Mauzo ya chai ya Iran nje ya nchi yaongezeka kwa 48%
Mkuu wa Shirika la Chai la Iran, Habib Jahansaz amesema mauzo ya chai ya Jamhuri ya Kiislamu nje ya nchi katika miezi minane ya kwanza ya mwaka huu wa kalenda…
Mkuu wa Shirika la Chai la Iran, Habib Jahansaz amesema mauzo ya chai ya Jamhuri ya Kiislamu nje ya nchi katika miezi minane ya kwanza ya mwaka huu wa kalenda…
Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orban ametahadharisha kuwa, hatua yoyote ya Umoja wa Ulaya ya kutwaa milki na fedha za Russia zilizozuiliwa bila idhini ya Budapest ni kukiuka sheria za…
Kundi la kigaidi la ISIL (Daesh) limedai kuhusika na shambulio baya lililolenga vikosi vitiifu kwa Abu Mohammad al-Jolani nje kidogo ya Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria.
Kundi la waasi wa M23 linalodaiwa kuungwa mkono na Rwanda limewakamata mamia ya wanajeshi wa Burundi wakati wa mashambulizi yake ya hivi punde mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,…
Iran imesema kuwa madai yoyote ya kumiliki visiwa vitatu vya Ghuba ya Uajemi yaani Tomb Kubwa, TombNdogo na Bu Musa ni ukiukaji wa kanuni za ujirani mwema na kutoheshimu mamla…
Kitengo cha rufani cha Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kimetupilia mbali hoja za utawala wa kizayuni wa Israel za kupinga uhalali wa uchunguzi wa mahakama hiyo kuhusu jinai zilizofanywa…
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Morocco leo JUmatatu imetangaza kuwa mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa yamesababisha vifo vya takriban watu 37 katika mji wa pwani wa Safi nchini humo.
Makaburi ya Waislamu nchini Australia yamenajisiwa kwa vichwa vya nguruwe vilivyokatwa kufuatia ufyatuaji risasi uliolenga hafla ya Kiyahudi mjini Sydney nchini humo.
Viongozi wa Afrika Magharibi wamepinga mpango wa mpito uliotangazwa na watawala wa kijeshi wa Guinea-Bissau, badala yake wametaka kurejea haraka kwa utaratibu wa kikatiba. na kuonya kuhusu vikwazo vinavyolengwa dhidi…
Kadiri uchumi wa Uingereza unavyozidi kulegea na kuporomoka, takribani robo ya wazazi wenye ajira nao wanalazimika kutafuta msaada wa chakula cha bure kutoka mashirika ya hisani.
Leo ni Jumanne tarehe 25 Mfunguo Tisa Jamadithani 1447 Hijria mwafaka na tarehe 16 Disemba 2025.
Mkutano wa wawakilishi maalum wa nchi jirani za Afghanistan pamoja na Russia umefanyika katika wizara ya mambo ya nje ya Iran, mjini Tehran.
Mkuu wa shirika la nyuklia la Iran amekosoa wito wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA wa kufanya ukaguzi mpya kwenye maeneo ya nyuklia yaliyoshambuliwa, akisisitiza kwamba taasisi…
Wawakilishi maalum wa nchi majirani za Afghanistan wamepinga vikali uwepo wowote wa kijeshi wa maajinabi, wakizitaka nchi zilizopelekea kushuhudiwa mgogoro wa sasa nchini humo kuchangia ujenzi mpya bila kutumia msaada…
Wahamiaji tisa wa Kiafrika wamepoteza maisha kutokana na baridi kali karibu na mpaka wa Morocco na Algeria.
Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC Ali-Mohammad Naeini amesema kwamba ikiwa vita vitazuka, adui atakabiliwa na viwango vipya na vya hali ya juu vya nguvu ya…
Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC Ali-Mohammad Naeini amesema kwamba ikiwa vita vitazuka, adui atakabiliwa na viwango vipya na vya hali ya juu vya nguvu ya…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Yemen imetahadharisha dhidi ya kuongezeka kwa ukatili unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza na Ukingo wa Magharibi wa…
Hujambo mpenzi mskilizaji na karibu tuangazie baadhi ya matukio makubwa yaliyojiri viwanjani ndani ya siku saba zilizopita kote duniani.
Shujaa Muislamu ambaye video yake imeenea mno mitandaoni ikimuonesha akijitolea kwenda katikati ya ufyatuaji risasi na kujikubalisha kupigwa risasi lakini aweze kupambana na kumnyang'anya silaha gaidi aliyekuwa anawafyatulia risasi Mayahudi…
Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Kimataifa amesema kuwa, Hizbullah ni moja ya nguzo muhimu zaidi za kambi ya Muqawama na ina jukumu la kimsingi…
Zaidi ya watu 500,000, wakiwemo zaidi ya watoto 100,000, wamekimbia makazi yao tangu Desemba 1 kutokana na mapigano makali katika mkoa wa Kivu Kusini wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia…
Mamia ya watu nchini Tunisia wameendelea kufanya maandamano yaliyoitishwa na vyama vya upinzani na mashirika ya kisheria. Maandamano hayo yanaendelea kwa wiki ya nne mfululizo kwenye mitaa ya mji mkuu…
Iran iko mbioni kukamilisha ujenzi wa kiwanda kikubwa cha nishati ya jua katika mkoa wa Isfahan wa katikati mwa Iran, mradi ambao unaotarajiwa kuzalisha umeme kwa karibu nyumba milioni 2.5…
Pars Today- Ndege za kivita na mizinga ya Israel kwa mara nyingine tena imeshambulia maeneo mbalimbali ya Ghaza, na wakati huo huo utawala huo katili umefanya mashambulizi makubwa katika Ukingo…
Wizara ya Sayansi na Teknolojia ya Venezuela imetangaza kusainiwa makubaliano ya kimkakati na kampuni ya Iran kwa ajili ya kuzindua njia nne za uzalishaji wa vifaa muhimu vya matibabu nchini…
Wizara ya Sayansi na Teknolojia ya Venezuela imetangaza kusainiwa makubaliano ya kimkakati na kampuni ya Iran kwa ajili ya kuzindua njia nne za uzalishaji wa vifaa muhimu vya matibabu nchini…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Tanzania imekuwa ni rejea muhimu ya amani na mshikamano wa kijamii barani Afrika na duniani kote.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amesema uthabiti wa Afghanistan unategemea kuingizwa kwake kikamilifu katika mifumo ya kisiasa na kiuchumi ya kikanda, akisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa…
Leo ni Jumatatu 24 Mfunguo Tisa Jamadithani 1447 Hiijria sawa na 15 Disemba 2025.
Waziri Mkuu wa Uhispania amesema kwamba kampeni ya Marekani katika maji ya Karibi ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani shambulio la “kikatili” lililolenga hafla ya Kiyahudi mjini Sydney, Australia, shambulio ambalo limeua watu wasiopungua 12 na kuwajeruhi wengine kadhaa.
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema zaidi ya Wapalestina 1,000 wamepoteza maisha katika Ukanda wa Gaza kati ya Julai 2024 na Novemba 2025, wakisubiri ruhusa ya utawala wa Israel kuhamishwa…
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo yake na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Ethiopia kwamba: BRICS inaweza kuandaa mazingira ya kuwepo ushirikiano wa haki na…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa tahadhari kali kuhusu mvutano unaoendelea nchini Yemen, ikisema hali hiyo inaunufaisha tu utawala wa Israel na mkakati wake wa kuzigawa nchi za…
Mamlaka ya kunyang'anya uraia yanayoelezewa kuwa ni ya "kupindukia mpaka na yenye usiri" iliyopewa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Uingereza yanawaweka mamilioni ya Waislamu raia wa nchi hiyo katika…
Mgogoro wa kisiasa unaendelea kuikumba Cameroon wiki chache tu baada ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi kufanya uchaguzi wa rais.
Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) umeanza rasmi Jumapili mjini Abuja, Nigeria, ukikusanya viongozi wa kikanda kujadili masuala nyeti yanayoathiri eneo la Afrika…
Kiongozi wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas katika Ukanda wa Gaza, Khalil al-Hayya, katika taarifa yake ya video leo Jumapili amethibitisha kuwa, kamanda…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, daima taifa hili limekuwa likifuatilia kupanua ushirikiano na mataifa ya Kiafrika.
Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umeonya juu ya ongezeko la hatari ya milipuko ya magonjwa miongoni mwa watoto katika Ukanda wa Gaza, huko Palestina.
Brigedia Jenerali Ali Jahanshahi, Kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikosi vya ulinzi vikiwa na zana kamili, silaha na uwezo viko tayari…
Idadi ya watu walioaga dunia kutokana na janga la mafuriko nchini Indonesia imeongezeka na kupindukia 1000.
Taasisi za Kiislamu nchini Nigeria zimetangaza kuwa, hatua ya tume ya kutafuta ukweli ya bunge la Marekani ya kuandaa ripoti ya upande mmoja kuhusu mizozo ya kikabili katika nchi hiyo…
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran ameashiria nafasi na uwezo wa kundi la BRICS na kulieleza kama jukwaa muhimu la kuimarisha maingiliano na uhusiano wa kiuchumi na kisiasa miongoni mwa nchi…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ameeleza kusikitishwa na shambulio la ndege isiyo na rubani lililolenga kituo cha Umoja wa Mataifa nchini Sudan, na kuwaua askari sita wa…
Leo ni Jumapili mwezi 23 Mfunguo Tisa 1447 Hijria ambayo inasadifiana na 14 Disemba 2025 Miladia.
Rais wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traoré, amepongeza mafanikio liliyopata jeshi hivi karibuni ya kukomboa maeneo kadhaa na kusisitiza kwamba, nchi hiyo sasa imekuwa kigezo na mfano kwa mataifa ya…
Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, serikali ina wajibu wa kufanya juhudi za kuzatiti mamlaka ya kujitawala na uhuru wa Lebanon, na Muqawamwa kwa upande wake umeisaidia kutekeleza makubaliano…
Mamia kadhaa ya watu wameingia barabarani katika mji mkuu wa Guinea-Bissau, Bissau kupinga mapinduzi ya kijeshi ya mwezi uliopita viongozi wa upinzani wanaoshikiliwa waachiliwe huru, huku viongozi wa kikanda wakijiandaa…