Raila Odinga afariki dunia, Ruto athibitisha
Mwanasiasa mashuhuri kinara wa upinzani na aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Amolo...
Mwanasiasa mashuhuri kinara wa upinzani na aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Amolo...
#HABARI: Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumatano, Oktoba 15, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, wakati kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,Tundu Lissu ikitarajiwa…
Harakati ya Hamas imetoa tamko bila kutilia maanani mkutano wa kilele wa "Sharm al-Sheikh" ikisisitiza udharura wa kuzingatiwa haki halali za Wapalestina.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amesema kwa mujibu wa takwimu, Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi pekee ambaye amekutana mara nyingi na kuzungumza na viongozi wa vyama vya…
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga (80) amefariki dunia leo Oktoba 15, 2025 wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Ayurvedic iliyopo Koothattukulam, Kerala nchini India. #AzamTVUpdates Mhariri |…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 15, 2025
#HABARI: Rais Donald Trump amesema, Marekani imeishambulia boti nyingine kwenye pwani ya Venezuela na kuua watu sita, katika chapisho kwenye mitandao ya kijamii, Trump amesema boti hiyo ni ya magaidi…
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa tiketi ya Chama cha SAU Majalio Kyara, ameahidi kwamba akiingia madarakani atahakikisha anamaliza changamoto ya upatikanaji wa soko la uhakika…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UTENGENEZAJI WA BIDHAA....OKTOBA 15, 2025
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amemkosoa vikali Donald Trump kwa sera yake ya kuchochea vita katika eneo la Asia Magharibi, akisema…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe, amewataka watumishi wa umma na Watanzania kwa ujumla kufanya mazoezi, kula mlo sahihi na kupumzika vya kutosha ili kulinda afya za…
Utawala wa kizayuni wa Israel umeueleza Umoja wa Mataifa kwamba utaruhusu malori 300 tu ya misaada kwa siku, ikiwa ni nusu ya idadi iliyokubaliwa kuingia katika Ukandwa Ghaza kuanzia leo…
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema usitishaji vita wa Ghaza hautaathiri kesi ya mauaji ya kimbari iliyofunguliwa na nchi yake dhidi ya utawala wa kizayuni wa Israel katika Mahakama…
Mahakama ya Juu ya Katiba ya Madagascar Jumanne "imemwita" kamanda wa Kituo cha Uendeshaji cha Wafanyakazi wa Jeshi (CAPSAT) Kanali Michael Randrianirina "akatekeleze kazi za mkuu wa nchi."
Chama tawala cha Rais wa Gabon Brice Oligui Nguema, cha Muungano wa Kidemokrasia wa Wajenzi (Democratic Union of Builders) (UDB) kimepata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa Bunge, kwa kunyakua…
Mwanamuziki na mwigizaji maarufu kutoka Marekani, Akon Thiam amekumbwa na sakata jipya katika...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla, amewahakikishia wazee na wananchi wa mkoa huo usalama na amani wakati wa uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025. Akizungumza katika matembezi ya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 15, 2025
Hapo ndipo zilipozaliwa ndoto za kutafuta maisha bora ya Ulaya na kuwaingia akilini vijana wengi walioamini wangefanikiwa kimaisha kama wangefika katika mojawapo wa nchi za bara hilo.
Kwanza hakutaka kuamini moja kwa moja kama dereva aliyekuwa naye alikuwa amemtoroka, aligeuka huku na kule, kisha alipiga hatua kadhaa kuufuata Mtaa wa Congo lakini hakuwa na matumaini...
NDOTO za Muddy Manyara zilishafanikiwa. Tayari kila kitu kilishakaa kwenye mstari. Maisha alishayapatia baada ya kufika Ulaya na kuangukia katika mapenzi na mwanamke wa kizungu, Linnie, lakini akaleta utoto wa…
Siku tatu baada ya uchaguzi wa urais wa Jumapili, Cameroon bado inasubiri matokeo rasmi. Mashirika manane ya kiraia, ikiwa ni pamoja na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Kibinadamu wa…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ....OKTOBA 15, 2025
Baada ya kupitia moja ya kesi kubwa zaidi katika maisha yake, mwaka 2005 marehemu staa wa...
Kongamano hilo la siku mbili lililoitishwa na rais wa zamani wa Kongo, Joseph Kabila aliyehukumiwa kifo nchini mwake hivi majuzi, mjini Nairobi, linawaleta pamoja wapinzani kadhaa wa Félix Tshisekedi pamoja…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 15,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Kundi la waasi la AFC/M23 na serikali ya Kongo wametia saini mfumo wa kusimamia usitishwaji mapigano mjini Doha siku ya Jumanne, Oktoba 14, 2025. Hii inachukuliwa kuwa hatua muhimu katika…
Dola bilioni sabini. Hivyo ndivyo Umoja wa Mataifa unakadiria ujenzi mpya wa Gaza unaweza kugharimu. Kiasi kikubwa sana, kinacholingana na uharibifu. Kwa kuwa sasa usitishwaji wa mapigano umeshafikiwa, mashirika ya…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema siku ya Jumanne kuwa Marekai “itawapokonya silaha” Hamas ikiwa hawatoweka chini silaha. Katika Ukanda wa Gaza ulioharibiwa, Hamasinaendesha kampeni ya ukandamizaji na imetoa video…
Chama cha ACT - Wazalendo kimetoa Ilani ya Uchaguzi kwa Zanzibar, ikibainisha msimamo wake...
Nilirejea kwa mbambamba na mbwebwe na Bi Nkubwa na vitoi tulivyovitengezea huku lau ndugu...
Kampeni zinazidi kupamba moto wakati muda unakwenda kwa kasi kama treni ya umeme. Tumebakiza...
Kutoka Oktoba 14, 1999 hadi ilipofika jana, Oktoba 14, 2025, ilitimia miaka 26 bila Baba wa...
Agosti 28, 2025, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ilipuliza rasmi kipyenga cha kuanza kwa...
Kipindi rasmi cha kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kilianza Agosti 28, 2025 na...
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2025 unaandika kihistoria mpya inayoutofautisha na chaguzi...
Senegal na Ivory Coast zimekamilisha idadi ya timu tisa zitakazowakilisha Afrika katika Fainali...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema siku ya Jumanne, Oktoba 14, kwamba uungaji mkono wake kwa Argentina “kwa namna fulani” utatokana na matokeo ya uchaguzi ujao wa wabunge, ambao utakuwa…
🔴KUMEKUCHA: WATOTO WENYE KICHWA KIKUBWA NA MGONGO WAZI...OKTOBA 15, 2025
Jeshi la Israel limetangaza jioni ya Jumanne, Oktoba 14, kwamba mateka wengine wanne ambao walikuwa bado wanazuiliwa na kundi la Palestina la Hamas huko Gaza wamekabidhiwa kwa Shirika la Msalaba…
Rais wa Syria Ahmed al-Sharaa anatarajiwa kuzuru Moscow leo kwa mazungumzo kuhusu mustakabali wa vituo vya kijeshi vya Urusi nchini humo na hatma ya Bashar al-Assad, aliyepinduliwa mwaka jana na…
🔴MAGAZETI: ASKOFU RUWA'ICHI ATOA UJUMBE MZITO / LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA...OKTOBA 15, 2025
Mvutano wa kibiashara kati ya Marekani na China umechukua sura mpya baada ya mataifa hayo mawili kuanza kutozana ada za bandari kwa kampuni za usafirishaji baharini.
Rais wa Marekani Donald Trump ameikosoa China siku ya Jumanne, Oktoba 14, kwa kutonunua tena soya kutoka Marekani na kudai kuwa nchi yake inaweza, kwa kulipiza kisasi, kuacha kuagiza mafuta…
Pedro Sanchez Waziri Mkuu wa Uhispania amesisitiza kuwa makubaliano ya kusitisha vita Gaza yaliyofikiwa hivi karibuni kati ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na Israel yasifanywe kuwa…
Jeshi la Israel limepokea mabaki ya mateka wanne waliokabidhiwa na Hamas chini ya mpango wa kusitisha mapigano. Wakati huo huo, hospitali ya Gaza imethibitisha kupokea miili ya Wapalestina 45 waliorejeshwa…
#KIPIMAJOTO: Miaka 26 ya Kumbukizi ya Kifo cha Baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere. Je, watanzania wanatunza misingi ya amani aliyoiasisi?
Bunge la taifa la Madagascar limepiga kura ya kumuondoa Rais Andry Rajoelina kwa kura nyingi (130 kati ya wabunge 163) siku ya Jumanne, Oktoba 14. Katika taarifa iliyotolewa muda mchache…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 15, 2025
Leo ni Jumatano mwezi 22 Mfunguo Saba Rabiu Thani 1447 Hijria mwafaka na tarehe 15 Oktoba 2025 Milaadia