đź”´HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
đź”´HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
đź”´HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
#HABARI: Idadi ya waliofariki kutokana na kuporomoka kwa jengo la shule nchini Indonesia imefikia 54, mamlaka imesema, huku waokoaji wakiendelea kutafuta zaidi ya watu kumi na wawili waliopotea. Mamia ya…
Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Mohammad Pakpour amesisitiza kuwa, Jeshi la Iran limejiandaa kikamilifu kutoa jibu thabiti na kali kwa chockochoko tarajiwa za…
Rais wa Marekani, Donald Trump amemkemea vikali Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa radimali yake hasi kwa jibu 'chanya' la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas kwa…
Ilikuwa siku ya Alhamisi Oktoba 2, 2025 wakati natoka kuswali swala ya Alasiri katika msikiti...
Zaidi ya familia 1,200 za Sudan zimefurushwa katika nyumba zao na mafuriko katika mji wa Bahri katika jimbo la Khartoum, Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) lilisema hayo jana Jumapili.
đź”´HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
#HABARI: Hali ilivyo kwenye Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Powered by #MCHEZOSUPA…
#MEZAHURU: “Matumizi umeme na miundombinu”. Tunaangalia juu ya matumizi ya umeme na miundombinu yake, Jinsi uboreshaji ulivyofanywa lakini hali ya wateja kulinda na kuithamini miundombinu ya umeme. Je, unashiriki vipi…
Serikali ilisema hakuna raia au afisa wa usalama aliyeuawa katika shambulio hilo la Jumamosi, ambalo lilidaiwa na kundi la wanamgambo wa al-Shabab
Jeshi la Polisi nchini limesema litawasaka, kuwakamata na kuwafikisha katika mamlaka za haki jinai wote wanaotumia mitandao ya kijamii kuandika, kutengeneza au kusambaza maandishi na picha zenye kuchochea vitendo vya…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 6, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
China imetangaza kuwa, kujitoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ndio chanzo cha mgogoro unaoshuhudiwa hivi sasa kuhusiana na kadhia ya nyuklia ya Iran.
đź”´HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema itaunga mkono uamuzi wowote wa watu wa Palestina na Muqawama kuhusu pendekezo la kusitisha mapigano Gaza linaloungwa mkono na Marekani, huku ikiionya…
Israel imeidhinisha mpango mpya wa makazi wa kunyakua ekari tisa za ardhi kutoka kijiji cha Wapalestina cha Kafr Qaddum, mashariki mwa Qalqilya kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi, afisa wa eneo…
Nchini Madagascar, maafisa wa usalama, wanatetea uamuzi wao wa kutumia nguvu dhidi ya waandamanaji vijana maarufu kama Gen Z kwa madai kuwa, wanazua vurugu, badala ya kuandamana kwa amani. Imechapishwa:…
Trump anasema ataendelea kufuatilia hali hiyo, akisema kuwa wakati ni muhimu.
Timu ya voliboli ya wanawake ya Iran iliigaraza Uzbekistan kwenye mashindano ya Kombe la Chalenji ya Wanawake wa Asia ya Kati (CAVA) jana Jumapili na kushinda taji hilo la kieneo…
đź”´KUMEKUCHA: 05, OKTOBA 2025
Ile siku Othman Masoud Othman, alipoteuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ilikuwa...
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), hakiwezi kuondoka...
Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC, Jumatatu hii inatazamiwa kutoa uamuzi wake dhidi ya kiongozi wa wanamgambo nchini Sudan anayetuhumiwa kwa makosa ya uhalifu wa kivita na uhalifu…
Ile siku ambayo Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, alikuwa...
đź”´MAGAZETI:HATIMA YA LISSU / FOLZ ANA SAA 24
#KIPIMAJOTO: Ahadi zinazotolewa katika Kampeni za wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Je, wananchi wanaridhika nazo?
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, ametangaza Baraza jipya la Mawaziri, litakaloongozwa na Waziri Mkuu SĂ©bastien Lecornu. Imechapishwa: 06/10/2025 – 05:31 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata…
Vyombo vya usalama nchini Madagascar, vimewatuhumu waandamanaji kwa kusababisha vurugu wakati wa maandamano ya tangu juma lililopita, vikisema matumizi ya nguvu walizotumia zilisababishwa na tabia zao. Imechapishwa: 06/10/2025 – 05:20…
Nchi ya Rwanda, imeukosoa utawala wa Kinshasa kwa kuendelea kukwamisha utekelezwaji wa baadhi ya vipengele muhimu vya mkataba waliotiliana saini hivi karibuni, utawala wa Kigali ukitoa sababu za kwanini pande…
đź”´TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 06, 2025
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi za Ulaya zimedhoofisha msimamo wao katika mchakato wa kidiplomasia unaolenga kutatua kadhia ya nyuklia ya Iran na…
Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem amekosoa mpango wa Rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu Gaza, na kuutaja kuwa ni hatua…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema anatarajia matokeo wiki hii kutoka katika mazungumzo ya amani yanayoanza leo Jumatatu nchini Misri kuhusu mpango wake wa kumaliza vita vya Gaza.
Bunge la Chad limeidhinisha kwa wingi mkubwa sana wa kura marekebisho ya katiba yanayoondoa ukomo wa mihula ya urais, na kurefusha muda wa kila muhula kutoka miaka mitano hadi saba,…
Ripoti mpya ya uchunguzi iliyotolewa inaonyesha kuwa shirika la ujasusi la utawala wa kizayuni wa Israel, Mossad ilihusika katika kutekwa nyara na kuuawa Waziri Mkuu wa zamani wa Italia Aldo…
Uchunguzi uliofanywa umebaini kuwa, waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ndiye aliyetoa idhini ya kufanywa mashambulio ya ndege zisizo na rubani yaliyolenga msafara wa kimataifa wa…
Uchunguzi uliofanywa umebaini kuwa, waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ndiye aliyetoa idhini ya kufanywa mashambulio ya ndege zisizo na rubani yaliyolenga msafara wa kimataifa wa…
Rais Vladimir Putin wa Russia amesema ikiwa Marekani itaipatia Ukraine makombora aina ya Tomahawk ili kufanyia mashambulio ya masafa marefu ndani ya Russia, hatua hiyo itapelekea kuvurugika husiano wa Moscow…
Leo ni Jumatatu tarehe 14 Mehr, 1404 Hijria Shamsia, sawa na tarehe 13 Rabiuthani, 1447 Hijria Qamaria, na inayosadifiana na Oktoba 6, 2025 Miladia.
Katika hatua iliyoratibiwa, viongozi wa nchi kubwa za Ulaya wamekaribisha jibu la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina (HAMAS) kwa mpango wa Trump kuhusu Gaza.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Syria, Noureddine al-Baba, amesema uchaguzi wa bunge nchini humo umekamilika katika vituo vyote vya kupigia kura bila tukio lolote la kuhatarisha usalama.
Rais wa Marekani Donald Trump aonesha utayari kuendeleza mkataba wa kudhibiti silaha za nyuklia kati ya Marekani na Urusi, kufuatia pendekezo la Rais Vladimir Putin la kuongeza muda wa mkataba…
Wajumbe wa Israeli na Hamas wanajiandaa kwa mazungumzo ya Misri, huku matumaini ya kusitishwa mapigano Gaza yakiongezeka baada ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kusema huenda kutakuwa na tangazo la kuachiliwa…
Vikosi vya serikali ya Somalia vimefanikiwa kumaliza mzingiro wa saa sita uliofanywa na wapiganaji katika gereza kubwa lililoko karibu na ofisi ya rais jijini Mogadishu, kwa kuwaua washambuliaji wote saba.
Ikiwa takribani mwezi mmoja baada ya kuanguka kwa serikali ya mrengo wa kati-kulia nchini Ufaransa, sehemu ya Baraza jipya la Mawaziri chini ya Waziri Mkuu mpya Sébastien Lecornu imaenza kutangazwa.
Mazungumzo ya usitishaji vita Gaza yafanyika Misri+++Wanaharakati wa Global Sumud Flotilla walalamikia kuteswa Israel+++Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha wananchi CUF nchini Tanzania, Profesa Ibrahim Lipumba ametaka mchakato wa uchaguzi…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Ujerumani yafanya mazungumzo mjini Kabul kuhusu kuwarejesha wahalifu nchini Afghanistan.
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Tabora, imewaachia huru kwa masharti, watu wawili waliokiri kuua...