#MICHEZO:Katika jitihada za kupunguza changamoto za ajira miongoni mwa vijana, wadau wa sanaa nchini wameanzisha Shindano la Smart Gin Street Dancers lenye lengo la kubaini, kukuza na kuinua vipaji vya vijana sambamba na kuwapatia fursa ya kujikwamua kiuchumi kupitia sanaa ya uchezaji.
Akizungumza kuhusu shindano hilo Bi, Neema Kassote amesema kuwa Smart Gin Street Dancers ni shindano la kwanza kufanyika nchini Tanzania likiwa linahusisha vijana wenye vipaji vya kucheza miziki mbalimbali ambapo washindi wa shindano hilo watapata zaidi shilingi milioni 30 huku shindano likitarajiwa kufanyika katika mikoa nane, ikiwemo Morogoro, Mbeya, Njombe, Iringa, Dodoma pamoja na mikoa ya Kusini inayotarajiwa kuzinduliwa Februari 14, 2026.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania