Kisa Rio… Mrisho Ngassa afufua kumbukumbu za Seattle
MARA nyingi matukio makubwa katika soka huacha kivuli ambacho huendelea kuishi kwa miaka mingi. Alhamisi ya Mei 20, 2026 jijini Dodoma, kivuli hicho kilijitokeza upya wakati ambapo Mrisho Ngassa alipokutana…