Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi ameweka jiwe la MSingi katika soko la vitunguu linalojengwa Halmashauri ya Singida ambapo amesema uwepo soko hilo utabadilisha Madhari ya Manispa ya Singida na kukuza Uchumi wa Wakulima wa Vitungu mkoani hum sambamba na kutoa ajira zaidi ya Elfu 4000 kwa wakati Mmoja.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *