Katika lugha ya Kiswahili tumezoea misemo mbalimbali iliyotungwa na wahenga wa zamani, lakini kwa kijana Milomilo, mjasiriamali …
Katika lugha ya Kiswahili tumezoea misemo mbalimbali iliyotungwa na wahenga wa zamani, lakini kwa kijana Milomilo, mjasiriamali kutoka Bariadi mkoani Simiyu, mambo ni tofauti. Yeye ameamua kutunga misemo yake mwenyewe…