Tume: Leteni kwanza ripoti zenu kabla ya kufikisha kwa umma
Tume ya uchaguzi ya Uganda imewagiza waangalizi kutowasilisha ripoti zao za uchunguzi kuhusu uchaguzi kwa vyombo vya habari wala kwa umma kabla ya kuziwasilisha kwa tume hiyo.
Tume ya uchaguzi ya Uganda imewagiza waangalizi kutowasilisha ripoti zao za uchunguzi kuhusu uchaguzi kwa vyombo vya habari wala kwa umma kabla ya kuziwasilisha kwa tume hiyo.
Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Haki, ICJ, imeanza kusikiliza kesi ya mauaji ya halaiki dhidi ya Myanmar kuhusu ukandamizaji wa watu wa kabila la Rohingya.
Manchester United iko katika hatua za mwisho za kumteua Michael Carrick kuwa kocha wa muda - hatua inayokuja baada ya majuma kadhaa ya sintofahamu na mabadiliko ya benchi la ufundi.
Shirikisho la Soka barani Afrika, CAF limeanzisha uchunguzi na kuonya juu ya uwezekano wa kuchukuliwa hatua za kinidhamu.
Watu wenye silaha walivamia mashua yenye uvuvi Pwani ya Gabon na kuwateka, wapiga makasia tisa, kwa mujibu ya Wizara ya Ulinzi nchini humo. Imechapishwa: 12/01/2026 – 16:19 Dakika 1 Wakati…
Shirikisho la Soka barani Afrika, CAF limesema Jumatatu kwamba limeanzisha uchunguzi na kuonya juu ya uwezekano wa hatua za kinidhamu kufuatia "tabia zisizokubalika", baada ya wachezaji kupigana uwanjani.
Maelfu ya Wairan wameandamana Jumatatu kuiunga mkono serikali, baada ya wiki mbili za maandamano ya kuipinga serikali yaliyochochewa na kudorora kwa uchumi.
Sera ya Uturuki barani Afrika inaingia katika hatua mpya ambapo ushawishi haupimwi tena kwa maneno, bali kwa vitendo.
Nchini Uganda, Idara ya usalama imesema imejiandaa vilivyo kukabiliana na vitisho vyote vya usalama kuelekea uchaguzi mkuu wa siku ya Alhamisi, huku Tume ya Uchaguzi ikisema iko tayari kwa zoezi…
Ripoti ya kutetea haki za binadamu ya Human Rights Watch, imesema vitendo vya unyanyasaji wa kimapenzi, vinatumiwa kama silaha ya vita, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Imechapishwa: 12/01/2026…
Rais Donald Trump amesema Marekani itaichukua Greenland "kwa namna moja ama nyingine" na kuonya kwamba Urusi na China wangelidhibiti eneo hilo, kama Marekani isingechukua hatua.
Kwa mujibu wa taarifa za serikali, sehemu nyingi za kazi za umma - ikiwa ni pamoja na taasisi za elimu na ofisi za utumishi wa umma - zimechelewa katika kutenga…
Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) linasema matukio katika mechi zote mbili yamewasilishwa kwa Kamati ya Nidhamu kwa uchunguzi kamili.
Ujerumani na India zinalenga kuupanua ushirikiano wao katika sekta ya ulinzi, na wizara za ulinzi za nchi hizo mbili zimetiliana saini kuhusiana na nia hiyo katika mkutano uliofanyika kwenye jimbo…
Nusu fainali za mwaka huu za michuano ya AFCON 2025 zinawakutanisha vigogo wanne wa soka barani Afrika: Senegal, Misri, Nigeria na Morocco.
Meta yafunga zaidi ya akaunti 544,000 nchini Australia baada ya marufuku.
Wapiga kura wanaweza kumrejesha madarakani kiongozi ambaye angeingia katika muongo wa tano wa utawala wake, au kumuunga mkono mgombea anayetaka kuleta mabadiliko
Mwanadiplomasia mwandamizi wa Iran anasema nchi yake inaangazia kuwa na makubaliano ambayo yanaheshimu haki za wote na usawa.
Kocha wa Morocco Walid Regragui ameibuka kwa hasira na kupinga vikali madai kwamba timu yake inanufaika na maamuzi ya upendeleo katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2025…
Mahakama ya Umoja wa Mataifa yaanza kusikiliza kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya Myanmar.
Wapiganaji wa mwisho wa vikosi vinavyoongozwa na Wakurdi wameondoka katika mji wa Aleppo kaskazini mwa Syria kufuatia makubaliano ya kusitisha mapigano makali yaliyodumu kwa siku kadhaa.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Johann Wadephul, anakutana siku ya Jumatatu na mwenzake wa Marekani Marco Rubio mjini Washington, kuhusu vitisho vya Marekani kuchukua Greenland hata kwa nguvu.
Mamlaka za Iran zimedai kuwa hali imedhibitiwa baada ya maandamano kuitikisa Jamhuri hiyo ya Kiislamu. Wanaharakati wametahadharisha kuwa kuzimwa kwa intaneti kunaficha vitendo vya ukandamizaji na mauaji.
Ujerumani na India zimepanga kuongeza ushirikiano wao katika sekta ya ulinzi.
Wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, walioko katika kambi ya Bikinga nchini Burundi, wamedai kutoridhishwa na hali ya maisha kutokana na huduma dhaifu za afya, makazi duni na hali…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi, amesema siku ya Jumatatu kwamba hali nchini humo imedhibitiwa kikamilifu baada ya ukandamizaji wa kikatili wa maandamano ya nchi nzima.
Maafisa wa Marekani wamesema walikuwa na chanzo maalum kilichotoa taarifa za kina kuhusu mahali alipo Maduro, jambo ambalo lilikuwa muhimu kwa operesheni hiyo.
Kwa sasa kuna dalili za kuongezeka kwa idadi ya watu wanaokimbilia maeneo mengine kutokana na kuongezeka kwa hali ya usalama katika mji wa Kadugli.
Rais wa Marekani Donald Trump amesema siku ya Jumapili, Januari 11, kwamba yuko tayari kukutana na kiongozi wa mpito wa Venezuela, Delcy Rodriguez, ambaye aliteuliwa madarakani baada ya Marekani kumkamata…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema siku yaJumapili, Januari 11, kwamba viongozi wa Iran wako tayari kwa “majadiliano” baada ya vitisho vyake vya kuchukua hatua za kijeshi, huku Jamhuri ya…
Serikali ya Uganda imetangaza likizo ya siku mbili kwa wananchi kushiriki uchaguzi mkuu siku ya alhamisi wikik hii, ambapo rais Yoweri Museveni atashindana na kinara wa upinzani, Robert Kyagulanyi. Imechapishwa:…
Raia wa Uganda walio na umri wa chini ya miaka 40 - na ambao ni zaidi ya robo tatu ya watu - wamemfahamu rais mmoja tu.
Raia wa Uganda walio na umri wa chini ya miaka 40 - na ambao ni zaidi ya robo tatu ya watu - wamemfahamu rais mmoja tu.
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz ameanza ziara rasmi India Jumatatu na kuifanya nchi hiyo ya watu wengi zaidi ya wakazi bilioni 1.4 kuwa kituo chake cha kwanza kikubwa cha Asia…
Waziri mkuu wa Sudan, Kamil Idris ametangaza shughuli za serikali kurejea kwenye mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum, baada ya miaka mitatu ya kuwa inaendesha shughuli zake huko Port Sudan.…
Wakati Sudan ikikamilisha siku 1,000 za vita vya wenyewe kwa wenyewe mwishoi mwa wiki hii iliyopita, Waziri Mkuu ametangaza siku ya Jumapili, Januari 11, kurudi rasmi kwa serikali katika mji…
Jeshi kwa kushirikiana na vikosi vingine vya usalama - limetangaza kwamba litalinda "maslahi ya kitaifa, miundombinu ya kimkakati ya nchi, na mali ya umma.”
Nchini Mali, kizuizi cha kiuchumi kilichowekwa kwa mafuta mwezi Septemba mwaka uliyopita na wanajihadi kimeenea hadi kwenye vituo vya viwanda. Viwanda vya wafanyabiashara wa Mali na India vimeshambuliwa siku ya…
Alhamisi ya wiki hii raia wa Uganda, watapiga kura kuchagua rais, wabunge na wawakilishi wengine, katika uchaguzi ambao karibu robo tatu ya raia wa nchi hiyo wenye umri wa miaka…
Boti iliyokuwa imebeba watu 300 kutoka nchi za Afrika Magharibi, ambayo iliondoka pwani ya Gambia zaidi ya mwezi uliyopita, haijulikani ilipo. Boti hiyo, iliyokuwa ikielekea Uhispania, iliondoka katika mji wa…
Hali inazidi kuwa tete nchini Uganda kabla ya Uchaguzi Mkuu unaopangwa kufanyika Januari 15, ambapo uchaguzi wa rais, wa wabunge, na wa serikali za mitaa zitafanyika. Mikutano mikubwa bado imepangwa.…
Mashambulizi dhidi ya wafanyakazi wa xa mashirika ya kutoa misaada ya kibinadamu yanaongezeka nchini Hamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Umoja wa Mataifa unaonya. Imechapishwa: 12/01/2026 – 04:48 Dakika 1…
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amewasili India leo Jumatatu kwa ziara rasmi ya siku mbili kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa India Narendra Modi.
Shirika la kutetea haki za binadamu la Iran lenye makao yake nchini Norway limesema mamlaka za Iran zimefanya mauaji ya halaiki.
Serikali ya Syria imeudhibiti kikamilifu mji wa Aleppo siku ya Jumapili baada ya kuvichukua vitongoji vya Wakurdi vya jiji hilo.
Myanmar imeanza duru ya pili ya upigaji kura jana Jumapili katika uchaguzi wake mkuu wa kwanza tangu jeshi lilipochukua madaraka miaka mitano iliyopita.
Raia wa Venezuele wameendelea kusubiri kuachiwa huru idadi kubwa ya wafungwa wa kisiasa kufuatia ahadi iliyotolewa na rais wa mpito Delcy Rodriguez Alhamisi wiki iliyopita.
Iran yadai kuwa hali kwa sasa "imedhibitiwa kikamilifu"+++Serikali ya Uganda imeipinga ripoti ya Umoja Mataifa inayoikosoa vikali kwa ukandamizaji dhidi ya upinzani kuelekea uchaguzi mkuu+++Ujerumani na India zakubaliana kuimarisha usalama…
Serikali ya Uganda imeipinga ripoti ya Umoja Mataifa inayoikosoa vikali kwa ukandamizaji dhidi ya upinzani kuelekea uchaguzi mkuu. Sikiliza ripoti kwa kina.
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz awasili India kwa ziara rasmi ya siku mbili. Shirika la kutetea haki za binadamu la Iran latahadharisha kuhusu mauaji ya halaiki katika maandamano. Na Syria…