Namna rais Touadera atakavyokabiliana na changamoto za CAR
Rais wa Jamhuri ya Afrika ya kati Faustin Archange Touadera ameshinda uchaguzi wa muhula wake wa tatu madarakani. Lakini ushindi wake haukuja kama mshangao.
Rais wa Jamhuri ya Afrika ya kati Faustin Archange Touadera ameshinda uchaguzi wa muhula wake wa tatu madarakani. Lakini ushindi wake haukuja kama mshangao.
Urusi imetoa lawama kali zinazoilaumu Ukraine na washirika wake wa Ulaya, ikiwataja wote kama mhimili wa vita vinavyoendelea huku ikionya kwamba suala la kutuma kikosi cha wanajeshi wa Ulaya nchini…
Wakati mkutano wa kilele wa mawaziri wa ulinzi kutoka eneo la Maziwa Makuu ukifunguliwa nchini Zambia siku ya Alhamisi, Januari 8, sherehe ilifanyika siku hiyo hiyo mashariki mwa DRC kuwaenzi…
Urusi imeiita Ukraine na Washirika wake nchi za Ulaya kama “wachochezi wa vita”, ikionya kuwa makubaliano waliyoafikiana jijini Paris kutuma wanajeshi wa kulinda amani huko Kiev ni suala ambalo Moscow…
Mamlaka nchini Tanzania, zimetangaza msako dhidi ya waandishi na vyombo vya Habari ambavyo vinafanya kazi bila kuwa na kibali, hatua hii ikilenga kuongeza udhibiti kuhusu uchapishaji wa Habari nchini humo.…
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz atafanya ziara yake ya kwanza rasmi mjini New Delhi, akilenga kuiimarisha India kama mshirika wa kibiashara na kijiografia kisiasa, ingawa hatua hiyo si rahisi kutekelezwa.
Mageuzi ya nambari mpya za usajili wa magari kwa mfumo ulio salama nchini DRC, uliyotangazwa na Kurugenzi Kuu ya Ushuru, na ambayo yalianza kutumika rasmi Januari 6, 2026, yamesababisha kutoelewana…
Mapigano makali yameendelea mjini Aleppo kati ya jeshi la Syria na wapiganaji wa Kikosi cha Ulinzi wa Syria SDF kinachoongozwa na Wakurdi.
Jeshi la Lebanon limesema limekamilisha awamu ya kwanza ya mpango wake wa kupokonya silaha kundi la Hezbollah kusini mwa nchi hiyo, hatua ambayo Israel imeitaja kuwa ya matumaini lakini "bado…
Urusi imeishtumu Marekani kwa kuchochea mvutano na kuhatarisha usafiri wa kimataifa baharini baada ya kukamata meli ya mafuta iliyokuwa ikipeperusha bendera ya Urusi katika Bahari ya Atlantiki Kaskazini.
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier amekosoa vikali sera ya kigeni ya Marekani ya Rais Donald Trump na ameyahimiza mataifa yasiruhusu utaratibu wa dunia kusambaratika.
Timu ya taifa ya Mali inaingia robo fainali ya AFCON ikiwa na motisha wa hali ya juu baada ya kupambana vilivyo dhidi ya Tunisia.
Kulingana na Rais wa Marekani Donald Trump, udhibiti wa Marekani kwa Venezuela unaweza kudumu “muda mrefu zaidi” kuliko mwaka mmoja, amesema katika mahojiano yaliyochapishwa siku ya Alhamisi, Januari 8, na…
Hatua ya Marekani kumteka na kumuondoa madarakani Kiongozi wa Venezuela, Nicolas Maduro, imezua hasira na mjadala barani Afrika.
Urusi imemwachilia huru mtafiti wa Ufaransa Laurent Vinatier kwa kubadilishana na kuachiliwa huru kwa mchezaji wa mpira wa kikapu wa Urusi Daniil Kasatkin, shirika la habari la Urusi TASS limeripoti…
Makundi ya kutetea haki za binaadamu yamesema kuwa vikosi vya usalama nchini Iran vimetumia mabomu ya kutoa machozi na risasi za moto kuwatawanya waandamanaji, ambao wamegadhabishwa na mzozo wa kiuchumi.
Maafisa nchini Syria wamewataka raia kuondoka katika maeneo yanayozozaniwa ya mji wa Aleppo kaskazini mwa Syria.
Waasi wa AFC/M23 wamefanya mazishi ya miili ya watu 22 waliofariki katika mashambulizi yaliyofanywa na droni za serikali ya Kinshasa katika kipindi cha zaidi ya miezi miwili.
Marekani imesema Rais Donald Trump anatafakari njia kadhaa ikiwemo hatua za kijeshi za kuichukua Greenland licha ya Denmark kuonya vikali kwamba shambulio lolote litaashiria kuvunjika kwa muungano wa kijeshi wa…
Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi, amesema nchi hiyo sasa ni mshindani halisi wa michuano ya AFCON baada ya Taifa Stars kufuzu hatua ya 16…
Mgombea wa urais wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, amesema kuwa iwapo atapata ridhaa wa wananchi ya kuliongoza taifa hilo, basi atapitia upya mikataba ya mafuta ya nchi hiyo.
Zoezi la kuondolewa watu wa kabila la Wamaasai kutoka kwenye ardhi ya mababu zao Tanzania, kwaajili ya kuwavutia watalii kwenye eneo la kuvutia la Ziwa Natron linawaweka hatarini baadhi ya…
Picha zilizotolewa na shirika la habari la hifadhi ya nchi hiyo zilimuonesha sokwe huyo aliyepewa jina la Mafuko mwenye umri wa miaka 22 akiwa amewakumbatia watoto wake.
Zikiwa zimesalia siku sita kwa uchaguzi mkuu kufanyika Uganda, homa ya kisiasa inayoshuhudiwa yaweza kuelezewa kuwa ni kinyang’anyiro cha uongozi kati ya vijana na wazee.
Rais wa Marekani Donald Trump ameamuru Marekani ijiondoe kutoka mashirika 66 ya kimataifa, akisema hayahudumii tena maslahi ya kitaifa ya Marekani.
Taarifa ya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia imesema, Kiongozi wa upande wa Kusini mwa Yemen unaotaka kujitenga, Aidaros Alzubidi amekimbilia Umoja wa Falme za Kiarabu.
Mashambulizi ya Urusi ya katika eneo la Dnipropetrovsk nchini Ukraine yamewaacha zaidi ya watu milioni moja bila maji na umeme.
Maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani wamewakemea vikali viongozi wa Somalia kufuatia madai ya wizi wa msaada wa chakula na kusitisha programu zote zinazoendelea za msaada wa…
Timu ya taifa ya Morocco inaendelea na dhamira ya kutwaa taji la Kombe la Mataifa ya Afrika wakiwa nyumbani, lakini inakabiliwa na shinikizo kubwa kabla ya robo fainali dhidi ya…
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Venezuela Diosdado Cabello amesema watu 100 waliuawa katika shambulio lililofanywa na Marekani nchini Venezuela, ambalo lilimwondoa mamlakani aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo Nicolas Maduro.
Rais wa Marekani, Donald Trump, amechukua hatua kubwa katika sera ya kimataifa kwa kuamuru Marekani ijiondoe kwenye mashirika 66 ya kimataifa, akisema kuwa hayahudumii tena wala kukidhi maslahi ya kitaifa…
Kiongozi wa kundi la waasi (STC) nchini Yemen Aidaros Alzubaidi amekimbilia Umoja wa Falme za Kiarabu.
Serikali ya Trump imeishutumu serikali ya Somalia kwa kuharibu ghala la shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) lililokuwa na misaada ya chakula iliyofadhiliwa na Marekani.
Mshambuliaji wa Algeria, Mohamed Amoura, ameomba radhi kufuatia ishara tata aliyoifanya wakati wa kusherehekea ushindi wa timu yake dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye Kombe la Mataifa ya…
Wakulima wenye hasira nchini Ufaransa wanaendeleza shinikizo kwa serikali siku chache tu kabla ya kusainiwa kwa makubaliano ya biashara huria na Mercosur na dhidi ya usimamizi wa mgogoro wa magonjwa…
Hali inazidi kuwa mbaya katika katika eneo la Djugu, mkoani Ituri, kaskazini mashariki mwa DRC. Kundi la waasi la CRP, kundi linaloongozwa na Thomas Lubanga – mfungwa wa zamani wa…
Katika mapambano yake dhidi ya makundi ya wanajihadi, jeshi la Niger limeongeza mashambulizi ya ndege zisizo na rubani katika wiki za hivi karibuni katika eneo la Tillabéri, kwenye mpaka na…
Wapiga kura wa Benin wanaenda kupiga kura Jumapili, Januari 11, kwa ajili ya uchaguzi wa wabunge na wa serikali za mitaa. Unafanyika kama ilivyopangwa, zaidi ya mwezi mmoja baada ya…
Rais wa Marekani Donald Trump amezindua shambulio jipya dhidi ya diplomasia ya hali ya hewa, akiamuru Marekani ijiondoe kutoka kwa mkataba na kamati ya kisayansi kuhusu mabadiliko ya hali ya…
Nchini Venezuela, shambulio ambalo Marekani ilimteka nyara Nicolás Maduro na mkewe Cilia Flores lilisababisha vifo vya watu 100, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Venezuela Diosdado Cabello ametangaza siku ya…
Wanajeshi wa majini nchini Marekani, wamezuia meli ya mafuta inayohusishwa na Venezuela Januari tarehe 7. Imechapishwa: 08/01/2026 – 08:20 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata Meli…
Afisa wa uhamiaji nchini Marekani, amempiga risasi mwanamke mwenye umri wa miaka 37 siku ya Jumatano kwenye mji wa Minneapolis. Imechapishwa: 08/01/2026 – 08:10 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo…
Kumiliki gari ni ndoto kwa wengi, lakini katika nchi nyingi kufanikisha ndoto hiyo huja kwa gharama kubwa.
Zambia inajiandaa kuandaa mkutano mkubwa wa usalama katika eneo la Maziwa Makuu ambao umepangwa kufanyika Januari 10 wenye lengo hasa la kushughulikia changamoto za usalama katika kanda wa maziwa mamkuu,…
Nchini Cote Dvoire, Waziri Mkuu Robert Beugré Mambé na serikali yake imejiuzulu, baada ya uchaguzi wa wabunge uliofanyika Desemba 27 mwaka uliopita. Imechapishwa: 08/01/2026 – 04:42 Dakika 1 Wakati wa…
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Venezuela, Diosdado Cabello amesema watu 100 wameuawa katika shambulio la Marekani la Jumamosi lililomuondoa Rais Nicolás Maduro madarakani.
Hatua ya Marekani ya kumkamata Nicolás Maduro inaiweka China, ambayo haishabikii machafuko katika njia panda.
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo wa 14, anaendelea na mkutano wake wa dharura wa makadinali wote wa Kanisa Katoliki duniani ikiwa ni kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe…
Umeme umerejeshwa katika makazi na maeneo ya biashara mjini Berlin baada ya kukatika kwa siku kadhaa kufuatia shambulio la uchomaji moto lililodaiwa kufanywa na wanaharakati wa mrengo wa kushoto.
Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya, Antonio Costa, amesema kuwa Umoja wa Ulaya utaiunga mkono Greenland na Denmark inapohitajika na hautakubali ukiukaji wa sheria za kimataifa popote pale unapotokea.