Samia atoa matumaini ununuzi wa mahindi
Agizo hilo la Samia limetokana na ombi la mgombea ubunge wa Sumbawanga, Mapinduzi Hilaly...
Agizo hilo la Samia limetokana na ombi la mgombea ubunge wa Sumbawanga, Mapinduzi Hilaly...
š“HAPA NA PALE KUTOKA TABORA: OKTOBA 19, 2025 - WAZEE WALALAMIKIA KUNYANYAPALIWA KUPATA MATIBABU
Wakulima na wafugaji Nyanda za Juu Kusini, wameshauriwa kutumia vyema vipindi vya mvua za...
Viongozi mbali mbali walishuhudia maziko ya Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga yaliyosindikizwa kwa mizinga 17 na heshima kamili ya kijeshi.
#HABARI: Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango, ametoa wito kwa taasisi za dini kutambua wajibu wa kuendelea kusimama katika nafasi yake ya kuombea taifa, kufundisha imani ya…
MICHUANO ya Swing ya Gofu ya Afrika Mashariki imewafuta vumbi la macho washiriki kutoka Tanzania ambao walifanya vizuri katika hatua za awali, lakini wakajikuta wakimaliza nyuma ya wale waliofanya vizuri…
Benki ya CRDB imeingia ubia wa kimkakati wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 300 na taasisi tatu za kimataifa ili kukuza ujasiriamali, kuimarisha biashara na kuboresha makazi katika mataifa…
#HABARI: Mbunge wa Viti Maalum mstaafu, Felista Njau, ameibuka mkoani Tabora na kuendesha kampeni kwa kutumia Baiskeli, akihamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29 na kumpigia kura Mgombea…
Hati za makubaliano hayo zilisainiwa wakati wa jukwaa la wabia na wawekezaji lililofanyika...
Mwamba amefika nyumbani na tunatamba naye. Huyu ni mgombea mwenza, mtoto wetu, akafanye kazi...
Mwenyekiti wa Marema, Elisha Mnyawi akizungumza wakati wa kukabidhi misaada hiyo leo Oktoba 19,...
#HABARI: Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imepokea karatasi za kupigia kura 717,557 kutoka kwa wakala wa uchapaji wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kwa ajili ya uchaguzi Mkuu utakaofanyika…
Mgombea wa urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itaendelea kununua mahindi kutoka kwa wakulima wa Mkoa wa Rukwa na maeneo…
#HABARI: Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali imejipanga kuanzisha gridi ya taifa ya maji,…
Katika kijiji kimojawapo wilayani Chalinze, sauti ya kicheko cha Mwanaidi Seleman bibi mwenye...
IHH imeanza kazi ya kuondoa magofu na usafi wa mazingira katika Ghaza, ambayo imepata uharibifu mkubwa kutokana na mashambulizi ya vita ya Kiisraeli.
#HABARI: Vyombo vya Ulinzi na Usalama mkoani Tanga, vimeanza kuimarisha ulinzi katika maeneo tofauti, ikiwemo Mpakani Mwa nchi jirani ya Kenya, kufuatia Jeshi la Polisi kubaini kuwepo kwa mtandao wa…
Je, waraka wa kurasa 4 ambao umesainiwa na viongozi katika vyumba vya mikutano unaweza kweli kubadili maisha ya wanawake na wasichana vijijini?
Mgombea ubunge wa Jimbo la Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amewataka wafanyabiashara wa ndani kuchangamkia fursa ya kuuza mahindi nchini Malawi, ambayo kwa sasa inakabiliwa na uhaba…
Majukwaa mbalimbali ya kidijitali na mitandao ya kijamii yakitumika vizuri, yanaweza kukupatia maarifa na hata kipato. Msikilize Mtaalam na Mwelekezi wa Mitandao ya Kijamii, Samson Mbembela akielezea namna ya kuyatumia…
Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Uswidi amesisitiza kwamba Troika ya Ulaya imetokomeza uwezo wake wa kuwa na nafasi huru katika eneo la Asia Magharibi kwa kurejesha vikwazo…
#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Aesh Hilaly amewaomba Wananchi wa Sumbawanga na Watanzania kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imekanusha vikali madai yaliyomo katika taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kwamba harakati hiyo imekiuka makubaliano ya kusitisha mapigano…
Jenerali Abdel-Fattah al Burhan, Mkuu wa Baraza la Utawala wa Sudan amesema jeshi la nchi hiyo liko tayari kwa mazungumzo ya "kumaliza vita na kurejesha umoja na heshima ya nchi…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar imetangaza kuwa Pakistan na Afghanistan zimekubaliana kusitisha mapigano mara moja katika mazungumzo yaliyofanyika Doha.
Chama tawala nchini Zimbabwe cha ZANU-PF kimesema kitaanzisha taratibu za kurefusha muhula wa Rais Emmerson Mnangagwa kwa miaka miwili zaidi, na hivyo kumfanya aendelee kukaa madarakani hadi 2030.
MATAJIRI wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC, imeanza vyema tiketi ya kuisaka hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya juzi kuibuka na ushindi wa mabao…
Serikali ya Israel imesema leo kuwa Hamas imekabidhi mabaki zaidi ya mateka wa Israel, huku kucheleweshwa kupatikana kwa miili iliyozikwa chini ya vifusi katika eneo la Gaza kukitishia makubaliano ya…
š“TAMASHA LA MICHEZO, OKTOBA 19, 2025
Arteta amwagia sifa Leandro Trossard, aisubiri Atletico Madrid Kocha mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta amempongeza Leandro Trossard kwa kitendo cha kuisaidia timu hiyo kuibuka na ushindi muhimu dhidi ya Fulham,…
Hafla ya mazishi ya aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga inaendelea nyumbani kwake Siaya Bondo huku kukiwa na ulinzi mkali kufuatia vurugu mbaya zilizotokea katika mji mkuu wa nchi…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Hajat Fatma Mwassa, ametoa onyo kwa Madereva wanaoendesha Magari yanayofanya kazi za kubeba abiria katika maeneo mbalimbali yaliyoko mkoani humo, wanaotumiwa kuwasafirisha watoto wadogo…
Vikosi vya Ukraine vimedungua droni 40 kati ya 62 za aina mbalimbali zilizorushwa na Urusi usiku kucha. Haya yameripotiwa na jeshi la anga la Ukraine leo Jumapili kupitia mtandao wa…
KIPIGO cha bao 1-0 ilichopokea Yanga juzi Jumamosi katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya pili, ilihitimisha simu 315 sawa na miezi 10 na siku 11 kwa kikosi…
Msikilize mwanasheria wetu akifafanua jinsi mjukuu anavyoweza kurithi mali za babu au bibi yake kisheria. #AzamTVUpdates #SheriaUpdates
Zikiwa zimesalia siku 10 kufikia Oktoba 29, 2025 ili Watanzania wapige kura, Tume ya Uchaguzi...
Wahamiaji na wanaharakati wa haki za binadamu, waliandamana jana mjini Rome, Italia kupinga makubaliano ya uhamiaji kati ya nchi hiyo na Libya.
China imeishtumu idara ya Usalama wa Kitaifa ya Marekani kwa kutekeleza shambulizi la mtandao kwenye kituo chake cha kitaifa cha Kusimamia usahihi wa saa kwa sekta kama vile za mawasiliano.
Azimio lililopitishwa katika kongamano la kila mwaka la chama linaelekeza serikali "kuanzisha marekebisho ya sheria yanayohitajika" ili kutekeleza mpango huo.
Wakulima wa zao la pamba wilayani Maswa, mkoani Simiyu, wamekabidhiwa matrekta 50 yaliyotolewa...
#HABARI: Wakati zoezi la kusaka kura kwa vyama vya siasa likiendelea katika maeneo mbalimbali nchini, Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia Mgombea Mwenza Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa…
Taarifa ya awali ya jeshi ilisema maafisa 16 wamekamatwa kwa "maswala ya utovu wa nidhamu''.
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, amesema endapo atapewa ridhaa ya kuongoza serikali, atahakikisha anajenga kiwanda cha saruji mkoani Mwanza ili kupunguza gharama za…
Wapiga kura katika Jamhuri ya Uturuki ya Kupro ya Kaskazini (TRNC) walishiriki katika duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais, na uwezekano wa kurudiwa kwa uchaguzi ikiwa hakuna mgombea atakayeshinda…
Simba ipo ugenini katika Uwanja wa Somhololo leo huko Eswatini ambako kuanzia saa 10:00 jioni...
#HABARI: Mtoto wa Hayati Dkt.John Magufuli, Bi. Jesca Magufuli yupo nchini Kenya kushiriki ibada ya mazishi ya aliyekuwa kiongozi wa upinzani, hayati Raila Odinga. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI…
Mbeya. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya (MNEC), Ndele...
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England, Liverpool watashuka dimbani leo kuvaana na Mashetani...