đź”´HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55….FEBRUARI 26, 2026
đź”´HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....FEBRUARI 26, 2026
đź”´HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....FEBRUARI 26, 2026
#HABARI: Maafisa wa Kurugenzi ya Upelelezi nchini Kenya (DCI) wanamsaka Afisa wa Polisi anayeishi katika Kaunti ya Busia kwa tuhuma za kuhusika na tuhuma za mauaji ya mkewe waliyeachana katika…
#HABARI: ITV itarusha Mubashara kipindi cha Watoto Wetu Live Show nje ya studio Jumamosi 28 Februari, 2026 kutokea Shule ya St. Mary's Internationa Academy iliyopo Tabata wilayani Ilala jijini Dar…
đź”´HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 26, 2026
#HABARI: Licha ya katazo na tahadhari kwa baadhi ya wananchi, wanaovuka katika daraja la juu eneo la Stendi ya Magufuli, kwa kupenyeza kwenye uzio uliowekwa, bado idadi kubwa ya wananchi…
#HABARI: Kamanda Mkuu wa M23, Sultani Makenga, amenusurika kuuawa baada ya kuondoka Rubaya dakika chache kabla ya shambulio la droni, ambalo lilimua Msemaji wa kundi hilo Willy Ngoma, pamoja na…
đź”´HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....FEBRUARI 26, 2026
#HABARI: Rais William Ruto amewakemea viongozi wa Upinzani wa Muungano nchini Kenya kwa kile ambacho anadai wanaendelea kupinga miradi na sera zake anazosema zinalega mageuzi muhimu Kenya. Usemi wa Ruto…
"MSD jukumu lake ni kufikisha dawa kituo cha afya, yeye hafanyi ile kazi ya kutoa dawa,..."-Bw. HassanAlly -Mkurugenzi wa Ugavi na Uendeshaji kutoka MSD. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI…
#KUMEKUCHA: Suala la upatikanaji wa bidhaa za afya nchini, linasimamiwa na Wizara ya Afya nchini... MSD yeye ni mdau katika kuhakikisha kwamba huduma za afya bidhaa za afya zinapatikana, kwa…
đź”´JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 25, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
đź”´MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 25, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Mwandishi wetu Esterbella Malisa amezungumza na Dada wa marehumu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiwa nyumbani kwake Chang'ombe, ambaye ameelezea simulizi ya maisha ya kaka yeke. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi…
Kutana na Bundala Sabasi, mwalimu wa kujitolea anayefundisha hasa wanafunzi wenye mahitaji maalumu. Kwa sasa, mwalimu huyo ni kivutio kwa makundi mbalimbali, ikiwemo wazazi na wanafunzi, kutokana na mtindo wa…
Wakati wakulima wengi nchini wakikabiliwa na changamoto ya mvua zisizotabirika kutokana na mabadiliko ya tabianchi, matumaini mapya yanaanza kuonekana katika Kijiji cha Kibebe, Wilaya ya Iringa, ambapo wananchi wa kijiji…
Wakati mwili wa Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Marehemu Polycarp Kardinali Pengo, ukitarajiwa kuzikwa Jumamosi wiki hii, familia yake imeendelea na maombolezo nyumbani kwa…
Wadau wa elimu, wakiwemo wanafunzi wametakiwa kubadili mtazamo kuhusu matumizi ya Akili Unde (AI) kwa kuitumia kama nyenzo ya kujiletea manufaa ya kiuchumi na chachu ya mabadiliko binafsi, badala ya…
#HABARI: Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM mkoani…
‎#HABARI: Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeyapatia ufumbuzi malalamiko ya muda mrefu ya viwanja mbadala kwa wananchi wa Jiji la Dodoma. ‎ ‎Suluhisho hilo linafuatia…
#HABARI: Watu watano wamenusurika kifo baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso katika Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara. Ajali hiyo ilihusisha gari la wagonjwa (Ambulance) la wilaya hiyo, lililokuwa…
Wapiga kura 127,632 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi wa kuchagua mbunge katika Jimbo la Peramiho Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma. Mwenyekiti…
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), imeivunja rasmi Bodi ya Wadhamini ya Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania baada ya kubainika kuwa mapungufu makubwa katika usimamizi wa mali na utekelezaji…
đź”´JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 24, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
đź”´MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 24, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Viongozi wa Muungano wa Upinzani nchini Kenya, wamelaani kukithiri kwa ghasia zinazochochewa na siasa, kufuatia kutatizwa kwa mikutano yao ya kisiasa katika Mji wa Kisii siku ya Jumatatu ambapo…
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amepiga marufuku wanafunzi kwenda shuleni wakiwa na vidumu vya maji. Dkt. Mwigulu amepiga marufuku hiyo wakati akizindua rasmi mfumo wa uunganishaji wa huduma za maji kwa…
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Zainabu Katimba amesema Tanzania imeendelea kupiga hatua kubwa katika ukuaji wa matumizi ya teknolojia na kushauri kuwa inaweza kutumika kurahisisha upatikanaji wa haki kwa…
Wananchi wa kijiji cha Fela wilayani Misungwi mkoani Mwanza wanaoishi kwenye maeneo yanayopitiwa na mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa kipande cha tano, Mwanza–Isaka, wameiomba serikali kuzingatia ujenzi wa…
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) imevunja Bodi ya Wadhamini wa Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania kufuatia tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na ubadhirifu wa mali za kanisa…
Jamii imehimizwa kuachana na imani potofu zinazowanyima watoto wenye mahitaji maalum fursa ya elimu, huku ikisisitizwa kuwa kila mtoto ana uwezo wa kujifunza endapo atapatiwa msaada unaostahili. Mkuu wa Mkoa…
Mdau wa michezo, shabiki na mwanachama wa Young Africans Sports Club (Yanga) kutoka Geita, Hussein Makubi maarufu Mwananyanzala, ameahidi kutoa zawadi ya shilingi milioni moja kwa timu itakayoshinda dabi ya…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU - 24/02/2026 (Feed generated with FetchRSS)
đź”´TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 24 - 2026 - MVUA YASABABISHA MADARAJA MATATU KUKATIKA MASWA (Feed generated with FetchRSS)
Tume ya Ushindani (FCC), imeingia rasmi katika matumizi ya Mfumo wa Serikali wa Ukaguzi wa Bidhaa kwa Pamoja (TANOGA) ili kupambana na uingizwaji wa bidhaa bandia. Akizungumza katika mkutano wa…
Utekelezaji wa mradi wa kusambaza gesi asili katika eneo la Kisemvule, wilayani Mkuranga mkoani Pwani, umeendelea kuibua matumaini mapya kwa Wananchi wa eneo hilo ambapo zaidi ya shilingi bilioni 6.8…
đź”´JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 23, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
đź”´MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 23, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
đź”´AIBUYAKO: HII NI AIBU! UNAISHIWAJE MAFUTA NJIANI... FEBRUARI 23, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Kampasi ya Songea mkoani Ruvuma, utakaogharimu zaidi shilingi Bilioni 18 umefikia asilimia 44, ambapo mkuu wa chuo hicho, Profesa Eliamani Sedoyeka amesema…
Katika kuhakikisha tafiti na bunifu zinachangia ukuaji wa uchumi na maendeleo ya Taifa, Serikali imeanzisha mfumo maalum wa katalogi ya tafiti na bunifu (MAKISATU) utakaoratibu na kurahisisha upatikanaji wa tafiti…
Tanzania na Zambia zimefanikiwa kutatua kero tano kati ya kumi zilizokuwa zikiwakabili madereva wa malori katika mpaka wa Tunduma na kusababisha foleni kubwa ya maroli, huku zilizobaki zikiendelea kutafutiwa ufumbuzi.…
Wafanyabiashara wa soko jipya la Kariakoo wamepatiwa elimu ya namna bora ya kutumia miundombinu ya soko hilo pamoja na kujikinga na majanga ya moto… mafunzo yaliyotolewa na Jeshi la Zimamoto…
Wananchi wa Wilaya ya Nyang’hwale sasa wanaweza kupata huduma za afya kwa faragha zaidi baada ya Hospitali ya Wilaya ya Nyangh'wale kuanzisha wodi maalum kwa wagonjwa wanaohitaji utulivu na huduma…
#DIMBANILIVE: UCHAMBUZI WA KINA WA MICHEZO NDANI NA NJE YA NCHI/SIMBA IMEWAKA/ YANGA WANAJIULIZA (Feed generated with FetchRSS)
Mwenyekiti mpya wa wa Chama cha Wananchi (CUF), Yusuf Mirambo, amesema kipaumbele chake ni kuimarisha mshikamano kuanzia ngazi ya chini ya wanachama, akisisitiza kuwa msingi imara ndio nguzo ya kukirejesha…
Wazee wasiojiweza wanaoishi katika Kambi ya Kijiji cha Amani, Manispaa ya Tabora, wameiomba Serikali kuwapa kipaumbele katika utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote unaoendelea nchini, wakisema hali…
#HABARI: Viongozi wa upinzani nchini Kenya wameibua madai ya kutumiwa nguvu kupita kiasi na serikali kupitia maafisa wa polisi na magenge ya vijana juu ya kuvuruga mikutano ya kisiasa ya…
Utendaji duni wa Bandari ya Karema, unaochangiwa na kutokukamilika kwa miundombinu ya barabara, umetajwa kuwa sababu ya kusafirishwa kwa tani 15,000 pekee za mizigo tangu kuanza kwa utekelezaji wa shughuli…
Mwanariadha wa Tanzania Gabriel Gerald Geay leo amefanikiwa kutetea taji la mbio za Marathon za Daegu China akitumia muda wa 2:08:11. Ushindi huo unaendana na kitita cha dola laki mbili(Shilingi…
Wakazi wa Walaya ya Hai wameendelea kunufaika na uwepo wa Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro (KINAPA) hususani kupitia mfuko wa ujirani mwema. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.…