[ad_1]
Utawala wa Israel ulitumia ndege za kivita kurusha makombora katika anga za mbali juu ya anga ya Saudi Arabia katika shambulio lake la hivi karibuni dhidi ya viongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Mapambano ya Ukombozi wa Palestina, Hamas, waliokuwa mjini Doha, mji mkuu wa Qatar.
[ad_2]
BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Ndege za kivita za Israel zilituma makombora ya anga za mbali juu ya Saudi Arabia kushambulia Doha