🔴HABARI ZA SAA, NANE NA DAKIKA 55….FEBRUARI 20, 2026
🔴HABARI ZA SAA, NANE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 20, 2026
🔴HABARI ZA SAA, NANE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 20, 2026
#HABARI: Mwili wa Askofu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardanali Pengo unatarajiwa kuzikwa Jumamosi Februari 28, 2026 katika Kituo cha Hija Pugu jijini Dar es…
#HABARI: Serikali ya Mkoa wa Shinyanga imeutaka uongozi wa mgodi wa dhahabu wa Kikundi cha Mchapakazi Nyandolwa (W) Shinyanga uliokuwa umepata ajali Agosti 11,2025 na kusababisha watu 25 kufukiwa chini…
🔴HABARI ZA SAA, SITA NA DAKIKA 55....FEBRUARI 20, 2026
#VIDEO: Mchungaji Rose Masesa, dada mkubwa wa Tundu Lissu, akifanya maombi maalumu ndani ya chumba cha Mahakama, muda mfupi kabla ya kuanza kwa usikilizwaji wa kesi ya uhaini inayomkabili mdogo…
#HABARI: Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde, amewahakikishia wakulima nchini kuwa Wizara ya Kilimo itaendelea kusimamia kwa ufanisi utekelezaji wa miradi yote iliyoahidiwa na Serikali, ikiwemo miradi ya umwagiliaji,…
HABARI: Serikali kwa kushirikiana na Shirika la Thamini Uhai limezindua mradi wa Mjamzito na Mtoto Salama wenye thamani ya Dola za Marekani Milioni 12.15, unaolenga kupunguza vifo vya mama na…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 20, 2026
#HABARI: Waziri wa Usalama nchini Kenya Kipchumba Murkomen ameibua wasiwasi kuhusu mabomu ya machozi kupatikana mikononi mwa raia, akionya kuwa hali hiyo inaakisi kusambaa kinyume cha sheria kwa bunduki na…
#MEZAHURU: Je, baadhi ya vijana kutumia majina ya wasanii wanaojulikana na kujiingiza kipato Kwenye show na Mtandaoni, Kipi kifanyike kupambana na hii changamoto..? -Weka maoni yako
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....FEBRUARI 20, 2026
#HABARI: Vijana kutoka makundi mawili mkoani Mwanza, waliowasilisha mawazo yao kupitia Wizara ya Vijana mnamo Januari mwaka huu, wamepatiwa jumla ya shilingi milioni 200 kwa ajili ya kutekeleza miradi yao…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO:....FEBRUARI 20, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....FEBRUARI 20, 2026
🔴KUMEKUCHA MICHEZO:....FEBRUARI 20, 2026
🔴#MAGAZETI: DARASA LENYE KITABU KIMOJA LAZUA ZOGO
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 20, 2026
Ongezeko la shehena ya mizigo na ufanisi bandarini. Je, unaendana na uboreshaji mifumo mingine wezeshi kuepusha mkwamo ?
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 19, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 19, 2026
#HABARI: Mamia ya wananchi wa Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara wamejitokeza kuifariji familia ya aliyekuwa Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay, kufuatia kifo cha mama yake mzazi, Mariana Tkuway, aliyefariki…
#HABARI: Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati, Mhe. Subira Mgalu, ameipongeza Serikali kwa usimamizi madhubuti wa mfumo wa uagizaji mafuta kwa pamoja (BPS) unaohakikisha nishati hiyo inapatikana…
#HABARI: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema kuwa, katika kuhakikisha vijana wanajengewa uzoefu, serikali imedhamini vijana takribani 5000 katika mafunzo ya ufundi yatakayowawezesha kukidhi…
🔴#MALUMBANO: NINI KIFANYIKE KUDHIBITI VURUGU ZA WAENDESHA BODABODA BARABARANI KWA USALAMA WAO ....FEBRUARI 19, 2026
#HABARI: Mradi wa maji wenye thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni saba uko hatarini kusimama baada ya wananchi wa Kata ya Luana, Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe kuvamia chanzo cha…
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 19, 2026 - KITUO CHA FORODHA TARAKEA CHATAKIWA KUFANYA KAZI SAA 24
#HABARI: Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Bashiru Ally Kakurwa, amesema kuwa kiapo alichokula alipoteuliwa kushika wadhifa huo kinamtaka kusimamia kwa dhati maslahi ya wafugaji, ikiwa ni pamoja na kuwaondoa katika…
#HABARI: Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi Asilia, Dkt. James Mataragio, amekutana na uongozi wa Benki ya NBC jijini Dodoma kujadili ushirikiano wa kuwawezesha wawekezaji wazawa.…
#HABARI: Mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka mitano katika Mtaa wa Vikawe, Kibaha mkoani Pwani, umeanza kupatiwa utatuzi baada ya wananchi na mmiliki wa eneo kufikia maridhiano ya…
#HABARI: Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda, amewataka wamiliki wa Bandari Kavu (ICD) nchini kuanza kutoa huduma kwa saa 24 ili kuendana na kasi ya…
#HABARI: Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imekanusha dhana kuwa uwekezaji ni kwa ajili ya wawekezaji wa nje pekee, ikisisitiza kuwa kipaumbele chao kikubwa ni kuona…
#MALUMBANOYAHOJA: NINI KIFANYIKE KUDHIBITI VURUGU ZA WAENDESHA BODABODA BARABARANI KWA USALAMA WAO NA WATUMIAJI WENGINE WA BARABARA?
#HABARI: Kesi ya uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, imeendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Dar es Salaam mbele ya jopo la majaji watatu…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TABORA , FEBRUARI 19, 2026 - WAFUGAJI WAOMBA MBEGU BORA ZA MIFUGO ZA KISASA
#HABARI: Baraza la Madiwani la Manispaa ya Temeke limepitisha rasimu ya bajeti ya Shilingi bilioni 192.6 kwa ajili ya mwaka wa fedha 2026/27, ambapo Shilingi bilioni 75 zinatarajiwa kutokana na…
#HABARI: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, ikiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Subira Mgalu, imetoa wito kwa sekta binafsi kuwekeza katika ujenzi wa vituo vya gesi asilia iliyoshindiliwa…
#HABARI: Mahakama Kuu ya Zanzibar imetupilia mbali maombi ya kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi katika majimbo nane ya kisiwani Pemba, yaliyokuwa yamewasilishwa na wagombea…
#HABARI: Manispaa ya Kibaha mkoani Pwani imepitisha kwa kishindo bajeti ya mwaka wa fedha 2026/2027 yenye jumla ya Shilingi Bilioni 68.7 ikilenga utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayowalenga wananchi.…
🔴MEZAHURU ; ....FEBRUARI 19, 2026
#HABARI: Mbunge wa Tunduru Kaskazini Mhe. Ado Shaibu Ado amesema kuwa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kinapaswa kukamilisha ujenzi wa Kampasi ya Chuo hicho katika Kijiji cha Darajambili…
#HABARI: Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amewafuta kazi Waziri wa Afya lijah Muchima na Elias Mubanga, anayeshughulikia maendeleo ya biashara ndogo na za kati. Mabadiliko hayo, yanatokana na kifungu cha…
#HABARI: Msafara wa Mwenyekiti wa Chama Cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) Tundu Lissu ulivyowasili Mahakamani leo na Lissu anayetuhumiwa kwa Uhaini akaingizwa katika chumba na.1 cha Mahakama Kuu ya Tanzania…
#HABARI: Kaimu Balozi wa Marekani, Andrew Lentz amesema waliitaja Mtwara kama sehemu ya hatari katika tahadhari yao waliyoitoa mwaka jana kwa wasafiri wanaotoka Marekani lakini hata hivyo amefuatilia na kufurahishwa…
#HABARI: Kaimu Balozi wa Marekani, Andrew Lentz amesema wamesitisha misaada kwa Tanzania na kuweka ushirikiano katika uwekezaji katika miradi ambayo inagusa Watanzania hususan vijana. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI…
#HABARI: Kaimu Balozi wa Marekani, Andrew Lentz amesema walitoa tahadhari ya kusafiri kwa Wamarekani wanaoishi nchini na wale wanaotaka kuingia nchini wakati wa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ili…
“…Nilipata fursa ya kutembezwa katika sehemu za ndani za ITV, na kwa kweli inafurahisha sana ni operesheni ya ajabu kuona jinsi magazeti yanavyochapishwa, maudhui ya kidijitali, skrini ya bluu yote…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha, ametangaza kuongeza dau la zawadi kutoka shilingi milioni 20 hadi milioni 50 kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa sahihi zitakazomsaidia kukamatwa mtuhumiwa anayefahamika…
HABARI: Wachimbaji madini wasiopungua 33 wamefariki dunia kutokana na uvujaji wa kaboni-monoksidi unaoshukiwa kutokea kwenye mgodi wa madini ya risasi na zinki katika Jimbo la Plateau katikati mwa Nigeria. Mkasa…
#MEZAHURU: Unashauri nini Wizara ya Michezo kwenye kuinua MPIRA WA KIKAPU KWA VIJANA ndani ya Tanzania -Weka Moani yako
HABARI: Mnamo Febuari 10, 2026 mbele ya Mhe. Jasmin A. A wa Mahakama ya Wilaya ya Siha, TAKUKURU (W) Siha imefungua mashauri matatu ya Uhujumu Uchumi namba 2831, 2834 na…