ya kibiashara na utawala huo wa kizayuni licha ya wito uliotolewa wa kuutaka ufanye hivyo.
[ad_2]
BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Rais wa zamani wa Ireland: Nikiwa raia wa Ulaya 'naona aibu' kwa namna EU inavyoamiliana na Israel