🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55….FEBRUARI 27, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....FEBRUARI 27, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....FEBRUARI 27, 2026
#MICHEZO: Kuelekea dabi ya Simba na Yanga iltakayocheza Katika Uwanja wa New Amaan Zanzibar Machi mosi, Bodi ya Ligi imeweka wazi Waamuzi watakaochezesha mechi hiyo wakiongozwa na Mwamuzi wa kati…
#MEZAHURU; Je matumizi ya AI (Artificial Intelligence) yanaweza kuua baadhi ya vitu vya uhalisia kwenye maisha yetu ya sasa au kuna faida zozote.? -weka maoni yako -saa tisa kamili
#HABARI: Waziri wa Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amempongeza Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Remidius Mwema, kwa jitihada zake za kutatua migogoro ya ardhi kati…
#HABARI: Mwili wa marehemu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo aliyefariki dunia Februari 19, 2026, katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), tayari umewasili katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu kwa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....FEBRUARI 27, 2026
#HABARI: Mbunge waJimbo la Kawe jijini Dar es Salaam Mhe. Geofrey Timoth, amewahakikishia wafanyabiashara wadogo (wauza maua), waliokuwa wakifanya shughuli zao katika eneo la Kawe lililopo chini ya Shirika la…
#HABARI: Msimamizi wa Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Peramiho Exavery Luyagaza amemtangaza Dkt. Lazaro Kiliani Komba wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge wa jimbo la…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO:....FEBRUARI 27, 2026
🔴KUMEKUCHA:.....FEBRUARI 27, 2026
🔴#MAGAZETI: WATEJA WANAVYOLIZWA NA MAWINGA KARIAKOO / HAPO VIPI......FEBRUARI 27 , 2026
#KIPIMAJOTO: Waziri Mkuu kusubiriwa kutatua matatizo ya Mikoa na Wilaya. Je, mfumo uliopo wa utendaji na uwajibikaji wa Viongozi hao ubadilishwe ili kuondoa urasimu?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 27, 2026
#HABARI: Mshindi wa Mchezo Supa, Meshack Swakala, aliyejishindia shilingi Milioni mbili katika siku ya Valentine, amesema fedha hiyo itaingia moja kwa moja katika mtaji wa biashara yake. Powered by #MCHEZOSUPA…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 26, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 26, 2026
"Vijana wanatakiwa kujikita kwenye elimu ya ujasiriamali na usimamizi wa fedha, vijana tunatakiwa tuwajibike na Je, tumejiandaa vipi katika kuzitumia hizo pesa,"Christina Nogisha - Mshiriki. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA…
"Tuna changamoto kubwa sana, changamoto za kimifumo katika utolewaji mikopo na uwezeshaji kwa vijana, tunachangamoto za kiuwajibikaji, kuna changamoto za kitaasisi, tunachangamoto kubwa sana ya taarifa"Abdul Nondo - Mwenyekiti wa…
"Serikali imeweza kufanya jitihada zake katika kuwandaa vijana wa Kitanzania katika kupata ujuzi, kuna ujuzi ambao vijana wa Kitanzania wanao, na Serikali haikuwaacha iliwasaidia, pia vijana wako tayari kwa ajili…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Iringa, limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Iringa, Ibrahimu Myovella, na wenzake watatu wamepotea wakiwa mikononi mwa polisi. Kamanda wa Polisi…
Serikali imekiri kuwa meli iliyokamatwa ikibeba tani 6.6 za cocaine nchini El Salvador ilisajiliwa Zanzibar, lakini hakuna Mtanzania aliyekuwepo wakati inakamatwa. Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa…
Katika miezi ya hivi karibuni, ziara za viongozi wakuu wa kitaifa zimekuwa jukwaa la kusikiliza vilio vya wananchi juu ya migogoro ya ardhi, huduma za jamii, na changamoto za kiutawala.…
🔴SHILINGI BILIONI 200 ZILIZOTOLEWA NA SERIKALI KUWEZESHA VIJANA. JE, WAMEJIPANGA VIPI KUTUMIA FURSA HIYO ...FEBRUARI 26, 2026
Wakazi wa Karema, wilayani Tanganyika na maeneo ya jirani wamejikuta kwenye adha ya usafiri baada ya kukatika kwa daraja la barabara inayoelekea Mpanda, hali inayowalazimu kutumia mtumbwi kuvuka. #AzamTVUpdates Mhariri…
Mkazi wa kijiji cha Imalamawazo wilaya ya Chato, amegeuka mkombozi kwa wananchi baada ya kujenga daraja la miti, kutokana na kuchoshwa kuwashuhudia wenzake wakivuka mto kwa kutembea kwenye maji. #AzamTVUpdates…
Wakati maombolezo ya kifo cha Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo yakiendelea, baadhi ya waamini na watu wa kada mbalimbali wameeleza…
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 26 - 2026 - ZAIDI YA NYUMBA 700 ZAZUNGUKWA NA MAJI TURIANI.
#HABARI: Zoezi la upimaji wa viwanja katika Mtaa wa Vikawe Shule, eneo la Butiama wilayani Kibaha, limeanza rasmi baada ya kumalizika kwa mgogoro wa muda mrefu kati ya wananchi na…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita, huku akimshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA LINDI, FEBRUARI 26, 2026 -
#HABARI: Wananchi wa Kata ya Shiwinga katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, mkoani Songwe, wameshiriki zoezi la upigaji kura kumchagua diwani mpya atakayeziba nafasi iliyoachwa wazi na marehemu Lusekelo Mwalukomu…
#HABARI: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekabidhi jumla ya magari 70 yenye lengo la kuongeza ufanisi na kurahisisha zoezi la ukusanyaji wa kodi nchini. Katika shehena hiyo ya magari, yapo…
#MEZAHURU"....ukiangalia wametoka mbali kwa sababu hata kipindi wanaanza mchezo wa wheelchair tennis Pendo kwanza alikuwa na kujiogopa "kocha mchezo huu siwezi" lakini hakuna kitu ambacho hakiwezekani duniani ....na ndio anazungumza…
#HABARI: Serikali imetoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Ufundi ya Mkoa wilayani Nkasi mkoani Rukwa, ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 90 na kwamba shule hiyo…
NDEJEMBI: PURA IWAANDAE WATANZANIA MRADI WA LNG #HABARI: Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratous Ndejembi, ameitaka Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kuimarisha mipango yake katika ukusanyaji wa…
#MALUMBANOYAHOJA: SHILINGI BILIONI 200 ZILIZOTOLEWA NA SERIKALI KUWEZESHA VIJANA. JE, WAMEJIPANGA VIPI KUTUMIA FURSA HIYO KUJIENDELEZA KIUCHUMI?
#MEZAHURU"....ukiangalia wenzetu wana viwanja vya kudumu, wana wheelchair ambazo ziko vizuri......ukiangalia kwenye bajeti ya Timu ya wheelchair inataka kusafiri yaani inakaa sambamba ili waweze kusafiri....wheelchair tennis ni mchezo mgumu....vitendea kazi…
"….sinaga aibu halafu la pili sio muoga unafikiria kote nilikopita sijawahi kutishiwa, sijawahi kurogwa maana yake wewe hautanitisha hatutavumiliana kuanzia bajeti imepitishwa mpaka inakwenda kupitishwa bajeti nyingine kwenye idara yako…
#FUTUHI:MIPANGO YA MJINI YAGEUKA KASHESHE UTACHEKA! (Feed generated with FetchRSS)
“….na kwa upande wa shirika letu la ndege ATCL tumeshaandaa mkakati sisi Serikali wa kuhakikisha katika mashindano haya ya AFCON tunalitumia shirika hili kimkakati, moja tutaongeza safari nyingi uelekea kwenye…
#HABARI: Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika – SADC) imeeleza kuvutiwa na mikakati ya Tanzania katika kuharakisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, hususan hatua ya kuondoa kodi na kutoa…
#MJADALAMKUU:USAWA WA KIJINSIA (Feed generated with FetchRSS)
🔴MEZAHURU ; ....FEBRUARI 26, 2026
#HABARI: Msemaji wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo, Gerson Msigwa ametolea ufafanuzi kuhusu Meli ya FMS Eagle iliyokamatwa ikiwa na madawa ya kulevya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 26, 2026
"Mpira wetu sisi JKT Tanzania mnaufahamu, mpira wa pasi mpira ambao kila mmoja akiutazama anaupenda, mpira uliopangiliwa...sasa sisi tumeshtuka kidogo, mpira wa mbio...mnafukuzana kama sungura anafukuzwa na mbwa mwenye njaa,…
#HABARI: Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya magari mawili ya kubeba mizigo kugongana na kutekeketea kwa moto, katika Kijiji cha Kiongozi Kata ya Maisaka wilayani Babati…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....FEBRUARI 26, 2026
#MEZAHURU: Mchezo wa WHEEL CHAIR TENNIS umepata hamasa kwenye taifa letu, Kipi kifanyike kukuza mchezo huu, au unashauri nini wizara ya michezo kukuza mchezo huu..? -Weka maoni yako
#HABARI: Mbunge wa Rorya Mhe. Jafary Chege amesema kwa sasa fedha za maendelo ya miradi watawaachia watalaamu kuzisimamia badala ya wanasiasa na wakizitumia vibaya watawachukulia hatua kali za kisheria. Mbunge…