Kobisi amechoka maisha ya kuigiza kuwa mume wa mtu
Kobisi amechoka maisha ya kuigiza kuwa mume wa mtu. Shughuli ya Shida imefika. Usikose #KombolelaSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
Kobisi amechoka maisha ya kuigiza kuwa mume wa mtu. Shughuli ya Shida imefika. Usikose #KombolelaSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
Bado siku tano kufika Desemba 18, siku ambayo tamthilia ya Mrs Garcia itaanza. #MrsGarcia #AzamONE
Kobisi mahari ndio mada mdomoni mwake...😅 Kina Tukae wamsanua Chiku, Mashavu kaolewa mke wa pili 🙌 #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
Hii vita wa kuiamua ni wao wenyewe 🙌😭 #NomaSeries
Siham amuwakia Maryam baada ya kukuta jina lake limeandikwa na Basma. Sauti ya mtoto wake inasikika masikioni mwa Siham. Mambo yatachukua sura mpya Usikose kutazama Ummy leo saa 1:00 usiku…
Baada ya kuachwa, Mwana amfanyia Chichi usiku wa talaka lele lele 😅🙌 Nawanda awekewa mshahara mnono na Wendy ili akae kimya kwa alichokiona ofisini...Usikose kutazama #NomaSeries leo saa 1:00 usiku…
Aziza na Jemo wanalazimika kusema ukweli kwanini wanajificha. Yusuf anatakiwa kuwasaidia wasikamatwe na kina Yavuz. Hashmet, Melis na wanafamilia wengine hawaoni uzito huo. Balim ana swali zito kidogo kwa Aziza…
Kobisi ameombwa aigize kwa mara ya mwisho...Eeeeh hii ya Madina leo mbona kazi 😆 Shughuli ya Shida pambe sio pambe? 😅 Tukutane saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
Ni kipaji gan unatamani ungekuwa nacho? Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 Hosted by @missloloh_ @djfantastic255 #TheSparkShow
"Unapoimba kama kundi unatakiwa pia uwafikirie na wenzako. Kwamba usiandike ukavuka mipaka pengine ukajipakulia minyama zaidi, ukawasahau na wengine kwamba wakija wataimba wapi?- @officialwelle kutoka @welleandtheband #SentroYaCloudstv
Burudani kutoka kwa @officialwelle akiwakilisha @welleandtheband hapa Kitivoni Sentro Clouds TV. #Clouds26Nyoosha #LainiYaWana
Hali halisi nyumbani kwa Mashavu...Maswali muhumu na magumu ambananisha Awadh wake... #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
Hashmet haeleweki kuna muda ana roho mbaya kuna muda ubinadamu unamuijia
Mtihani mwingine kwa Maryam, vipimo vya Basma vinatakiwa shuleni...Itakuwaje?
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Peramiho Marehemu Jenista Mhagama limefikishwa nyumbani kwake Itega kwa ajili ya maandalizi ya ibada ya kuuaga mwili itakayofanyika kesho katika kanisa…
#SentroYaCloudstv #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
Ila Kobisi, jamani sasa mahari si mwari siku zote 😅 #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
Mtangazaji na mwandaaji wa vipindi AzamTV, @bettyomaratz ameshinda tuzo ya Mwandishi wa Habari Bora Katika Ubunifu wa Mavazi kupitia jukwaa la Swahili Fashion Week 2025. Akizungumza kupitia kipindi cha #AlasiriLounge,…
MABADILIKO YA RATIBA ZA MARUDIO AZAM TWO Msimamizi Msaidizi wa #AzamTWO, @mrisho.senga_ ameelezea mabadiliko ya ratiba za marudio kwenye chaneli namba 102 AzamTWO, ambapo kwa sasa filamu ya Jumamosi usiku…
#Happybirthday | @_g_meshack #Cloudsmediagroup tunakutakia mafanikio na baraka maishani mwako. #Clouds26Nyoosha
Ohooo Beysungur asije akakamatwa na wasaliti. Ohoo kuna sumu imetumwa ikadhuru familia ya Bey wakati ambao binti Tekfur akiingia kambini na Orhan moyo unalipuka. Usikose kutazama OTTOMAN leo saa 4:00…
Siham bado anateswa na kumpoteza Basma. Stori za mtoto kupotea zinamshtua moyo wake. Upande wa pili Maryam anapambana kumtafutia shule Halla. Usikose kutazama UMMY leo saa 1:00 usiku ndani ya…
Fidan anamlaumu Zeliha kuwa ndiye sababu ya wazazi wao kufariki (Kumbuka wakati mchezo unaanza ni mchumba wake Zeliha ndiye aliyewachoma walipojificha familia yao) Usikose kutazama 6 of Us leo kuanzia…
Tumebamba au hatujabamba 😊 #ThePrice #6ofUs #Ummy #AzamTV raha bwana 😍
Kamanda Lukas burudani kabisa 😅
Sheiza ameanza kazi ya kuwasogelea kina Radhia na Chaichaka...Bisura anamfunda mwanaye Chaichaka...Lakini bado binti ana moto moyoni mwake hataki kumuona...Anajaribu kuweka ukaribu na Radhia lakini ni kama anachochea moto. Tuendelee…
"Kingine ambacho ningependa Serikali ifanye ni kuwekeza Kimataifa kwenye Media za kwao ambazo wanazimiliki. Mfano leo hii watu wanazungumzia TBC wana TBC Sports. "Na TBC ni Shirika la Utangazaji la…
Mambo ni mvurugano leo. Usipange kukosa uhondo wa Mines of Passion leo saa 3;00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV
"Hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania. Hakuna sehemu nyingine ambayo tutasema tumezaliwa au kujivunia napo zaidi ya Tanzania. "Ukipata nafasi ya kuwa kwenye platform yoyote usiwaze kwamba unafaidika na kitu…
Usikose kutazama JUANA leo saa 1:00 usiku ndani ya #AzamONE, Gaby anakutana na vizuizi vingi kadri siku zinavyokwenda. Rogeiro ni shida huyu mtu.
Mashavu anauliza maswali muhimu...Aziza aangua kilio baada ya kuambiwa Awadh ameoa mke wa pili. Binti Msumi anampa mzigo Mwamini wa kwenda kumpigisha shoti Chiku. Usikose #KombolelaSeries leo saa 1:30 usiku…
Kibukolo na dada zake...Kumbe Mashavu kaolewa mke wa pili; na mke mwenza naye alikuwepo..Kobisi amvaa Shida Masamba. Usikose kutazama #KombolelaSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
#IjumaaKareem @officialbakhresagroup
MWINGINE HUYU HAPA..GUYS GUYS INTERNET IPO BADO....😅 NB:-Kama huja follow akaunti yetu follow ili uweze kupata habari nyingi zaidi pia usisahau ku bonyeza kikengere ili kupata notification pindi habari zinapopostiwa…
Bey ameokoa na ametwaa leo 🙌
Sehemu ambapo mzunguko wa fedha upo chini maana yake ni kwamba chachu ya maendeleo nayo inakuwa ipo chini. "Ukichukua rasilimali tulizonazo ukiweka na mifumo ya malipo ambayo inasaidia mzunguko wa…
"Niwahakikishie Watanzania mifumo ya malipo ipo salama na fedha zao zipo salama"- Fabian Kasole, Meneja Msaidizi, Kurugenzi ya Mifumo ya Malipo ya Taifa Benki Kuu Ya Tanzania (BoT) #SentroYaCloudstv
"Taasisi za fedha zote ambazo unaona zinafanya kazi nchini zinapewa leseni na Benki Kuu BOT"- Fabian Kasole, Meneja Msaidizi, Kurugenzi ya Mifumo ya Malipo ya Taifa Benki Kuu Ya Tanzania…
Aaaahg huyu Zein katokea wapi? 😡
Ulipokuwa mdogo ndoto yako ulitaka kuwa nani? Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 Hosted by @missloloh_ @djfantastic255 #TheSparkShow
"Uwepo wa hii mifumo na thamani ya fedha na hali ya uchumi kwa sababu tunasema ukuaji wa uchumi unategemea namna gani ule mzunguko wa fedha unavyokuwepo. "Kwa sababu mzunguko wa…
"Uwepo wa hii mifumo unasaidia. Na huku kutunza takwimu na kuonekana kwa hizi fedha hakuanzii kwenye Taifa kunaanzia kwa mtu mwenyewe. Mtu yoyote ambaye anatumia mifumo ya malipo ana uhakika…
Duso amepanga kumtoa Maige jela...Kumbuka Maige ana ugomvi mkubwa na kaka yake, Maega ambaye kwa sasa anashikilia mali ambazo mdogo wake anadai ni zake... Tuendelee na hadithi tamu ya #PichaYanguSeries…
Akiwa na CV ya kuizunguka dunia hasa bara la Ulaya na kuipeperusha vizuri bendera ya 255 katika dunia ya Michezo ! Kesho ndani ya Clouds360 @johnjackson_jj atakutana na timu ya…