Bobi Wine: Rais wa Wananchi katika uchaguzi wa kihistoria
Kutoka Ghetto ya Kampala hadi jukwaa la siasa za kitaifa, Bobi Wine amegeuka kuwa sauti ya vijana na changamoto kwa utawala wa miongo minne wa Rais Museveni, wakati Uganda ikielekea…
Kutoka Ghetto ya Kampala hadi jukwaa la siasa za kitaifa, Bobi Wine amegeuka kuwa sauti ya vijana na changamoto kwa utawala wa miongo minne wa Rais Museveni, wakati Uganda ikielekea…
Kutoka Ghetto ya Kampala hadi jukwaa la siasa za kitaifa, Bobi Wine amegeuka kuwa sauti ya vijana na changamoto kwa utawala wa miongo minne wa Rais Museveni, wakati Uganda ikielekea…
Jeshi mitaani, mashaka juu ya uchaguzi wa haki na hofu ya vurugu. Wengi wanatumaini mabadiliko, lakini wengine wanahofia machafuko, ukandamizaji na muendelezo wa utawala wa miongo minne wa Rais Yoweri…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amedai Marekani na Israel wanataka "kusababisha ghasia na kulivuruga taifa" hilo kwa kuamuru maandamano yanayoendelea nchini humo ya kupinga kupanda kwa gharama za maisha.
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Leo XIV amewaombea watu wote waliouawa katika maandamano ya Iran na katika mzozo wa Syria akitoa wito wa majadiliano na amani, katika ibada yake…
Rais wa Marekani Donald Trump, ameitolea mwito Cuba, kutafuta "makubaliano ya aina fulani" na Marekani au "itaonja cha mtemakuni" akisema kwamba kuanzia sasa Cuba haitopata tena fedha na mafuta kutoka…
Waziri Mkuu wa Sudan Kamil Idris ametangaza kwamba serikali ya taifa hilo imerejea mjini Khartoum, baada ya takriban miaka mitatu ya kufanya kazi katika mji unaokumbwa na vita wa Port…
Kocha wa Morocco Walid Regragui amekanusha minong'ono kuwa timu yake inanufaika kutokana na upendeleo kutoka kwa waamuzi kama mwenyeji wa Kombe la Mataifa ya Afrika.
Usafirishaji wa misaada ya kibinadamu unajumuisha chakula, vifaa vya matumizi ya kibinafsi, na vifaa vya matibabu na malazi kwa watu wa Sudan waliohamishwa na migogoro inayoendelea.
Uturuki imesisitiza "uungaji mkono wake mkubwa" kwa Somalia na pia kusisitiza kukataa kwake kutambua kwa Israel eneo la Somaliland.
Kwa mvuto wake wa kipekee, uthubutu na uwezo wa kujiweka karibu na wananchi wa kawaida, nyota wa muziki Bobi Wine ametingisha siasa za Uganda.
Iran imezitishia Israel na Marekani kwamba itazishambulia vikali iwapo Washington, itajaribu kuishambulia Tehran kwa kile inachosema ni kuunga mkono maandamano ya kupinga ugumu wa maisha.
Wanajeshi wa Israel na wanamgambo wa kipalestina wa Hamas wanasemekana kujitayarisha kuanzisha mapigano katika Ukanda wa Gaza.
Vyama vya upinzani na makundi ya kutetea haki za binadamu Venezuela, yamesema afisa wa polisi aliyekamatwa na kutuhumiwa kwa "uhaini" dhidi ya taifa hilo amefariki akiwa kizuizini.
Marekani imeanzisha mashambulizi mengine ya kulipiza kisasi dhidi ya kundi linalojiita Dola la Kiislamu Syria, kufuatia shambulizi lililofanywa na kundi hilo lililosababisha mauaji ya wanajeshi wa Marekani.
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anaelekea India hii leo Jumapili wakati kukiwa na changamoto kubwa barani Ulaya ikiwemo kupanda kwa ushuru wa Marekani pamoja na vitisho vya Urusi na China.
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa China Wang Yi ameonya dhidi ya uingiliaji wa kigeni nchini Tanzania katika wakati taifa hilo linakabiliwa na shinikizo la kimataifa kufuatia ghasia za baada…
Maafisa wakuu wa kijeshi wanaripotiwa kupinga mpango wa rais, kulingana na ripoti hiyo.
Salah wa Misri na Osimhen wa Nigeria walizisaidia timu zao kutinga nusu fainali.
"Wazo la mara kwa mara kwamba mwanamke mmoja baada ya miaka 35 au 40 ni 'hakamiliki,' 'ana madai makubwa' au 'amepoteza maisha' linaacha alama, kwa sababu linapuuzia mafanikio mengine, ukomavu,…
Beijing inasema "inapinga nguvu yoyote ya nje kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania" na inasisitiza uungaji mkono wake kwa "uhuru na usalama wa taifa".
11.01.202611 Januari 2026 Iran yatishia kuzishambulia Israel na Marekani iwapo Trump ataishambulia Tehran +++Israel na Hamas zinajitayarisha kuanzisha tena vita Ukanda wa Gaza +++Na upinzani Venezuela wasema afisa aliyetuhumiwa kwa…
Gavana wa mji wa Aleppo nchini Syria Azzam al-Gharib amesema kwamba mapigano yanayoendelea katika vitongoji vya Wakurdi kaskazini mwa Syria yamewafanya takribani watu zaidi ya 155,000 kuyakimbia makazi yao.
Shirika la kimataifa la ufuatiliaji wa intaneti la NetBlocks limesema kwamba "vipimo vyake vinaonyesha kuwa kukatika kwa intaneti kote nchini kunaendelea kutumika hata baada ya saa 36.
Shirika hilo limesema kati ya jumla ya vifo 53 vilivyorekodiwa, watu 25 wamekufa kutokana na mlipuko wa kipindupindu, huku wengine sita wakifariki kutokana na upungufu wa damu na matatizo yanayohusiana…
Januari 10 inaashiria kuanzishwa kwa kwa sheria ya 1961 ya kuboresha haki za waandishi wa habari huko Uturuki, ikiwa ni pamoja na usalama wa kazi na mishahara ya haki.
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, wameapa kulinda mali ya umaa, wakati huu maandamano makubwa yakiendelea kwa siku kadhaa sasa dhidi ya serikali. Imechapishwa: 10/01/2026 – 14:59Imehaririwa:…
Afrika Kusini, imetetea hatua ya kushirikiana na Urusi, Iran na China kwenye mazoezi ya kijeshi Baharini. Imechapishwa: 10/01/2026 – 14:52 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata…
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bishoftu utakuwa na nafasi ya kuegesha ndege 270 na uwezo wa kubeba abiria milioni 110 kwa mwaka, Waziri Mkuu Abiy Ahmed Ali alisema.
Wakimbizi zaidi ya 50 waliokimbia machafuko katika nchi yao ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wamepoteza maisha wakiwa kambini, katika nchi jirani ya Burundi. Imechapishwa: 10/01/2026 – 14:42Imehaririwa: 10/01/2026 –…
Ni Nigeria Super Eagles dhidi ya Algeria majira ya saa moja jioni kwa saa za Afrika Mashariki katika uwanja Stade de Marekhesh huku Misri wakiwa kibaruani kumenyana na mabingwa watetezi…
Ripoti mpya iliyozinduliwa na Waziri wa Madini na Uchumi wa Bluu, inasema nchi inatathmini jinsi ardhi iliyotumika hapo awali kuchimba madini inavyoweza kurekebishwa na kutumika tena kwa manufaa ya kijamii,…
Jeshi la Iran lasema litalinda miundombinu na mali ya umma, likiwataka Wairani kuzuia njama za adui huku mamlaka zikikandamiza maandamano.
Trump anawakutanisha viongozi kutoka kampuni kuu za mafuta, akiwahakikishia usalama wao wakifanya kazi katika nchi tajiri ya mafuta Amerika Kusini.
Ni baada ya meya wa mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, Vitaliy Klitschko kuwasihi wakazi katika mji huo kuondoka mara moja kutokana na kukatika kwa umeme katika sehemu kubwa ya mji…
Mashambulizi hayo ya vikosi vya serikali yamefanyika usiku kucha katika eneo hilo la Sheikh Maqsud baada ya muda wa mwisho uliowekwa kwa wapiganaji wa Kikurdi kusitisha mapigano na kujiondoa katika…
Akiyazungumzia maandamano hayo kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwake, Kiongozi mkuu wa Iran Ali Khamenei amewaita waandamanaji hao kuwa ni waharibifu na wahalifu na kuishutumu Marekani kwa kuichochea hali…
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla katika Ikulu ya White House, Trump amesema Washington itafanya "kitu" kuhusu Greenland, iwe wengine wanapenda au la.
Taarifa ya pamoja inasema ziara hiyo inakiuka sheria za kimataifa, inadhoofisha uadilifu wa ardhi ya Somalia, na hatari inayochochea ukosefu wa utulivu wa kikanda.
Morocco sasa wamefuzu kwa nusu fainali kwa mara ya kwanza katika zaidi ya miongo miwili.
Mchezo wa pili wa Robo fainali ya AFCON 2025 uliozikutanisha timu za Cameroon na Morocco uliishia kwa ushindi wa Morocco na kutinga nusu fainali ikiibamiza Cameroon bao 2-0.
Mkutano wa mawaziri wa ulinzi wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) unafanyika leo Jumamosi huko Livingstone, Zambia. Umeitishwa ili kuchunguza hali ya kibinadamu na usalama mashariki mwa DRC.…
Siku chache tu kabla ya uchaguzi wa Januari 15, waandishi kadhaa wa habari nchini Uganda wanasema wanafanya kazi katika hali ya hofu. Shambulio dhidi ya mwandishi wa habari Ivan Mbadi…
Mgogoro nchini Sudan umepita kizingiti cha siku elfu moja mwishoni mwa wiki iliyopita, lakini nchi inaendelea kutumbukia zaidi katika vita vya muda mrefu bila mtazamo wa kisiasa unaoonekana. Imechapishwa: 10/01/2026…
Siku tano kabla ya uchaguzi wa urais nchini Uganda (Januari 15, 2026), muungano wa mashirika ya kiraia nchini humo na ya le ya kikanda yanaonya kuhusu hali ya uchaguzi inayozorota.…
Rais wa Ufaransa, waziri mkuu wa Uingereza, na Kansela wa Ujerumani “wamelaani vikali” siku ya Ijumaa, Januari 9, “mauaji ya waandamanaji” na “vurugu” zilizofanywa na vikosi vya usalama nchini Iran,…
Uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili ulikatizwa mwaka wa 2019. Katika taarifa mbalimbali siku ya Ijumaa, Januari 9, viongozi wa Venezuela na Marekani walikiri nia yao ya kutafuta…
Rais wa Marekani amekutana na wakuu wa makampuni makubwa ya mafuta ya Marekani siku ya Ijumaa, Januari 9, kujaribu kuwashawishi waunge mkono miradi yake nchini Venezuela, ambapo anakusudia kulazimisha udhibiti…
“Iran ina matatizo makubwa,” Donald Trump amesema siku ya Ijumaa kuhusu maandamano ya kupinga serikali ambayo yamezuka nchini umo, na kusababisha kukatika kwa intaneti kote nchini na malaka kutumia ukandamizaji…
Katikati ya kile kinachoonekana kuwa wimbi la habari na matukio ya kuvunja moyo, kuna sababu kadhaa za kuwa na matumaini.