Watoto 626 wafanyiwa ukatili Maswa ndani ya miezi 12
Jumla ya watoto 626 katika Wilaya ya Maswa, Mkoa wa Simiyu, wamefanyiwa vitendo mbalimbali vya...
Mbinu kumlinda mtoto dhidi ya matumizi hasi ya teknolojia hizi hapa
Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kila mwaka Juni 16 ikiwa ni kumbukumbu ya watoto wa Soweto...
Watanzania waitwa kongamano wabobezi wa AI duniani
Watanzania wameitwa kuonesha bidhaa zao za kiteknolojia, bunifu pamoja na kujifunza kuhusu...
Kauli za kukemea ubaguzi zatikisa Bunge, Baraza la Wawakilishi
Mjadala wa kurushiana vijembe kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la...
Serikali yazindua mradi wa Sh10.5 bilioni kuimarisha usambazaji umeme Kongwa
Serikali imeendelea kuimarisha uwekezaji katika sekta ya nishati kwa kuzindua mradi wa zaidi ya...
Polisi Kilimanjaro wanasa 138, mmoja ahukumiwa kifo
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limewatia mbaroni watu 138 wanaotuhumiwa kujihusisha na...
Gharama za matibabu sababu wengi kuishi na maradhi
Gharama kubwa za matibabu zimeendelea kuwa kikwazo kwa wananchi wengi, hali inayowalazimu...
Balozi Yakubu asisitiza ushirikiano Afrika kulinda urithi wa dunia
Pia zihakikishe sauti ya Afrika inasikika kwa nguvu katika majukwaa ya kimataifa yanayojadili...
NMB na mageuzi ya kidijitali kupitia simu ya mkononi
NMB Mkononi Super App imeongezewa baadhi ya huduma zinazoweza kutumiwa na mtumiaji, ikiwemo...
Sh600 bilioni kujenga kiwanda cha chuma Dodoma
Serikali imetangaza kupatikana kwa wawekezaji watakaotekeleza ujenzi wa kiwanda kikubwa cha...
Mmoja mbaroni kwa mauaji, kutupa mwili kwenye shimo
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia mfanyakazi wa usafi wa baa ya Shisha Village...
Mansour Group kuimarisha biashara, uchukuzi kikanda
Akizungumza kuhusu mradi huo, Mkurugenzi Mtendaji wa Mansour Trucks Tanzania, Anurup...
Tanzania, DRC kuimarisha usafirishaji mizigo Ziwa Tanganyika
Kampuni ya Meli Tanzania (Tashico) na Kampuni ya Taifa ya Meli ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya...
Kolabo mbili zinazosubiriwa kwa hamu Bongo
Sekta ya muziki wa Bongo Fleva imeendelea kukua kwa kasi katika miaka ya hivi karibuni. Huku...
Sababu Gabo kuigiza safari ya kiongozi wa Kihehe
Katika kipindi ambacho filamu nyingi zinajikita kwenye simulizi za mapenzi, migogoro ya...
Wawakilishi waibana Serikali kwa ongezeko la misamaha ya kodi
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameeleza masikitiko yao kuhusu mwenendo wa Serikali wa...
Ufaransa, Senegal vita ya heshima Kombe la Dunia
Unakumbuka wakati Senegal ilipowashangaza mabingwa wa dunia watetezi, Ufaransa Ni ile mechi ya...
Mfumo wa e-Delivery kuimarisha uwajibikaji wa miradi ya maendeleo
Amesema e-Delivery utakuwa chombo kikuu cha serikali katika kufuatilia mwenendo wa miradi kwa...
Safari ya kujenga umakini, kumbukumbu na kujiamini kwa watoto jijini Tanga
Kijiji cha Konazedi kipo umbali wa kilomita kumi na sita kutoka jijini Tanga ambacho barabara...
Dakika 90 zilivyobadilisha maisha ya kipa Cape verde
Kipa mkongwe wa Cape Verde, Josimar Dias ‘Vozinha’, ameibuka shujaa katika mechi ya Kombe la...
Kiongozi wa wafugaji achukuliwa na wasiojulikana nyumbani kwake, Polisi…
Sintofahamu hiyo imetokana na uvamizi wa watu waliodai kuwa askari na kuondoka naye pamoja na...
Kiboko ya Argentina, apewa shavu Tunisia
Siku moja baada ya kumtimua Sabri Lamouchi, Tunisia imemtangaza Mfaransa Herve Renard kuwa...
Mashabiki Japan wanavyojitofautisha kwa usafi Kombe la Dunia
Dakika chache baada ya filimbi ya mwisho kupulizwa kwenye Uwanja wa AT&T mjini Arlington...
Gabo alivyotumia sanaa kueleza historia ya Wahehe
Katika kipindi ambacho filamu nyingi zinajikita kwenye simulizi za mapenzi, migogoro ya...
Boni Yai aripoti Polisi Oysterbay, aambatana na mawakili wawili
Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Boniface Jacob...
Chuki dhidi ya wageni zaanza kutesa wasanii Afrika Kusini
Wakati muziki wa Afrika Kusini ukiendelea kutamba katika mataifa mbalimbali Afrika. Baadhi ya...
Iran yalalamika kulazimishwa kuondoka Marekani
Timu ya taifa ya Iran imeibua malalamiko juu ya mazingira magumu inayokutana nayo katika...
Mwanamke aliyebadili maisha ya Rio Ferdinand
Kwa wengi, jina la Kate Ferdinand lilijulikana kupitia kipindi cha televisheni cha The Only Way...
Iran ilivyoingia Marekani na ulinzi mkali Kombe la Dunia
Mamlaka za Mexico zimeweka kikosi maalumu cha askari wapatao 300 kutoka Jeshi na Kikosi cha...
Mkenda Cup yawasha moto Rombo, timu 118 kushiriki
Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro inatarajiwa kushuhudia ushindani mkubwa wa soka mwaka huu...
Huyu ndiye Vozinha kipa wa Cape Verde aliyeiduwaza Hispania
Kipa mkongwe wa timu ya taifa ya Cape Verde, Josimar José Évora Dias maarufu kama Vozinha...
Wazee Chadema kujifungia Singida kujadili mustakabali wa chama
Baraza la Wazee la Chadema) (Bazecha) linatarajiwa kukuketi kwa siku mbili mkoani Singida...
Malalamiko ya wananchi kusuasua huduma ya maji yamng’oa kigogo Mwanza
“Sasa naelekeza Katibu Mkuu, Meneja wa Usambazaji Maji asimamiswe mara moja. Haya mambo siyataki.
Mtoto aliyetekwa apatikana hai msituni, baba adaiwa kuhusika
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia kikosi maalumu cha kupambana na uhalifu, limefanikiwa...
Yasin Ayari: Mswedeni aliyeitesa Tunisia timu ya baba yake
Mara nyingi soka huandika simulizi ambazo haziwezi kutungwa na mwandishi wa filamu. Ndivyo...
Wenza wanavyoshirikiana asilimia 30 ya bakteria wa tumboni
Utafiti mpya umebaini kuwa watu wanaoishi pamoja kama wanandoa au wapenzi hushirikiana kiasi...
Mvutano wa wahamiaji Afrika Kusini washika kasi, Juni 30 ikikaribia
Katika Jimbo la KwaZulu-Natal, maelfu ya raia wa Malawi wamekimbia makazi yao na kukusanyika...
Ifahamu programu mpya kupima masikio kupitia kishkwambi
Programu hiyo, ambayo inapatikana bila malipo katika mifumo ya Android na iOS, imeundwa...
Hapi: Viongozi CCM tatueni kero za wananchi acheni kushughulikiana
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, amewataka viongozi wa...
Chadema kujibu madai kesi ya rasilimali Julai Mosi
Wadaiwa katika kesi hiyo ni Bodi ya Wadhamini Waliosajiliwa wa Chadema na Katibu Mkuu wa chama...
Sh296 milioni kupunguza kero ya maji Rombo
Mamia ya wananchi wa vijiji vya Mrao, Momwe na Kiraeni katika Kata ya Mrao Keryo, Wilaya ya...
Wagonjwa wa moyo kupata majibu ndani ya dakika nane JKCI
Ile hali ya kutumia dakika 30 kusubiri majibu ya vipimo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya...
Wagonjwa wa moyo kupata majibu ndani ya dakika tano JKCI
Ile hali ya kutumia dakika 30 kusubiri majibu ya vipimo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya...