š“TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI …OKTOBA 20, 2025
š“TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 20, 2025
š“TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 20, 2025
Gavana wa chama cha Democratic huko California amekosoa maonyesho ya kijeshi ya Trump ambayo yalisababisha kufungwa barabara kuu, akiyataja kuwa ni ishara ya Rais kutanguliza mbele "kiburi kuliko uwajibikaji."
Mamilioni ya Wamarekani waliingia mitaani katika maandamano ya nchi nzima wakiimba "No Kings" kupinga muhula wa pili wa rais Donald Trump na kile wanachokiita "mienendo yake ya kimabavu."
Leo ni Jumatatu tarehe 27 Rabiu Thani 1447 Hijria sawa na Oktoba 20 mwaka 2025.
Gavana wa Darfur, magharibi mwa Sudan, Minni Arko Minawi, amesema kuwa mashambulizi ya Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) dhidi ya El Fasher, mji mkuu wa jimbo la Darfur Kaskazini,…
Deni la umma la Marekani limefikia kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika historia ya nchi hiyo, ambapo sasa deni hilo linatajwa kufika trilioni 37.9.
Huku msaada wa kibinadamu unaohitajika ukisalia kuwa haba huko Gaza, waanchi wa Misri wametaka kufunguliwa tena kivuko cha mpakani cha Rafah kwa ajili ya kuingiza misaada neo la Ukanda wa…
Israel imeanza tena kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingia katika ukanda wa Gaza// Rais wa Marekani Donald Trump amemtaka mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelensky kukubaliana na masharti ya Urusi ili kumaliza…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Jeshi la Israel limetangaza siku ya Jumapili jioni, Oktoba 19, kwamba litasitisha mashambulizi yake katika Ukanda wa Gaza, kwa mujibu wa usitishaji mapigano, baada ya kutekeleza makumi ya mashambulizi mabaya,…
Rais wa Marekani ametangaza siku ya Jumapili, Oktoba 19, mwisho wa msaada wa kifedha wa Marekani kwa Bogota, akimshutumu mwenzake wa Colombia, Gustavo Petro, kwa kushindwa kukabiliana na biashara ya…
Watu wenye silaha wamevamia Jumba la Makumbusho la Louvre siku ya Jumapili asubuhi, Oktoba 19, katika ufunguzi wa Makumbusho ya Louvre, wakati ambapo vito vya “thamani ya bei nafuu” viliibiwa,…
Makubaliano ya usitishwaji mapigano katika Ukanda wa Gaza yametishiwa siku ya Jumapili, Oktoba 19, baada ya jeshi la Israel kusema kuwa limefanya mashambulizi ya anga katika eneo la kusini mwa…
Raila Odinga sasa amepumzika pamoja na babake katika kaburi la familia huko Bondo. Katika mji huu wa magharibi mwa Kenya, ambapo mazishi yake yalifanyika siku ya Jumapili, Oktoba 19, hisia…
Kijana Issa Mfaume (31), ambaye kwa muda mrefu amekuwa kitandani kutokana na changamoto za kiafya baada ya kuangukiwa na gogo akiwa kwenye shughuli za kuchana mbao mwaka 2014, ameonesha mfano…
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimetoa wito kwa walimu kote nchini kujitokeza kwa wingi kushiriki katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu, sambamba na kuhamasisha wananchi kuhusu umuhimu…
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeliengua katika mchakato wa...
#HABARI: Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga, amezikwa nyumbani kwao Bondo, Kaunti ya Siaya huku akitajwa kama kiongozi shupavu aliyepigania haki na Demokrasia. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI…
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU) Bw.Majalio Kyara, amesema endapo atapata nafasi hiyo atahakikisha wakulima kwenye mashamba ya…
Amesema ndani ya siku 100 zijazo, atahakikisha kupitia ushirikiano na serikali, biashara zote...
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga limewahakikishia wananchi wa mkoa huo Amani na Utulivu siku ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, na kuwataka wajitokeze kwa wingi kutumia haki yao…
š“TAARIFA YA HABARI YA USIKU OKTOBA 19, 2025 - ZEC YAPOKEA KARATASI ZA KUPIGIA KURA
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) mkoani Kilimanjaro, limewataka wananchi kutambua...
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk Alex Malasusa, na Askofu wa...
Mgombea urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu, amesema endapo...
#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Arusha,Cecilia Paresso, amesema Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekua chachu ya wanawake wengi kugombea nafasi za Uongozi kutokana na uongozi wake thabiti na…
Amesema miradi ya maji safi na salama kupitia mpango huo wa gridi ya taifa itamaliza kabisa...
Kamishina wa Elimu katika Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk Lyabwene Mtahabwa...
Akimzungumzia zaidi Rais Samia, Wasira amesema amesimamia miradi aliyoachiwa na mtangulizi...
Mgombea mwenza wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Emmanuel Nchimbi, amewaahidi...
#HABAI: Benki ya CRDB imeingia Ubia wa kimkakati wenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 300 na Taasisi tatu za Kimataifa, ili kukuza ujasiriamali, kuimarisha biashara na kuboresha makazi katika…
Soma zaidi hapa...
Mchezo huo ni wa mwanzo katika raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo timu...
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bethsaida wameomba msaada wa kuunganishiwa maji safi, kupata chakula cha kutosha na vifaa vya kufundishia masomo ya sayansi, kutokana na uhaba mkubwa…
SIMBA imetanguliza mguu mmoja kwenye hatua ya makundi baada ya kupata ushindi wa kishindo wa mabao 3-0 ugenini Eswatini dhidi ya Nsingizini Hotspurs katika mechi yao ya kwanza ya hatua…
Safari ya kuusaka udiwani kwa makada wanne wa vyama mbalimbali vya siasa katika uchaguzi mkuu...
Tawi la kijeshi la kundi la Hamas, leo Jumapili limekanusha kuhusika na mashambulizi dhidi ya vikosi vya Israel kusini mwa Ukanda wa Gaza.
Wakaguzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kudhibiti matumizi ya nishati ya nyuklia, IAEA hawaamini kuwa Iran imeficha kiasi kubwa cha urani iliyorutubishwa katika maeneo tofauti.
Maelfu ya wananchi wa Kenya pamoja na viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya Kenya, wameungana...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema leo Jumapili kuwa atakatiza ufadhili wa nchi yake kwa Colombia kwa sababu kiongozi wake Gustavo Petro hachukui hatua za kukabiliana na shughuli za dawa…
Mgombea udiwani wa Chama cha Wananchi (CUF) Kata ya Itezi, Erasto Juma ameonesha kusikitishwa...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Namelok Sokoine, amewataka wananchi wa...
#HAARI: Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali inaangalia uwezekano wa kujenga kiwanda kikubwa cha kuchakata Shaba…
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga amezikwa leo Oktoba 19, 2025 katika makaburi ya familia huko Bondo. Odinga ambaye alikuwa pia kiongozi wa upinzani nchini Kenya amezikwa pembeni…
Maelfu ya Wakenya wamejitokeza katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Jaramogi Oginga Odinga mjini Bondo ambapo ibada ya mwisho ya kumuaga aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga ilifanyika.
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) Almas Kisabya, amesema kama wananchi wakimpigia kura za kutosha na kuiongoza nchi, katika Uchaguzi Mkuu wa…
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Makini, Ameir Hassan Ameir amesema endapo...
Mgombea wa ubunge wa Jimbo la Bukene, Wilaya ya Nzega mkoani Tabora kwa tiketi ya Chama cha...