Eveline Ulanga anavyoendesha maisha kwa usafi majumbani
Kupitia mitandao ya kijamii, alianza kujitangaza kwa marafiki na watu aliowafahamu kuwa anatoa...
Beki Chelsea akamatwa na bangi Hispania
Beki wa zamani wa Chelsea na West Bromwich Albion, Paul Clement anashikiliwa na Polisi nchini...
Watatu wafariki ikidaiwa kunywa dawa za kutoa nyongo, kuongeza hamu ya kula
Watu watatu wakazi wa Kijiji cha Burunga wilayani Serengeti mkoani Mara wamefariki dunia huku...
Serikali: Hakuna muda wa nyongeza miundombinu uwanja wa AFCON
Profesa Shemdoe amesema kutokana na ukubwa wa mashindano hayo, dunia yote itaelekeza macho yake...
Chadema: Ramadhani ni msingi wa kujenga jamii bora
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Serengeti kimetuma salamu za pongezi kwa...
Waislamu watakiwa kudumisha utamaduni wa kutenda mema
Waumini wa dini ya Kiislamu wametakiwa kuendelea kumfanya Mwenyezi Mungu kuwa kimbilio lao...
Polisi Dar wakazia marufuku matumizi ya njia za mwendokasi
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesisitiza marufuku kwa magari binafsi, ya...
Chuck Norris wa ‘The Delta Force’ afariki dunia
Gwiji wa mapigano na filamu za kivita, Chuck Norris, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 86...
Jaji Warioba aeleza hatua kwa hatua alivyosoma, kufanya kazi na Jaji Manning
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema aliyekuwa Jaji wa kwanza mwanamke nchini...
Dereva mbaroni kwa kusafirisha wahamiaji haramu
Jeshi la polisi mkoa wa Njombe linamshikilia Sipha Credo Mgonde (47) ambaye ni dereva na mkazi...
Profesa Kitila anadi uwekezaji wa kimkakati China
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, ameitangaza...
Mwanafunzi wa chuo kikuu afariki chumbani Morogoro
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM), Hussein Rashid Omary (23) amekutwa...
Zaidi ya hekta 400,000 za misitu hupotea kila mwaka
Wakati Tanzania ikielekea kuadhimisha Siku ya Misitu Duniani inayofanyika kila ifikapo Machi 21...
Ofisa wa benki ahukumiwa kulipa Sh152 milioni kwa wizi
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu aliyekuwa ofisa wa benki ya Equity Tanzania Limited,...
Mwanamama aliyegeuza, kuijenga upya taswira ya Sheria Tanzania
Dar es Salaam. Jaji wa kwanza mwanamke nchini na Afrika Mashariki, Julie Catherine...
Vita ya Iran kutikisa wakulima upatikanaji mbolea duniani
Wakati vita ya Marekani, Israel dhidi ya Iran ikiendelea kushika kasi kwa takribani wiki ya...
Rais Samia mgeni rasmi Baraza la Eid
Waislamu nchini na duniani kote kesho wataadhimisha Sikukuu ya Eid El-Fitri, huku Baraza Kuu la...
Vita ya Iran kutikisa wakulima upatikanaji mbolea dunia
Wakati vita ya Marekani, Israel dhidi ya Iran ikiendelea kushika kasi kwa takribani wiki ya...
Julie Manning, mwanamke wa kwanza Mtanzania kuwa jaji afariki dunia
Kifo cha Jaji mstaafu Julie Manning kimetamatisha safari ya maisha ya mwanamke huyo aliyeacha...
Serikali za EAC zashinikizwa kugawa pedi bure, kuondoa tozo
Serikali za nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimetakiwa kupitia upya sera na...
Msanii Halima kwenye mikono ya BASATA
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemuita msanii wa nyimbo za mduara Halima Haji pamoja na...
Yas Half Marathon 2026 mambo safi Kilimanjaro
Shauku na hamasa ya kushiriki mbio za Yas Kili International Half Marathon (21kms) imeonekana...
Yas Half Marathon 2026 mambo safi
Maelfu ya wakimbiaji kutoka ndani na nje ya Tanzania, wanaendelea kumiminika katika mji wa...
Dharau, majivuno vilivyomrudisha Rani Mondal kwenye msoto
Kuna methali inasema 'Mwanga wa mshumaa hudumu kwa muda mfupi' nyingine inaeleza 'Kila penye...
Harmonize na warembo damudamu
Mwanzilishi wa Konde Music Worldwide, Harmonize, 32, ni kati ya wanamuziki ambao video za...
Aliyemuua baba yake ahukumiwa kunyongwa hadi kufa
Mahakama Kuu, Masijala Ndogo ya Bukoba, imemhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa Victor Alex...
Mashariki ya Kati inavyoadhimisha Eid katikati ya vita
Wakati baadhi ya Waislamu wakiendelea na mfungo wa Ramadhan katika baadhi ya maeneo duniani...
TIA yaboresha mitaala kukidhi soko la ajira na mabadiliko ya teknolojia
Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) imeendelea kuimarisha ubora wa mafunzo kwa kuboresha...
Jeshi la Polisi lawashikilia wawili kwa mauaji ya Nyanza
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia watuhumiwa wawili wanaohusishwa...
Waislamu Kibaha wapanga kujenga hospitali ya kisasa ya Sh5.5 bilioni
Katika hatua inayolenga kuleta mapinduzi ya huduma za afya zinazozingatia faragha na heshima ya...
Sare Pamba Jiji, Simba yalinda rekodi ya Yanga
Matokeo hayo yameifanya Simba ipande hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi ikifikisha...
Fidia Sh2.9 bilioni yafungua njia mradi wa maji Mbeya
Serikali imeanza mpango wa kumaliza kero ya maji mkoani Mbeya baada ya kutoa zaidi ya Sh2.9...
Mwenyekiti wa CCM Itilima afariki dunia
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed, amesema kuwa chama kipo katika maandalizi ya...
FIFA yaitoza Israel mamilioni kisa Palestina
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (FIFA) limeipa Israel adhabu ya faini kiasi cha Sh491...
Kutoka msaidizi wa wasusi hadi mfanyabiashara wa kimataifa wa magauni ya harusi
Alikuwa binti mwenye ndoto kubwa, lakini safari ya kuzifikia haikuwa nyepesi. Hakuwa na elimu...
Jubilei ya Dhahabu ya TanTrade: Miaka 50 ya kuijenga Tanzania ya biashara kimataifa
Akizungumza kuhusu mafanikio hayo, Mkurugenzi wa TanTrade, Dk Latifa Mohamed Hamisi, amesema...
Mambo 10 muhimu kwa Muislam siku ya Eid
Sikukuu ya Eid ni miongoni mwa siku muhimu zaidi kwa Waislamu duniani, ikiwa ni hitimisho la...
TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa, wananchi waonywa
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya tahadhari na angalizo la mvua kubwa...
Takukuru yabaini kasoro miradi ya Sh37 bilioni Mara
Ukaguzi huo ulifanyika kuanzia Julai 2021 hadi Septemba 2025, ukihusisha sekta za afya, maji...
Wastaafu tujihadhari na mikopo ya kununua madeni yetu
Wiki za karibuni mstaafu wetu amekuwa akishangazwa na mfululizo wa matangazo kutoka hizi benki...
KONA YA MSTAAFU: Wastaafu tujihadhari na mikopo ya kununua madeni yetu
Wiki za karibuni mstaafu wetu amekuwa akishangazwa na mfululizo wa matangazo kutoka hizi benki...
Vunjo yajipanga kufufua zao la kahawa, miche 500,000 ya kisasa ikipandwa
Wakati Jimbo la Vunjo, Mkoani Kilimanjaro likipanga kuotesha miche 500,000 ya kahawa ya kisasa...
Rafiki, majirani wasimulia mauaji ya mtalaamu sauti za filamu
Iliyokuwa hadithi ya mapenzi yenye matumaini na ndoto za pamoja, imegeuka simulizi ya kushtua...
Tanzania na viwango hafifu vya furaha, wananchi waeleza ya moyoni
Je, wewe ni Mtanzania Unafurahia maisha Jibu la swali hilo unalijua mwenyewe, lakini Tanzania...
Sh8 bilioni kubadilisha Kampasi ya MUST Mtwara, Kuimarisha Elimu ya Ufundi
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekabidhiwa rasmi miundombinu ya...
Askofu Shoo apendekeza neno haki liwekwe kwenye wimbo wa Taifa
Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk...