RSF yadaiwa kuwashambulia wakaazi wa El-Fashir, Sudan
Mji wa al-Fashir katika mkoa wa Darfur, Sudan, unazidi kuwa kitovu cha maafa makubwa ya kibinadamu baada ya mashambulizi ya droni na mizinga yaliofanywa na vikosi vya kundi la RSF,…
Mji wa al-Fashir katika mkoa wa Darfur, Sudan, unazidi kuwa kitovu cha maafa makubwa ya kibinadamu baada ya mashambulizi ya droni na mizinga yaliofanywa na vikosi vya kundi la RSF,…
#HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam Oktoba 22, 2025 siku ya Jumatano saa tatu kamili asubuhi inatarajia kutoa uamuzi juu ya mapingamizi manne ya kupinga…
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga alizikwa siku ya Jumapili nyumbani kwake magharibi mwa Kenya. Wengi wamemtaja kuwa mwanasiasa hodari, mzalendo na mwanamajumui.
Zaidi ya mabinti 2,700 wamenusurika kukeketwa mkoani Mara katika kipindi cha miaka minane...
Wachezaji wa La Liga wamefanya maandamano ya kimya kimya kwa kusimama kwa sekunde 15 za mwanzo za mechi zao kama ishara ya kupinga uamuzi wa ligi hiyo kuandaa mechi moja…
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mkoa wa Dodoma imetoa wito kwa wananchi...
đź”´MEZA HURU: SHERIA MKONONI...OKTOBA 20, 2025
Wasiwasi umejiri kuhusu meneja wa Liverpool Arne Slot baada ya kufungwa nyumbani na Manchester United, ikiwa wapoteza mechi ya nne mfululizo katika mashindano yote.
Shirika la Umoja wa Mataifa ka Utabiri wa Hali ya Hewa Duniani WMO linaongeza kasi ya jitihada za kulinda maisha ya watu dhidi ya madhara ya mabadiliko ya tabianchi. Mkutano…
Umoja wa Mataifa nchini Yemen leo umethibitisha kwamba wafanyakazi wote waliokuwa wkishikiliwa katika kituo cha Umoja wa Mataifa mjini Sana’a sasa wameachiliwa kuwa huru, baada ya mvutano ulioendelea kwa siku…
Nchini Sudan Kusini, matumaini mapya yamechipua baada ya watoto waliokuwa wametumikishwa kwenye jeshi la nchi hiyo, SSPDF kuachiliwa rasmi katika hafla iliyoungwa mkono na Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo (UNDP) nchini Tanzania limeelezea jinsi warsha mbili ilizoendesha katika mikoa ya Tanga na Mtwara kuhusu dhana ya uchumi rejeshi zimeanza kuzaa…
Katika ripoti yake kali iliyotolewa leo jijini New York Marekani, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amebainisha mbele ya historia kuhusu haki za wanawake wakati wa migogoro.
Kushikilia mstari wa mbele wa mfumo wa kimataifa wa biashara unaotegemea kanuni bado ni changamoto muhimu ikiwa dunia inataka kuzuia vita vya ushuru vinavyoharibu uchumi, amesema afisa mkuu wa Mkutano…
đź”´HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 20, 2025
Hitilafu iliyotokea katika huduma za Amazon Web Services (AWS) leo Jumatatu Oktoba 20, 2025...
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imeshauriwa kuanzisha masomo ya amani, uzalendo na...
Sean Dyche huenda akatangazwa kuwa kocha mkuu mpya wa Nottingham Forest baada ya mazungumzo...
Leo Jumatatu Oktoba 20, 2025 Jamhuri imefafanua hoja moja baada ya nyingine na kuhitimisha kwa...
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu, amesema mkoa huo umejiandaa kwa kuhakikisha Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 unafanyika kwa amani na utulivu. Amesema maandalizi yote muhimu…
Klabu ya Yanga nchini Tanzania iko kwenye hatua ya mpito baada ya kuachana na kocha mkuu Romain Folz kwa makubaliano ya pande zote kufuatia matokeo yasiyoridhisha ikiwemo kipigo dhidi ya…
Magonjwa yasiyoambukizwa, yakiwemo ya moyo na kisukari, yameelezwa kuendelea kushamiri mkoani Lindi. Kutokana na hali hiyo, wakazi wa mkoa huo wameaswa kujitokeza kwa wingi kupata vipimo na matibabu ya kibingwa…
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Iringa limewahakikishia wananchi kuwa kuanzia sasa majanga ya moto na ajali yatadhibitiwa ipasavyo kutokana na uwepo wa mitambo ya kisasa. Kamanda wa Jeshi hilo…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemkabidhi mjane Alice Haule hati ya umiliki wa nyumba waliyoimiliki na marehemu mumewe Justice Rugaibura, iliyokuwa katika mgogoro na Mohamed Mustapha.…
Rais wa Marekani Donald Trump anamshinikiza rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kusalimisha baadhi ya maeneo ya nchi yake kwa Urusi.
Makundi ya wenye itikadi kali katika eneo la Sahel barani Afrika yameongeza mara mbili wigo wa mashambulizi yao katika miaka ya hivi karibuni na sasa wanafanya operesheni katika eneo lenye…
đź”´HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 20, 2025
Israel imeanza kuruhusu misaada kuingizwa tena katika Ukanda wa Gaza.
#HABARI: Mgombea wa Ubunge Jimbo la Bukene kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Luhende, ameendelea na kampeni za kunadi sera kwa wakazi Kata ya Semembela iliyopo katika jimbo hilo akiahidi…
Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema, miundomsingi ya makombora na ulinzi imebaki imara kama ilivyokuwa kabla ya Vita vya Siku 12 na kubainisha kwa…
Mkwe wa Rais Donald Trump wa Marekani, Jared Kushner, ambaye ni mmoja wa wapatanishi wake wakuu katika mpango wa kusitisha mapigano Ghaza, amesema harakati ya Palestina ya Hamas imekuwa "ikitekeleza…
Israel imeanza tena kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingia katika ukanda wa Gaza baada ya hapo awali kusitisha uingizwaji wa misaada hiyo kufuatia madai kwamba kulikuwa na mashambulizi ya kigaidi dhidi…
Wanamgambo wa itikadi kali katika kanda ya Sahel barani Afrika wamezidisha maradufu mashambulizi yao katika miaka ya hivi karibuni.
Walinzi wa Pwani ya Italia wamewaokoa wahajiri 91 na kuopoa miili ya watu wengine wawili kutoka kwenye mashua iliyokuwa hatarini kupeperushwa kwenye pwani ya Kisiwa cha Lampedusa katika Bahari ya…
EL CLASICO Jumapili hii katika dimba la Santiago Bernabeu itapigwa EL Clasico, Real Madrid wakiwa wanaongoza msimamo wa Laliga wakiwa na alama 24 wanawakaribisha mahasimu wao FC Barcelona ambao wapo…
đź”´HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, OKTOBA 20, 2025
Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Tingatinga, wilayani Longido, mkoani Arusha, wameeleza kupata matumaini mapya kuhusu elimu ya amali baada ya wanafunzi wa shule hiyo kubuni njia ya kutengeneza…
#HABARI: Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, amemkabidhi mjane Bi. Alice Haule hati miliki ya kiwanja ilipo nyumba pamoja na kiasi cha shilingi milioni 10 kwa ajili…
Tom Barrack, balozi wa Marekani nchini Uturuki na mjumbe maalumu wa masuala ya Syria, ametoa onyo la kutisha kwa Lebanon akiitaka ama iipokonye silaha Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya…
Rais wa Marekani Donald Trump ametoa wito kwa Russia na Ukraine kusimamisha vita katika mstari wa mapigano zilipo hivi sasa, pendekezo ambalo litaiwezesha Moscow kuhodhi sehemu kubwa ya maeneo ya…
Msanii mkongwe nchini, Feruz Mrisho 'Ferooz' amejitapa kurudi katika gemu la muziki kama...
"Mwajiri yoyote ambaye hatotekeleza agizo la serikali la kuongeza kima cha chini cha mshahara, wafanyakazi wanaweza wakamshtaki katika mamlaka husika na jambo hili litatekelezwa hata kwa wale wasio na mkataba...,"…
Jeshi la polisi limesema litatumia mfumo mpya wa kidijitali katika ukaguzi wa vyombo vya moto katika wiki ya nenda kwa usalama barabarani, utakaorahisisha mchakato mzima wa ukaguzi wa vyombo hivyo…
Mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Basketball Africa League (BAL), Dar City, imefuzu hatua ya 16 bora ya mashindano hayo ya bara la Afrika, ambayo yanatarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu…
Kwa takribani miaka 15 katika muziki wa Bongo Fleva, Darassa, ambaye anasimamiwa na menejimenti...
Maafisa wa uhamiaji walikuwa ni wanaume watupu walionekana kuwa makini sana, walimchukua Muddy hadi katika chumba maalumu kwa ajili ya mahojiano wakitaka kujua undani wa safari yake kuja Uholanzi...
Mkongwe wa muziki Jose Chameleon kutokea nchini Uganda amekata mzizi wa fitina kuhusiana na...
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, Kamati imehitimisha kuwa umiliki wa kiwanja namba 189 Msasani Beach...
Morocco imetwaa ubingwa wa Kombe la Dunia la Vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya kuibuka...
Nahodha na mshambuliaji wa kikosi cha wakubwa cha Argengina, Lionel Messi, ametuma ujumbe wa...