Haya ndio mazoezi yatakayosaidia mwili wako kuwa mwepesi
Haya ndio mazoezi yatakayosaidia mwili wako kuwa mwepesi. @mcjojo__ ✍Juliana James Mhariri | @claud_jm #AzamTVUpdates
Haya ndio mazoezi yatakayosaidia mwili wako kuwa mwepesi. @mcjojo__ ✍Juliana James Mhariri | @claud_jm #AzamTVUpdates
Matamshi ya Burhan yalikuja kabla ya mikutano ya pande nne iliyopangwa mjini New York kushinikiza suluhu la amani la vita nchini Sudan.
Samia anatarajiwa kufanya mkutano mmoja, baada ya jana kufanya mikutano mitatu mkoani Katavi na...
Mamia ya waombolezaji wakiongozwa na Rais wa Kenya, William Ruto wamejitokeza kwenye shughuli ya kuaga mwili wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya na kiongozi wa upinzani nchini humo, Raila…
Odinga alifariki Jumatano, Oktoba 15, alipokuwa akipatiwa matibabu katika hospitalini huko...
#HABARI: Wananchi wa Kata ya Ng'anzo wilayani Bukombe mkoani Geita, waliokuwa wakilazimika kutembea umbali wa zaidi ya Kilometa 20, kutafuta huduma za Mahakama wameondokana na adha hiyo baada ya serikali…
Rais Donald Trump wa Marekani amebadilisha ghafla msimamo wake wa kutuma makombora ya cruise ya Tomahawk kwenda Ukraine.
Alidai Heche amezuiwa mpaka wa Tanzania na Kenya wa Sirari Wilaya ya Tarime akibainisha kwamba...
Kocha mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta amempongeza Leandro Trossard kwa kitendo cha kuisaidia timu...
Dakika 18 baada ya kupoteza kwa mabao 3-0 dhidi ya Chelsea katika mechi ya Ligi Kuu England...
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, Esmaeil Baghaei amelaani ukiukaji wa mara kwa mara wa makubaliano ya usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza unaofanywa na utawala ghasibu…
Iran, China na Russia zimemwandikia barua ya pamoja Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, kuthibitisha kumalizika muda wa Azimio Nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC)…
Kikosi cha Wanaanga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kimezindua makombora yaliyoboreshwa ya Emad na Ghadr katika miji ya makombora ya chini ya ardhi.
Tume Kuu ya Uchaguzi ya Libya (HNEC) imetangaza kuanza kwa uchaguzi wa serikali za mitaa katika manispaa 16 nchini kote. Uchaguzi huo ulipaswa kufanyika mwezi Agosti.
María Corina Machado, kiongozi wa upinzani wa Venezuela na Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel ametoa shukrani zake za dhati kwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kwa maamuzi…
Kwa wapenzi wa muziki wa dansi kuanzia miaka ya 1951 jina la mwanamuziki Franco Makiadi wa...
#HABARI: Moto ambao uliwashwa kwa ajili ya kusafisha mashamba maeneo ya Kipalapala Mashariki, Kata ya Itetemia Manispaa ya Tabora, umepeperushwa na upepo na kuteketeza nyumba moja ya muhudumu wa Afya…
#MICHEZO: Baada ya jana timu ya Silver Strikers ya Malawi kuwafunga Yanga goli 1-0, imani ya wachezaji na benchi la ufundi imekuwa kubwa kuelekea mechi ya marudiano tarehe 25. Hizi…
Msanii Elizabeth Michael maarufu Lulu. Ni mtu mwenye haiba ya kipekee, mchapakazi, jasiri na...
#HABAI: Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC), imewalipa Shilingi bilioni 1.6 wananchi 213 wa Kijiji cha Mpeta Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma, wanaopisha utekelezaji wa mradi wa SGR kipande cha…
Kwa kutumia lugha ya kiungwana na sura zenye mvuto, wanawake hawa hujifanya wa heshima na wa...
Makala yanajadili baadhi ya siri ambazo si busara kumweleza mwenza wako, hasa kwa wale walio...
Wanandoa wanaopigana wana tofauti gani na hayawani? Hupata faida au burdani gani? Hujenga...
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 19, 2025
Watoto wanapopata usalama wa kihisia kutoka kwa wazazi wao, hujenga misingi imara ya kujiamini...
Mwanasiasa mkongwe na mashuhuri barani Afrika Raila Odinga atazikwa leo nyumbani kwake Bondo.
🔴KUMEKUCHA: MATAWI YA CHUO KIKUU MIKOANI...OKTOBA 19, 2025
🔴#MAGAZETI: SAMIA KUPELEKA BIASHARA KIMATAIFA/ YANGA YAPOTEZA UGENINI.....OKTOBA 19, 2025
#SWALILAKIPIMAJOTO: "Ombi la Shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu kuhusu kuboreshewa vituo vya kupigia kura. Je, linatekelezwa mapema kuwawezesha kupigakura bila vikwazo?
Ukiangalia kichwa cha somo hapo unaweza usielewe lakini ndio programu ya mwisho ya Mungu...
Mbunge mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon Hizbullah amesisitiza kuwa, vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya maeneo ya kusini mwa Lebanon vingali vinaendelea kwa…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa haitajifunga moja kwa moja kukabidhi silaha na inatumai usitishaji vita na utawala wa kizayuni wa Israel utadumu kwa muda wa…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa haitajifunga moja kwa moja kukabidhi silaha na inatumai usitishaji vita na utawala wa kizayuni wa Israel utadumu kwa muda wa…
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imekataa ombi la utawala wa kizayuni wa Israel la kukata rufaa dhidi ya hati za kukamatwa waziri mkuu wake Benjamin Netanyahu na aliyekuwa waziri…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuwa umoja huo ulioanzishwa miaka 80 iliyopita unaweza kufilisika ikiwa nchi wanachama hazitolipa michango yao kwa ukamilifu.
Wakati ripoti zikionyesha kuwa Pentagon inatayarisha machaguo ya kijeshi dhidi ya Venezuela, Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM), ambayo inaundwa na zaidi ya nchi 120, imeonya…
Leo ni Jumapili 26 Mfunguo Saba Rabiuthani 1447 Hijria mwafaka na 19 Oktoba 2025 Miladia.
Israel yapokea miili ya mateka wawili zaidi kutoka kwa Hamas+++Aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga kuzikwa kwao Siaya, Bondo+++Urusi na Ukraine zashambuliana kwa droni usiku kucha+++Maandamano yafanyika Rome juu…
Raila Odinga azikwa nyumbani Bondo baada ya ibada ya mazishi+++Hamas yakanusha kuhusika na mashambulizi dhidi ya vikosi vya Israel+++IAEA: Urani iliyorutubisha ya Iran inashikiliwa katika maeneo yanayojulikana ++++Trump amshtumu rais…
KIUNGO Pacome Zouzoua alijiunga na kikosi cha Yanga nchini Malawi na kucheza mechi ya hatua ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Silver Stricker leo Jumamosi Oktoba 18,2025…
KOCHA Mkuu wa KMKM, Hababuu Ali, amesema licha ya kupoteza mechi ya kwanza kwa kuchapwa mabao 2-0 dhidi ya Azam, ila hajakata tamaa wakati miamba hiyo itakaporudiana Oktoba 24, 2025…
LICHA ya Azam kushinda mabao 2-0 katika mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya KMKM, ila kocha wa timu hiyo raia wa DR…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Romain Folz, amezungumzia kwa uchache sababu ya kipigo cha bao 1-0 ilichopokea timu hiyo leo Oktoba 18, 2025 kutoka kwa Silver Strikers huku kubwa zaidi akisema…
Uongozi wa Klabu ya Yanga umevunja rasmi mkataba na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Romain Folz, ambaye amejiunga na timu hiyo mwanzo wa msimu.
#HABARI: Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimetoa taarifa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho John Heche amewekwa kizuizini, taarifa iliyosainiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano Brenda Rupia, imeeleza kuwa Heche…
#HABARI: Tamko la kamishna Jenerali wa Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya (DCEA), la kuwataka waathirika wa dawa hizo kujitokeza kupata tiba bila kukamatwa, linaendelea kupongezwa na…
Yanga imefikia uamuzi wa kuachana na kocha huyo baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0 kutoka...
#HABARI: Mbunge wa viti maalum mstaafu kupitia CHADEMA, Felista Njau, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amevunja mfumo dume kwa vitendo na kuwataka wanawake wa Mkoa wa Mara kujitokeza kwa…
Maafisa usafirishaji (boda boda na bajaji) zaidi ya 1,000 wa jimbo la Mtumba mkoani Dodoma wamefanya maandamano ya kuweka wazi azma yao ya kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29.…