Mgombea wa CCM Zanzibar: Hussein Ali Mwinyi
Rais Hussein Ali Mwinyi yuko kwenye mchakato wa kuwaomba Wazanzibari wampe muhula mwingine kuwaongoza. Dkt. Mwinyi ni mtoto wa aliyekuwa rais wa awamu ya tatu Zanzibar na awamu ya pili…
Rais Hussein Ali Mwinyi yuko kwenye mchakato wa kuwaomba Wazanzibari wampe muhula mwingine kuwaongoza. Dkt. Mwinyi ni mtoto wa aliyekuwa rais wa awamu ya tatu Zanzibar na awamu ya pili…
“Mkataba huo unalenga kutoa suluhu 1,000 za Kiafrika ili kukabiliana na changamoto za hali ya hewa katika nishati, kilimo, maji, usafiri na ustahimilivu ifikapo 2030,” iliongezea. Viongozi waliweka wazi kwamba…
Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Maradhi, (Africa CDC) kimetangaza kuwa, idadi ya watu wanaoshukiwa kuwa na ugonjwa hatari wa Ebola katika jimbo la Kasai kusini mwa Jamhuri ya…
Licha ya Israel kukosoa mashirika ya Umoja wa Mataifa kwa miaka miwili kwa kile ilichosema ni kushindwa kwa Umoja huo kukosoa mashambulizi ya Oktoba 7 mwaka 2023 yaliyofanywa na Hamas…
Zoezi hilo la kijeshi lililopewa jina la “Zapad 2025,” au “West 2025,” linafanyika katika mataifa yote mawili na litaedelea hadi siku ya Jumanne wiki ijayo. Luteka hiyo inanuiwa kuonyesha ushirikiano…
Mashitaka dhidi ya Machar yalimfanya kiongozi huyo kuondolewa katika wadhifa wake. Chama cha Machar cha SPLM-IO kilikanusha madai hayo pamoja na ya wanachama wengine 20. Madai yenyewe ni pamoja na…
Mauaji ya raia 71 yaliyofanywa na kundi la waasi wa ADF Jumatatu wiki hii mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yameibua hisia mseto za hofu na hasira miongoni mwa…
Bolsonaro, ambae mara zote amekuwa akikataa kuhusika na maovu ya aina yoyote anaweza kuukatia rufaa uamuzi uliotolewa. Kwa sasa yuko katika kifungo cha nyumbani mjini Brasilia. Majaji wanne kati ya…
Maandamano hayo yalimpelekea Waziri Mkuu aliyekuwepo Khadga Prasad Oli kujiuzulu na kuikimbia nchi. Maandamano hayo yalisababishamauaji ya watu 51 na kuwajeruhi zaidi ya watu 1,300 wakati polisi ikijizatiti kupambana na…
Riek Machar, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini amefunguliwa mashitaka ya mauaji, uhaini na uhalifu dhidi ya binadamu. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Msemaji wa polisi nchini Nepal Binod Ghimire amesema kuwa idadi ya vifo kutokana na maandamano yaliyofanyika wiki hii nchini humo imefikia watu 51. Watu hao wakiwemo waandamanaji 21, wafungwa tisa,…
Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa utaamua kupitia sanduku la kura kama unaunga mkono makubaliano yaliyokuwa yakifahamika kama “Azimio la New York,” linalolenga kufufua upya mpango wa kuwa…
#HABARI: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU Mkoa wa Ilala imefanikiwa kuokoa zaidi ya Shilingi Milioni 13 zilizotokana na vibali vya ujenzi kwenye mradi wa ujenzi wa…
Katika chapisho kwenye mtandao wa X Tusk amesema kuwa wangetamani kama shambulizi hilo la droni la Urusi dhidi ya Poland lingekuwa bahati mbaya lakini haikuwa hivyo na wanafahamu hilo. Mapema…
#HABARI: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza La Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi, amesema Madhehebu ya Dini yana Msaada mkubwa kwa Serikali katika juhudi za kudumisha Amani na Utulivu…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imelaani vikali ushirikiano wa Marekani na Israel katika shambulizi la anga dhidi ya Qatar na jaribio la mauaji dhidi ya viongozi wa…
Kampuni ya utengenezaji viberiti ya nchini Kenya – Match Masters Limited – imewasilisha shauri la dharura katika Mahakama ya haki ya Afrika Mashariki dhidi ya serikali ya Tanzania, ikipinga ushuru…
#MEZAHURU: Show za Dansi. Kumekuwa na tamaduni sasa ya show za dansi ndani ya Dar es Salaam kutokuwa na viingilio, ukinunua hata maji tu ya kunywa ndio kiingilia chako, wengine…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi ameyajia juu mataifa matatu ya Ulaya kwa mtazamo wao wa “kutowajibika” mkabala wa uchokozi wa hivi karibuni wa Marekani na Israel…
Chanzo cha picha, Reuters 11 Septemba 2025 Waziri Mkuu wa Poland Donald Tusk amesema ndege za Poland na nyingine za Nato zilidungua ndege kadhaa zisizo na rubani za Urusi ambazo…
Chanzo cha picha, JACQUELINE PENNEY/AFPTV/AFP via Getty Images Maelezo ya picha, Wengi wanaamini kuwa shambulio la Doha lilikuwa ni “ujumbe wa wazi” ambao Israel inaweza kulenga nchi nyingine za Kiarabu…
Friedrich Merz Kansela wa Ujerumani, amekosoa vikali mashambulizi ya utawala wa Israel dhidi ya Doha, Qatar na kutangaza kuwa, Berlin inasubiri matokeo ya mazungumzo na washirika wa Ulaya kuhusu kususia…
Chanzo cha picha, Reuters Dakika 9 zilizopita Vikosi vya Poland na NATO vilidungua ndege zisizo na rubani katika anga ya Poland siku ya Jumatano wakati wa shambulizi la anga la…
Mji mkuu wa Qatar Doha utakuwa mwenyeji wa mkutano wa dharura wa kilele wa mataifa ya Kiarabu na Kiislamu Jumapili na Jumatatu ijayo kuchunguza mashambulizi ya Wazayuni dhidi ya nchi…
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki Source link
Chanzo cha picha, IkuluZanzibar Maelezo kuhusu taarifa Author, Na Rehema Mema, Nafasi, Akiripoti kutoka Zanzibar Saa 3 zilizopita Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imewateua na kuwathibitisha wagombea urais 11 visiwani…
Chanzo cha picha, Getty Images Saa 2 zilizopita Arsenal imempa beki wa Ufaransa William Saliba nyongeza ya kandarasi ya miaka mitano huku ikiendelea kujadiliana na mchezaji huyo mwenye umri wa…
Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran amesema kuwa serikali, taifa na vikosi vya kijeshi vya Qatar vinapaswa kujua kwamba, Jamhuri ya Kiislamu na jeshi lake litaendelea kusimama upande wao…
#HABARI: Burkina Faso inasema imeanzisha mfumo wa visa bila malipo kwa raia wa Afrika, kwa nia ya kuwezesha usafirishaji wa watu na bidhaa ndani ya nchi. Uamuzi huo ulitolewa Alhamisi,…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mashambulizi ya anga ya Israel dhidi ya Doha yanadhihirisha kutozingatiwa kanuni na mifumo ya kimataifa. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Chanzo cha picha, Reuters Maelezo ya picha, Riek Machar Riek Machar amekuwa chini ya kizuizi cha nyumbani tangu Machi Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar amefunguliwa…
Hata hivyo, waziri mkuu huyo ambaye pia ndiye waziri wa mambo ya kigeni wa taifa hilo la Kiarabu, alithibitisha kwamba nchi yake isingelizilekeza juhudi za kukomesha vita vinavyokaribia miaka miwili…
#SWALILAKIPIMAJOTO: Kampeni za wagombea nafasi mbalimbali za uongozi kwa ajili ya uchaguzi Mkuu zinazoendelea . Je, kuwe na fursa za wagombea hao kuulizwa maswali?
Majai walisema rais huyo wa zamani alikula njama za kusalia madarakani licha ya kushindwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2022. Majaji wanne kati ya watano wa mahakama hiyo walisema kwenye hukumu…
Msemaji wa jeshi la majini la China , Leng Guowei, ameiita safari hiyo kuwa ni ya kawaida na hailengi kumtishia yeyote. Hata hivyo, serikali ya Taiwan imesema kuwa itachapisha muongozo…
Barua pepe zilizovuja zinaonesha kuwa Balozi Peter Mandelson alikuwa akiwasiliana na kumuunga mkono Epstein, akimueleza kuwa hukumu dhidi yake ilikuwa batili na kwamba lazima ipingwe. Waziri wa Mambo ya Nje…
Mahakama moja mjini Johannesburg Afrika Kusini imewahukumu raia saba wa China kifungo cha miaka 20 jela kila mmoja kia mmoja baada ya kuwapata na hatia ya magendo ya binadamu. Raia…
Akizungumza kwenye mahojiano na kituo kimoja cha televisheni siku ya Alhamis (Septemba 11), Araghchi alisema Shirika la Nishati ya Atomiki la nchi hiyo linaendelea kutathmini hali na upatikanaji wa shehena…
Akizungumza kupitia ujumbe uliorushwa kwa njia ya televisheni, afisa wa ngazi wa juu wa Hamas, Fawzi Bahroun, alisema siku ya Alhamis (Septemba 11) kwamba mashambulizi ya Israel yaliyokusudiwa kuwauwa viongozi…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza kuwa, zaidi ya watu laki moja wanaendelea kutaabika na njaa katika maeneo ya kuwahifadhi wakimbizi ya shirika hilo…
Waziri Mkuu wa Qatar Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al-Thani amelaani mashambulizi ya juzi ya Israel dhidi ya Doha na kuyataja kuwa ni “ugaidi wa kiserikali,”. Amesema kuwa Waziri Mkuu…
Idadi ya wafanyakazi wa misaada waliotekwa nyara nchini Sudan Kusini imeongezeka zaidi ya mara mbili mwaka huu. Takwimu hii imetolewa na maafisa wawili waandamizi wa masuala ya kibinadamu wanaofanya kazi…
SK2 / S02S12.09.202512 Septemba 2025 Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kupiga kura leo kuamua iwapo litaunga mkono azimio kuhusu suluhisho la mataifa mawili ya Israel na Palestina bila…
Mwandishi mmoja wa Kiingereza amekiri kwamba vyombo vya habari vya nchi za Magharibi vinaathiriwa na ushawishi wa utawala katili wa Israei katika kuripoti jinai za utawala huo dhidi ya watu…
Makamu wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, ameshtakiwa kwa “ugaidi na uhaini,” Wizara ya Sheria ya Sudan Kusini imetangaza katika taarifa yake siku ya Alhamisi, Septemba 11. Riek Machar,…
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao na Mufti Mkuu wa Tunisia kwamba: “Kukomeshwa mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni huko Gaza…
Nchini Côte d’Ivoire, siku moja baada ya kukataliwa kugombea urais, rais wa zamani Laurent Gbagbo amepokea wapinzani wengine kadhaa mnamo Septemba 10, 2025. Miongoni mwao ni Pascal Affi N’Guessan wa…
Rais wa zamani wa mrengo wa kulia wa Brazil Jair Bolsonaro amehukumiwa siku ya Alhamisi, Septemba 11, kifungo cha miaka 27 jela kwa jaribio la mapinduzi ya kijeshi, kwa kujaribu…