Serikali ya Sudan yaweka masharti ya kukubali juhudi za kimataifa za kusitisha mgogoro wa nchi hiyoSerikali ya Sudan yaweka masharti ya kukubali juhudi za kimataifa za kusitisha mgogoro wa nchi hiyo

[ad_1]

Serikali ya Sudan siku ya Jumamosi ilitangaza masharti ya msingi kwa ajili ya kukubali juhudi za kimataifa za kusitisha mgogoro unaoendelea nchini humo, ikisisitiza kuwa mpango wowote lazima uheshimu mamlaka kamili ya taifa na uhalali wa taasisi zake za kiserikali.

[ad_2]

BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *