Sababu Watanzania kuchangamkia tiba asili
Hata hivyo, hakuna utafiti wa kina unaoonyesha kama watumiaji hao ni wakazi wa vijijini au mijini.
Hata hivyo, hakuna utafiti wa kina unaoonyesha kama watumiaji hao ni wakazi wa vijijini au mijini.
Mfuko wa Maendeleo ya Mitaji wa Umoja wa Mataifa (UNCDF), kupitia mradi wa CookFund...
Kiongozi mpya wa kijeshi nchini Madagascar Kanali Michael Randrianirina ataapishwa kuwa Rais mapema leo Ijumaa. Amesema pia kuwa yuko tayari kwa mazungumzo na Umoja wa Afrika baada ya taasisi hii…
Wajasiriamali 20 kutoka Tanzania wameondoka kwenda nchini China kujifunza teknolojia za...
Makamu wa Rais Kithure Kindiki ametangaza kuwa ibada ya mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga yatafanyika katika uwanja wa kitaifa wa Nyayo siku ya Ijumaa, kuanzia saa…
Mstaafu wetu anashukuru alianza kazi miaka ilee ambayo mashirika na kampuni za Siri-kali na...
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 17, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Watu wanne waliuawa katika mji mkuu wa Kenya Nairobi siku ya Alhamisi baada ya vikosi vya usalama kufyatua risasi na vitoa machozi kutawanya umati mkubwa wa watu katika uwanja wa…
🔴KUMEKUCHA: UMUHIMU WA KUPIGA KURA ...OKTOBA 17, 2025
Wanazuoni wamekubaliana kuwa ni Sunna kutoa pole kwa wafiwa wote wanaume kwa wanawake, wakubwa...
Uhaba wa Vitamin A mwilini unaweza kusababisha matatizo mbalimbali ya macho ikiwemo upofu wa...
Habari nzuri za kitakwimu ni kuwa UTI haijakuwa tishio kama ilivyo kwa magonjwa kama malaria...
Wanazuoni wamekubaliana kuwa ni Sunna kutoa pole kwa wafiwa wote wanaume kwa wanawake, wakubwa...
Prediabetes ni kama kengele inayokutaarifu kuwa unaweza kupata kisukari, Hali hii husababishwa...
Wafanyakazi wengi hukumbana na changamoto mbalimbali kazini ambazo huongeza hatari ya kupata...
🔴MAGAZETI: MAPOKEZI MWILI WA ODINGA USIPIME AIRPORT YAVAMIWA.....OKTOBA 16, 2025
#KIPIMAJOTO: Wanaochana na kuharibu mabango ya Kampeni za Wagombea. Je, waadhibiwe kama wachochezi?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 17, 2025
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran ameashiria uwezo wa kustaajabisha wa vijana wa Jamhuri ya Kiislamu na kusisitiza kuwa, vijana wa taifa hili ndio ambao wanetengeneza makombora na nishati ya nyuklia…
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Tunisia wamesisitiza kuwa, kulitatua suala la Palestina kunahitaji kukomeshwa kukaliwa kwa mabavu na kutekelezwa haki ya kujitawala wananchi…
Rais wa Madagascar aliyeondolewa madarakani Andry Rajoelina amethibitisha kwa mara ya kwanza kwamba aliikimbia nchi hiyo kati ya Oktoba 11 na 12.
Ubalozi wa China mjini Washington umesisitiza kuwa, kuwekwa vikwazo vya upande mmoja na mashinikizo mengine yoyote kutoka kwa serikali ya Marekani hakutaathiri ushirikiano wa kunufaishana kati ya China na Russia.
Mashambulio ya utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza yamesababisha kuibuka migogoro 15 ya kimsingi kwa wakazi wa eneo hilo.
Leo ni Ijumaa, tarehe 25 Mehr, 1404 Hijria Shamsia, sawa na tarehe 24 Rabi' al-Thani, 1447 Hijiria Qamaria, na inayosadifiana na Oktoba 17, 2025 Miladia.
Mamlaka ya Elimu nchini (TEA), Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) na Serikali ya Canada zimekamilisha ujenzi na ukarabati wa maabara nne za majaribio ya kisayansi katika…
"Kama mnavyofahamu Baba wa Taifa alikuwa ni mtu makini sana, katika kuhakisha kwamba anahubiri na kuitunza amani" Edward Katisho - Mshiriki Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: -…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 16, OKTOBA 2025
#HABARI: Wajumbe wa Mradi wa Pamoja wa Vyama Vikuu vya Ushirika wa Korosho (KCJE LTD), wameendelea na ziara yao ya kutembelea vyama vingine vya ushirika wa mazao nchini, kwa lengo…
Katika hotuba yake kwenye Jukwaa la Tano la Biashara na Uchumi la Uturuki-Afrika siku ya Alhamisi, Mke wa Rais wa Uturuki Emine Erdogan alisisitiza nafasi muhimu ya wanawake katika kuunda…
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Profesa Neema Mori amesema benki hiyo imejipanga...
#HABARI: Seif Msumari Hozza (26), Mkazi wa Luchelele na mfanyabiashara, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, kwa tuhuma za kulawiti mtoto wa kike mwenye umri wa miaka…
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabiri Makame, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, akisisitiza kuwa maamuzi yao ndiyo yatakayoweka msingi wa ndoto na hatma ya watoto wao…
Kama wengi wetu tunavyofahamu, Oktoba 29,2025 ndio siku ambayo taifa letu litafanya uchaguzi...
Raia wawili wa Kenya wamefariki dunia baada ya polisi nchini humo kufyatua risasi kuwatawanya waombolezaji wa msiba wa Raila Odinga katika uwanja wa Kasarani baada ya maelfu ya waombolezaji hao…
Shahidi wa pili wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, amehitimisha...
Wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi ya Nyarugusu mkoani Kigoma wamefutiwa rasmi hadhi ya ukimbizi na kutakiwa kurejea Burundi hadi kufikia Juni mwakani kabla ya hatua kuanza kuchukuliwa dhidi yao…
🔴 MALUMBANOYAHOJA: "MIAKA 26 BAADA YA KIFO CHA MWALIMU JULIUS NYERERE . JE, AMEACHA URITHI GANI KWA WATANZANIA?", OKTOBA 16, 2025
Watu wanne wamefariki dunia jijini Nairobi, Kenya, siku ya Alhamisi baada ya vikosi vya usalama kufyatua risasi na kurusha mabomu ya gesi kuwatawanya maelfu ya watu waliokusanyika kwenye uwanja wa…
Athari za mabadiliko ya Tabianchi zinatajwa kuwa sehemu ya vikwazo katika maendeleo na ustawi wa mwanamke wa Tanzania hususani anayeishi kijijini. Leo wakati dunia ikiadhimisha “Siku ya Kimataifa ya Mwanamke…
#HABARI:Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza walimu nchini wasichoke kujiendeleza kitaaluma ili kuendana na mabadiliko yanayoendelea kutokea Duniani. Dkt. Biteko amesema katika Manispaa ya…
Mwangwi wa wito wa amani kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu umeendelea kusikika masikioni mwa...
Dkt. Hussein Mwinyi ameahidi kuboresha mifumo ya manufaa ya sekta ya utalii Zanzibar ili yawafikie wananchi wengi zaidi kupitia mnyororo wa thamani na kupunguza changamoto ya ajira kwa vijana wa…
Chama cha NLD kimeahidi kupunguza posho za wabunge na badala yake fedha hizo zitaelekezwa katika kuongeza huduma za afya pamoja na kupandisha mishahara ya kada ya ualimu na askari. Ahadi…
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele ameahidi kufufua viwanda vilivyositisha uzalishaji katika mkoa wa Tanga sambamba na kuboresha miundombinu ya barabara. Mwaijojele ametoa ahadi hizo wakati akizungumza…
Msafara wa Yanga umetua ndani ya ardhi ya Malawi ukiwa na zaidi ya watu 50 ambao unajumuisha...
Hatima ya shauri la maombi kuhusu aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole...
Tottenham Hotspur inadaiwa kuwa katika mipango mikubwa ya kumsajili straika wa Bayern Munich...
Serikali imeungana na wadau mbalimbali kutoa elimu ya afya na usafi wa mazingira kwa wakazi wa wilaya ya Mtama mkoani Lindi ili kuhamasisha wakazi hao kuzingatia unawaji mikono kwa maji…
Jeshi la Polisi mkoani Pwani linachunguza tukio la kutatanisha baada ya miili ya watu wanne...