Kanisa la Mlima wa Moto kuombea taifa siku nane
Maombi hayo yatafanyika kuanzia Januari 25 hadi Februari 1, 2026 katika kanisa hilo jijini Dar...
Arsenal yatinga 16 bora Ulaya kwa rekodi ikiichapa Inter
Ushindi huo umeifanya Arsenal kufikisha pointi 21 ambazo zimeifanya ijihakikishie kumaliza...
Makundi ya tembo yawatisha wananchi Lushoto, Serikali yaanza tatua za dharura
Wananchi wa kata ya Lunguza katika Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga wamelalamikia uwepo wa...
Ombwe la utawala wa sheria mjadala
Hoja ya ombwe la utawala wa sheria imeibua mjadala, baadhi ya wadau wamesema hali hiyo...
Vijiji 72 kunufaika na mradi wa matumizi ya ardhi
Jumla ya vijiji 72 vilivyopo katika mikoa ya Njombe na Iringa vinatarajiwa kunufaika na mradi...
Kesi ya Dk Manguruwe: Mwalimu mstaafu aeleza jinsi alivyotapeliwa Sh48 milioni kupitia kilimo
Shahidi wa kwanza wa upande wa Jamhuri katika kesi ya kuendesha biashara ya upatu inayomkabili...
Msigwa: Uwekezaji bandari waimarisha ufanisi, mapato
Serikali imesema uwekezaji uliofanywa katika Bandari ya Dar es Salaam umeleta mafanikio makubwa...
Wafanyabiashara Kibaha wapatiwa maeneo salama ya biashara
Zaidi ya wafanyabiashara ndogondogo 150 wa Mtaa wa Mailimoja A, Manispaa ya Kibaha mkoani...
WFP yaonya njaa kuhatarisha masoko, utulivu duniani
Wakati viongozi wa dunia wakikutana katika Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) huko Davos, Uswisi...
Miti 8,000 kupandwa Skimu ya Umwagiliaji Mapama
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kwa kushirikiana na wadau wa mazingira na maji, imezindua rasmi...
Ufugaji wa kisasa ulivyoleta mageuzi ya maziwa Morogoro
Chama cha Wafugaji Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro kinatarajia kuitisha kikao cha dharura kwa...
Mbowe amwelezea Mtei, agusia mchango wake Chadema
Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amwelezea...
Dk Migiro awatumia ujumbe mawaziri, wabunge
Amesema hiyo itasaidia kujua changamoto hasa za vijana walioko kwenye mfumo rasmi wa ajira na...
Vijijii 72 kunufaika na mradi wa matumizi ya ardhi
Jumla ya vijiji 72 vilivyopo katika mikoa ya Njombe na Iringa vinatarajiwa kunufaika na mradi...
DC Muheza atangaza oparesheni dhidi ya wachimbaji haramu vyanzo vya maji
Vyombo vya ulinzi wilayani hapa vinatarajia kuendesha oparesheni ya kuwasaka wachimbaji haramu...
Wafadhili wa nje ya nchi kumaliza changamoto ya ukosefu wa mikopo kwa wanavyuo
Serikali imepanga kutumia wafadhili kutoka nje ya nchi watakaotumika kufadhili masomo ya...
Mtoto wa Beckham aanika mambo ya familia hadharani
Brooklyn Peltz Beckham, mtoto wa kwanza wa nyota wa zamani wa soka David Beckham na mbunifu wa...
Chawata mtaa kwa mtaa kuwasaka wenye ulemavu, ikilia ukata
Wakati idadi ya watu wenye ulemavu wa viungo wakifikia 1,370 mkoani Mbeya, Chama cha wenye...
Wadau wahoji muundo wa SUK, wasisitiza masilahi ya Taifa
Wadau hao wamesema ili SUK iwe na taswira halisi ya umoja wa kitaifa, ni muhimu iwashirikishe...
Sauti za Busara 2026 yagusa unyanyasaji wa kijinsia
Zikiwa zimesalia wiki mbili kabla ya ufunguzi wa msimu wa 23 wa Tamasha la Sauti za Busara...
Rais wa zamani anaswa akidaiwa kupanga njama kumuua Kapteni Traore
Damiba alimwondoa madarakani Rais wa Burkina Faso, Roch Marc Christian Kaboré, kupitia...
Mwinyi awahakikishia wawekezaji vivutio vya kodi, kuondoa urasimu
Dk Mwinyi amesema sekta ya usafiri baharini ni muhimu katika maendeleo ya uchumi wa Taifa...
JKT yawaita vijana kwenye mafunzo
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza kuanza kwa mafunzo ya kijeshi ya kujitolea kwa mwaka...
Rai wa China kortin akidaiwa kutakatisha Sh86 milioni
Min amefikishwa amesomewa mashtaka yake, leo Jumanne Januari 20, 2026 na wakili wa Serikali...
Mwanachuo afariki baada ya bodaboda aliyopanda kuigonga treni Tabora
Mtu mmoja anayefahamika kwa majina ya Tatu Mgeta (23) amefariki dunia baada ya boda boda...
Mkuu wa Majeshi Uganda ampa Bobi Wine saa 48 kujisalimisha Polisi
Katika hatua iliyoibua taswira ya wasiwasi kisiasa nchini Uganda, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi...
Familia yalia na gharama za matibabu ya mtoto aliyejeruhiwa na mbwa Iringa
Baba wa mtoto huyo, Said Ng'amilo amesema tangu tukio hilo kutokea familia imeingia kwenye...
Mahakama ilivyoibana Serikali shauri la Mwambe, familia kunyang’anywa pasipoti
Mwambe kupitia mawakili wake Mpale Mpoki na Hekima Mwasipu amefungua shauri hilo chini ya hati...
Mkutano wa Kihongosi wapokea kero 61, aagiza wahusika walindwe
Jumla ya kero 61 zimewasilishwa kwenye mkutano wa hadhara wa Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na...
Mastaa Bongo na himaya zao Instagram
HAKUNA mtandao wa kijamii uliotokea kupendwa na mastaa wengi Bongo na hata duniani kwa ujumla...
Fahamu namna ya kutofautisha video halisi na iliyotengenezwa na AI
Ukiingia kwenye mtandao wa Instagram, X, Facebook au TikTok ni rahisi kuona mtu anatolea maoni...
Serikali yaita wafanyabiashara kutatua changamoto za biashara
Serikali imewataka wafanyabiashara nchini kuimarisha ushirikiano na taasisi za umma kwa kutumia...
Akon ni funzo la uzalendo kwa mastaa
Mwanamuziki maarufu Akon, ameendelea kuwa funzo kwa mastaa wengi duniani, hii ni baada ya...
UN yatangaza watu 500,000 wakumbwa na mafuriko Msumbiji, yaitaja Tanzania
Umoja wa Mataifa umesema taribani watu 500,000 wameathiriwa na mafuriko katika maeneo ya kusini...
Mzee Mtei kuzikwa Jumamosi nyumbani kwake
Mzee Mtei ambaye pia alikuwa Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), alifariki dunia...
Wanafunzi 14 wafariki ajalini, Rais Ramaphosa atuma rambirambi
Uchunguzi wa awali wa Polisi umebaini dereva wa basi la wanafunzi dereva alishindwa kulidhibiti...
Chama kurejea Simba ni suala la muda, Toure atambulishwa
Habari kutoka chanzo cha uhakika ndani ya Simba, imethibitisha kuwa tayari imeshafikia...
Edwin Mtei: Nguzo ya uchumi wa Taifa
Edwin Isaac Mbiliewi Mtei, aliyefariki dunia akiwa na umri wa miaka 94 katika shamba lake...
Taifa Stars yapanda nafasi mbili viwango FIFA
Kutinga hatua ya 16 bora ya Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 zilizofikia tamati huko...
Kuelekea Bima ya Afya kwa Wote: Anza mwaka 2026 ukiwa na Bima ya Tumaini kutoka Strategis kwa gharama ya kuanzia Sh 100,000 tu
Kwa kulitambua hili, Strategis Insurance imeanza mwaka kwa kutoa suluhu la upatikanaji wa...
Rais Samia aomboleza kifo cha mwasisi wa Chadema
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi baada ya kifo cha mwasisi wa...
Mastaa wa Korea na skendo za dawa za kulevya, ngono
Umaarufu katika tasnia ya burudani mara nyingi huonekana kama kilele cha mafanikio, lakini kwa...
Tanzania mguu sawa uwekezaji sayansi ya bahari
Taasisi ya Sayansi za Bahari ilianzishwa Oktoba 17, 1978 baada ya kuvunjika kwa Jumuiya ya...
Mwasisi wa Chadema afariki dunia
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa, John Heche, imeeleza...