Kukoma hedhi: Wakati homoni zinapoathiri uchumi
Kuna wanawake milioni 9 waliofikia umri wa kukoma hedhi katika nguvu kazi ya Ujerumani. Mabadiliko haya katika maisha yanaweza kuathari uchumi. Kuna mambo ambayo kampuni zinaweza kufanya ili kubaki na…
Kuna wanawake milioni 9 waliofikia umri wa kukoma hedhi katika nguvu kazi ya Ujerumani. Mabadiliko haya katika maisha yanaweza kuathari uchumi. Kuna mambo ambayo kampuni zinaweza kufanya ili kubaki na…
Mamlaka nchini humo zimewataka wakazi wa maeneo hayo kuwa waangalifu, na kuepuka maeneo yenye mafuriko.
Akichambua hali hiyo, Sarah Cubitt aliandika kwenye tovuti ya Skift kwamba safari iliyokuwa ndoto kwa wengi sasa "imegeuka kuwa kitendo cha kisiasa, hatari kubwa, na mzigo wa kifedha".
Rais Yoweri Museveni ambae amekuwa madarakani tangu 1986 ni miongoni mwa wagombea wanaotaka kuchaguliwa kwa awamu nyengine.
Baadhi ya wanawake hawa, waliwahi kupitia manyanyaso ya kijinsia ikiwemo kupigwa au hata kufukuzwa wakiwa na waume zao.
Real Madrid imeachana na kocha wake Xabi Alonso na kumteua aliyekuwa kocha wa timu ya vijana Álvaro Arbeloa kuchukua nafasi yake.
Serikali ya Sudan inasema itaendelea kuimarisha usalama katika miji na maeneo ya kimkakati.
Rais Félix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amefanya ziara ya kidiplomasia nchini Togo, baada ya safari tatu mfululizo nchini Angola kama sehemu ya mkakati wake wa kushughulikia mgogoro…
Kila chama kilichosajiliwa kina utambulisho wake unaotumika kuhamashisha wapiga kura.
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema utawala wa sasa nchini Iran huenda ukawa unakaribia mwisho wake kufuatia maandamano makubwa yanayoendelea nchini humo.
Watu wanne wameuawa na wengine sita wamejeruhiwa katika shambulio la anga la Urusi lililoulenga mji wa Kharkiv mashariki mwa Ukraine.
Marekani imesema mwanasiasa wa upinzani wa Venezuela, Maria Corina Machado, atakutana na Rais Donald Trump, wakati shinikizo likiongezeka kwa uongozi wa mpito mjini Caracas kuharakisha kuwaachilia wafungwa wa kisiasa.
Serikali ya Somalia imetangaza kubatilisha makubaliano yote na Umoja wa Falme za Kiarabu, yakiwemo makubaliano ya bandari na ushirikiano wa ulinzi na usalama, ikiituhumu UAE kwa kudhoofisha mamlaka ya taifa…
Uganda imeamuru mashirika mawili ya haki kusitisha shughuli zao, siku mbili kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu ambao Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu imeutaja kuwa unafanyika katika…
Iran imelegeza baadhi ya vizuizi kwa raia wake na kwa mara ya kwanza baada ya siku kadhaa ya kuzima mawasiliano, wameweza kupiga simu za kwenda nje ya nchi.
Somalia imefuta jana makubaliano yake yote na Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE, huku kukiwa na mvutano kuhusu hatua ya Israel ya kuitambua Somaliland.
Katika viwanja vya umma vilivyojaa watu na mikusanyiko ya kando ya barabara, wafuasi vijana wanaoimba nyimbo za chama na kupiga picha kwenye simu zao, ndio wengi kuliko watu wengine wote.
Mamlaka hapo awali zilisema baadhi ya vito vilivyoibiwa tayari vimesafirishwa kwa njia ya magendo na kuvuka mipaka ya nchi hiyo, na sehemu kubwa ya vito hivyo bado haijulikani ilipo.
Baada ya Marekani kuivamia kijeshi Venezuela na kumkamata Nicolás Maduro, uongozi wa Iran unaogopa hatua kama hiyo. Tehran inaonya kuhusu ukiukwaji wa sheria za kimataifa na inajiona kama shabaha ya…
Serikali ya Sudani Jumatatu ilipitia mipango ya kujenga upya mji mkuu wa Khartoum na kurudisha huduma za msingi, baada ya serikali kuchukua uamuzi wa kuendelea na shughuli zake kutoka mjini…
Kiangazi cha miaka saba nchini Morocco kimemamilizika baada ya mvua za msimu wa baridi, Waziri wa Maji Nizar Baraka alisema siku ya Jumatatu.
Karibu matrekta kumi na tano ya FNSEA (Shirikisho la kitaifa la Vyama vya Wakulima) na wakulima vijana wameingia ktika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, leo Jumanne, Januari 13, muda mfupi…
Mashambulizi ya anga ya Urusi yaua watu wasiopungua wanne usiku wa kuamkia leo Jumanne na kuwajeruhi wengine sita kaskazini mashariki mwa Ukraine, karibu na Kharkiv, gavana wa mkoa ametangaza leo…
Nchini Benin, matokeo ya chaguzi mbili zilizofanyika sku ya Jumapili, Januari 11, yanatarajiwa kutangazwa siku ya Alhamisi, kulingana na Mkuu wa Mahakama ya Katiba, Cossi Dorothé Sossa. Jukwaa la uchaguzi…
Mapigano kati ya jeshi la Kongo na kundi la wanamgambo yametokea Bukama, mji ulioko kilomita 500 kaskazini mwa Lubumbashi, katika mkoa wa Haut-Lomami, siku ya Jumapili, Januari 11. Wakati mjadala…
Rwanda imetangaza siku ya Jumatatu, Januari 12, katika mahojiano na Jeune Afrique, kwamba Kigali itawasilisha barua ya kugombea kwa Louise Mushikiwabo kwa muhula wa tatu kama mkuu wa Shirika la…
Waziri wa maji nchini Morocco Nizar Baraka amesema nchi hiyo sasa imekabiliana na ukame wa muda mrefu baada ya mvua nyingi kunyesha majira ya baridi hivyo kuafikia viwango vinavyohitajika vya…
Ujumbe wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo upo nchini Tanzania kwa lengo la kuwasaidia raia wake wanaopewa hifadhi katika Mji wa Kigoma baada ya kutoroka mapigano yanayoendelea mashariki…
Alhamisi hii rais wa Uganda Yoweri Museveni atakuwa katika jaribio jingine la kutaka raia wa nchi hiyo wamuongezee muda zaidi wa utawala wake uliodumu kwa karibu miongo minne, uchaguzi ambao…
Nchini Uganda, wiki ya mwisho ya kampeni za wagombea inaendelea kabla ya uchaguzi wa urais na wa wabunge uliopangwa kufanyika siku ya Alhamisi, Januari 15. Kampeni hiyo inamalizika rasmi leo…
Rais Donald Trump wa Marekani amesema nchi yoyote itakayofanya biashara na Iran itatozwa ushuru wa asilimia 25. Ni kufuatia hatua ya Iran kuyakandamiza kwa nguvu kubwa maandamano ya kupinga ugumu…
Watu wawili wameuliwa katika shambulizi la Urusi lililofanywa katika mji wa Kharkiv, mashariki mwa Ukraine.
Serikali ya Somalia imefuta makubaliano yote iliyotia saini na Umoja wa Falme za Kiarabu kuhusiana na mvutano juu ya hatua ya Israel kuitambua Somaliland kama nchi huru.
Rais wa Cuba Miguel Díaz-Canel amesema mpaka sasa hakuna mazungumzo yoyote ya kutafuta makubaliano na Marekani yanayoendelea kufuatia vitisho vilivyotolewa na rais wa Marekani Donald Trump.
Kiongozi wa upinzani wa Venezuela Maria Corina Machado atakutana na rais wa Marekani Donald wiki hii. Mkutano huo utafanyika wakati Venezuela ikikabiliwa na shinikizo kuhusu kuwaachia huru wafungwa wa kisiasa.
Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza ushuru kwa nchi itakayofanya biashara na Iran kufuatia ukandamaziaji unaofanywa na serikali ya mjini Tehran dhidi ya waandamanaji wanaopinga ugumu wa maisha.
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema utawala wa sasa nchini Iran huenda ukawa unakaribia mwisho wake kufuatia maandamano makubwa yanayoendelea nchini humo / Serikali ya…
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza ushuru kwa nchi itakayofanya biashara na Iran kufuatia ukandamaziaji unaofanywa na serikali ya mjini Tehran dhidi ya waandamanaji wanaopinga…
Rais Donald Trump wa Marekani atangaza ushuru kwa washirika wa kibiashara wa Iran. Watu wawili wauwawa kufuatia shambulizi la Urusi mjini Kharkiv. Na Somalia yafuta makubaliano na Umoja wa Falme…
Mazungumzo hayo yalifuatia mikutano ya awali iliyofanyika Miami, Florida, nchini Marekani mwishoni mwa Disemba 2025.
Uturuki imeonya kuwa uingiliaji wowote wa nje katika nchi jirani ya Iran utaongeza na kuzidisha migogoro, si tu nchini humo bali pia katika eneo lote.
Baraza la Mawaziri la Somalia limefuta mikataba na makubaliano (MoU) zinazohusiana na ushirikiano wa usalama na ulinzi kati ya Somalia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), likitaja ukiukaji wa…
Museveni ameiongoza Uganda kwa karibu miaka 40, akitoka kusifiwa kama kiongozi wa mfano hadi kukosolewa kwa kukandamiza upinzani. Akiwa na miaka 81, bado anatafuta muhula mwingine akisema analinda mafanikio yake…
Shirika la Umoja wa Afrika (AU) limetoa tahadhari baada ya serikali ya Marekani hivi karibuni kuagiza kusitishwa kwa ufadhili na kujihusiha katika baadhi ya mashirika ya Umoja wa Mataifa.
Maandamano dhidi ya utawala yanaendelea nchini Iran, ambapo nchi hiyo katika hali tete baada ya mamlaka kuamua kufunga intaneti nchini kote ili kuzuia usambazaji wa picha na uandaaji wa maandamano.…
IShowSpeed, anayejulikana pia kama Speed, ni nyota maarufu wa mitandao ya kijamii kutoka Marekani ambaye hivi karibuni amevutia hisia za maelfu ya vijana barani Afrika, hasa Kenya.
Ripoti mpya kuhusu machafuko ya wakati wa uchaguzi wa 2025 nchini Tanzania imesema vikosi vya usalama viliwafyatulia risasi waandamanaji waliokuwa wakikimbia na kufanya "mauaji ya kiholela."
Unyanyasaji wa kingono unaohusiana na vita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umeongezeka huku msaada kwa walionusurika ukipungua kwa kiasi kikubwa.
Myanmar ilifanya mashambulizi ya kikatili dhidi ya jamii ya wachache wa Rohingya kwa lengo la kuiangamiza jamii hiyo, Gambia yasema.