Matangazo ya Jioni 10.01.2026
Umoja wa Mataifa wasema wakimbizi 53 wa Kongo wamefariki nchini Burundi+++Serikali ya Iran yaendelea kuzima intaneti+++Zaidi ya watu 150,000 wayakimbia makazi yao kaskazini mwa Syria kufuatia vurugu+++Nigeria na Algeria kukipiga…