#MEZAHURU”…..elimu ya fedha ni ya msingi sana kwa mtu yeyote yule ambaye anatamani kufanikiwa kifedha, jambo la kwanza anatakiwa afahamu namna ya kupata pesa, kwa sababu mara nyingi tunapozungumzia elimu ya fedha watu huwa wanasema tu kuwa na nidhamu, lakini nitakuwaje na nidhamu ya kitu ambacho sijakipata…” CFE Kelvin Kibenje – Mkufunzi wa Elimu ya Fedha na Biashara.

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎#Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *