Yassin Mustafa mali ya Coastal
ALIYEKUWA beki wa TRA United, Yassin Mustafa ameanza mazoezi na Coastal Union baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja akiwa mchezaji huru.
ALIYEKUWA beki wa TRA United, Yassin Mustafa ameanza mazoezi na Coastal Union baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja akiwa mchezaji huru.
LIBASE Gueye, mechi yake ya kwanza Ligi Kuu Bara ndani ya Simba akicheza dhidi ya Mashujaa, amefanikiwa kufunga bao, huku akionyesha kiwango kilicholeta matumaini mapya ndani ya kikosi hicho katika…
WAKATI kesho Ijumaa Januari 30, 2026 dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufungwa, Kocha wa Pamba Jiji, Francis Bara amesema hawana mpango wowote wa kuongeza mchezaji akiamini kikosi kilichopo kinaweza kufanya…
"TUNAANZA Ligi na Pamba Jiji". Ni kauli ya Kipa wa Mbeya City, Beno Kakolanya akiwatuliza mashabiki wa timu hiyo kufuatia matokeo yasiyoridhisha ya timu hiyo katika Ligi Kuu Bara.
AGOSTI mwaka jana, kinda wa Kitanzania, Sabri Kondo alijiunga na BK Hacken inayoshiriki Ligi Kuu ya Sweden akitokea Singida Black Stars na alisaini mkataba wa miaka minne na nusu kuitumikia…
SIMBA imeshusha nyota takribani saba wa kigeni katika dirisha hili dogo la usajili huku ikifungulia milango wengine kwa kuwaondoa katika kikosi chake na baadhi bado ipo nao lakini haitowatumia hadi…
Uaminifu ndio msingi wa ubashiri wenye mafanikio na kigezo muhimu ni katika kuchagua kampuni ya ubashiri. Kila mcheza kamari anataka jukwaa lililo wazi linalohakikisha malipo ya matokeo ya mikeka iliyotiki…
Saa chache baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuufungia Uwanja wa KMC Complex, sababu mbili zimetajwa kusababisha maamuzi hayo, huku ishu ya Kibwana Shomary kubebwa na baunsa ikiwemo.
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania, TFF limeufungia uwanja wa KMC kutumika kwenye mechi kutokana na kukosa vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu
UONGOZI wa Coastal Union uko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa aliyekuwa straika wa TP Mazembe ya DR Congo, Thomas Ulimwengu baada ya mazungumzo chanya kati ya kikosi…
January 28, 2026 imekuwa siku ya huzuni kwa wadau na wapenzi wa soka Tanzania baada ya kuagwa na kuzikwa kwa mwili wa nyota wa zamani wa Yanga na Taifa Stars,…
VAIBU la Azam FC baada ya kushinda kwa mara ya kwanza hatua ya makundi katika Kombe la Shirikisho Afrika, limemfanya kocha wa kikosi hicho, Florente Ibenge kusema kwa sasa anaiona…
MSHAMBULIAJI mpya wa TRA United ya Tabora, Enock Jiah, amesema amefurahi kurejea Ligi Kuu Bara baada ya kukaa kwa muda bila kucheza soka la ushindani kufuatia kuachana na Fanja FC…
KIPIGO cha mabao 6-0 dhidi ya Yanga ugenini, bado kinaendelea kulitesa benchi la ufundi la Mashujaa FC baada ya kocha mkuu wa timu hiyo, Salum Mayanga kufichua kwamba walifanya makosa…
KIKOSI cha wachezaji 21 cha Singida Black Stars, kimeelekea nchini Congo kucheza mechi ya nne hatua ya makundi katika Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Otoho d’Oyo itakayofanyika Februari 1,…
KIKOSI cha wachezaji 21 cha Singida Black Stars, kimeelekea nchini Congo kucheza mechi ya nne hatua ya makundi katika Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Otoho d’Oyo itakayofanyika Februari 1,…
BAADA ya sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Coastal Union, kocha Mkuu wa KMC, Mohammed Abdallah ‘Bares’ amesema kikosi chake bado kina hali ngumu, hivyo kinaendelea kupambana kujiondoa mkiani…
KIKOSI cha Yanga, kimeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Dodoma Jiji katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa leo Jumanne Januari 27, 2026 kwenye Uwanja wa KMC Complex…
KWA kawaida mchezo wa kikapu umezoeleka ili kuucheza ni lazima uwe na mwili mkubwa, hususan urefu.
JKT Tanzania imesema bado inahitaji kuongeza kasi na kujituma kusaka pointi tatu kila mechi ili kumaliza nafasi nne za juu katika Ligi Kuu Bara msimu huu.
CHAMA cha Netiboli Mkoa wa Mbeya (Chanembe) kinatarajia kufanya uchaguzi wa kuwapata viongozi wake watakaokitumikia kwa miaka minne ijayo, huku wadau wa mchezo huo wakiombwa kujitokeza kuchukua fomu.
WAKATI wachezaji wakiwa katika maandalizi ya kuanza kwa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) 2026, nyota wa mchezo nchini, Jimmy Brown, ametaja sababu zilizomfanya asicheze michuano hiyo…
Aliyekuwa Kocha wa Yanga msimu uliopita, Miloud Hamdi jana, Jumatatu, Januari 26, 2026 ametangza kujiuzulu kibarua chake katika klabu ya Ismaily ya Misri.
Kipa na Kocha wa zamani wa makipa wa Yanga na timu ya taifa 'Taifa Stars', Peter Manyika anatarajiwa kuzikwa kesho, Jumatano, Januari 28, 2026 katika Makaburi ya Kinondoni, Dar es…
BAADA ya kuambulia pointi tatu nyumbani dhidi ya AS Otoho, Kocha Mkuu wa Singida Black Stars, David Ouma amesema anaiona nafasi ya timu hiyo kuendelea kuandika historia kwa kutinga hatua…
KIFO cha kipa wa zamani wa Taifa Stars, Yanga, Sigara na Mtibwa Sugar, Peter Manyika Sr kimewaliza wachezaji mbalimbali hapa nchini, huku wakimzungumzia kwa nyanja tofauti namna walivyofanya naye kazi…
LIGI Kuu Bara inatarajiwa kuendelea leo Jumanne kwa mechi tatu kupigwa lakini macho ya wengi yataelezwa Uwanja wa KMC jijini Dar es Salaam na mabingwa watetezi, Yanga itashuka dimbani kucheza…
UONGOZI wa Yanga umemtoa kwa mkopo kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Offen Chikola kwenda Singida Black Stars, huku mwenyewe akisema hiyo kwake ni sehemu ya kumjenga zaidi.
WINGA wa zamani wa Simba na Mtibwa Sugar, Shiza Kichuya amejiunga na Coastal Union akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba JKT Tanzania.
Mchezo mkubwa wa soka nchini unatarajiwa kupigwa tarehe 8 Februari 2026, ambapo vigogo wa soka Simba na Yanga watakutana uso kwa uso katika Uwanja wa Taifa, Benjamin Mkapa. Tayari hali…
KIPA wa zamani wa Yanga na timu ya Taifa ‘Taifa Stars’, Peter Manyika Sr amefariki leo alfajiri na mwili wake umehifadhiwa katika hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam.
'Ushindi ni mchakato'. Ni kauli ya Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Zedekiah Otieno akielezea matokeo ya bila kufungana dhidi ya JKT Tanzania na mwenendo wa timu hiyo Ligi Kuu hadi…
Mshambuliaji wa Azam, Jephte Kitambala, ameandika rekodi mpya baada ya kuifungia timu hiyo bao la kwanza la michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu, kufuatia ushindi wa kikosi hicho…
MSANII mkongwe wa filamu za Kibongo, Omary Babuu ‘Bambucha’ amesema japo yeye ni shabiki wa Simba, lakini anatamani kile kinachofanywa na Yanga kinastahili kuigwa na timu hiyo anayoishabiki ili iweze…
SAA chache tangu mshambuliaji George Mpole kusaini mkataba wa miezi sita kuitumikia Tanzania Prisons, amesema anafurahia kurejea kazini baada ya kukaa nje kwa muda mrefu, tangu alipoachana na Pamba Jiji…
MAAFANDE wa KVZ ya visiwani hapa imebeba ubingwa wa Ligi ya Muungano kwa mchezo wa netiboli, huku Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Injini Hamad Masauni akisema Maendeleo…
MSHAMBULIAJI wa Ain Diab na Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni, Jaruph Juma ametaja siri ya kuwa na mwendelezo mzuri msimu huu na kuonyesha kiwango bora kwenye Ligi ya…
KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga Goztepe inayoshiriki Ligi Kuu Uturuki, Novatus Miroshi amesema lengo kubwa la timu hiyo ni kuhakikisha inafuzu michuano ya Ulaya msimu ujao.
BEKI wa Mersin inayoshiriki Ligi Kuu ya Walemavu Uturuki, Mudrick Mohamed amesema ushindani wa namba katika kikosi hicho ni mkubwa lakini ni chachu inayomfanya azidi kupambana kila anapopata nafasi.
BADO hali haijawa shwari kwa kinda wa Kitanzania, Mourice Sichone na klabu anayoitumikia Trident FC ya Zambia ambao wanadai hawako tayari kumuachia kwa sasa hadi mkataba wake utakapotamatika.