Okello awaamsha mashabiki Yanga
ACHANA na matokeo ya kupoteza kwa kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya Al Ahly. Mashabiki na wanachama wa Yanga mkoani Mbeya, wamesema hawaidai chochote timu yao, huku wakieleza kuridhishwa na…
ACHANA na matokeo ya kupoteza kwa kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya Al Ahly. Mashabiki na wanachama wa Yanga mkoani Mbeya, wamesema hawaidai chochote timu yao, huku wakieleza kuridhishwa na…
UONGOZI wa Namungo uko katika hatua za mwisho kuipata saini ya beki wa kushoto wa Azam FC, Julius Machela kwa mkopo hadi mwisho wa msimu huu ikiwa ni siku chache…
BEKI wa Dodoma Jiji, Miraji Abdallah ‘Zambo’ yupo kwenye hatua za mwisho kutua Singida Black Stars, huku pia nyota wa kikosi hicho, Gadiel Michael akipigiwa chapuo la kurithi nafasi yake.
BEKI wa Dodoma Jiji, Miraji Abdallah ‘Zambo’ yupo kwenye hatua za mwisho kutua Singida Black Stars, huku pia nyota wa kikosi hicho, Gadiel Michael akipigiwa chapuo la kurithi nafasi yake.
KOCHA wa Simba Queens, Mussa Hassan ‘Mgosi’, amesema ushindi dhidi ya Alliance Girls katika Ligi Kuu Soka Wanawake, ni matokeo ya maandalizi mazuri na nidhamu ya hali ya juu kutoka…
BAADA ya kukosa ushindi katika michezo minne mfululizo, Tanzania Prisons itakuwa na kibarua kingine kizito itakapowakaribisha JKT Tanzania katika mwendelezo wa Ligi Kuu Bara, mechi ikipigwa katika Uwanja wa Sokoine…
KOCHA wa Fountain Gate, Mohamed Laizer amesema mchezo unaofuata utakuwa mgumu zaidi, kwani wapinzani wao wametokea kuchezea kichapo kikali dhidi ya Yanga.
MATOKEO yasiyoridhisha inayoendelea kuyapata Simba kwenye Ligi Kuu Bara na michuano ya kimataifa, yamemuibua nyota wa zamani wa timu hiyo, Amir Maftah ambaye ameungana na mashabiki kutoa mtazamo wake.
LICHA ya kuachana na wachezaji wanne kwenye dirisha dogo, Pamba Jiji imesisitiza kuwa haitasajili kipindi hiki kwani ina kikosi kitakachotosheleza mahitaji ya msimu uliosalia.
YANGA imeruhusu nyavu zake kuguswa mara mbili ikikubali kuchapwa 2-0 na Al Ahly katika mchezo wa makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, leo Ijumaa, lakini makosa mawili tu ya wachezaji…
KIUNGO Mshambuliaji wa zamani wa Simba na Yanga, Hassan Dilunga amesaini mkataba wa kuichezea Mbeya City inayonolewa na kocha Mecky Maxime.
ALIYEKUWA kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani Jesus Ducapel Moloko amekamilisha usajili wa kujiunga na Mbeya Kwanza ya Tabora inayoshiriki Ligi ya Championship, baada ya kusaini mkataba hadi mwisho wa msimu…
UONGOZI wa Singida Black Stars umekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji, Mossi Nduwumwe, baada ya mabosi wa kikosi hicho kuvutiwa na uwezo wa mchezaji huyo anayeichezea Flambeau du Centre FC ya…
TANZANIA Prisons imekamilisha usajili wa washambuliaji George Mpole na Emmanuel Martin, na tayari wamejiunga kambini kujiandaa na mechi dhidi ya JKT Tanzania itakayopigwa kesho, Jumapili kwenye Uwanja wa Sokoine mjini…
Singida Black Stars imekamilisha usajili wa aliyekuwa El Mahalla ya Misri, Raheem Shomary kwa kumsainisha mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu hiyo huku mwenyewe akitaja sababu za kurudi Tanzania.
KOCHA mpya wa Gunners FC ya jijini Dodoma, Henry Mkanwa amesema miongoni mwa malengo makubwa aliyopewa na uongozi wa timu hiyo ni kuhakikisha kikosi hicho kinabaki Ligi ya Championship msimu…
MSHAMBULIAJI wa Transit Camp, Adam Uledi amesema tangu amecheza mpira wa miguu hajawahi kufunga idadi kubwa ya mabao 11, aliyoyafunga msimu huu, jambo linalompa matumaini makubwa ya kuendelea kupambana ili…
BIGMAN imekamilisha usajili wa beki wa kati, Better Abdallah Mnyamisi, aliyekuwa akikichezea kikosi cha IAA cha jijini Arusha kinachoshiriki Ligi Daraja la Pili, baada ya kuzishinda Mbeya Kwanza na Stand…
SUALA la ukata limeendelea kuitesa Stand United ya Shinyanga na dirisha dogo zaidi ya wachezaji 10 wameondoka na wengine kugoma.
SINGIDA Black Stars kama ilivyo kawaida, dirisha hili kikosi chake kimepanguliwa tena baada ya kuondoka kwa baadhi ya wachezaji nyota.
KUMBUKUMBU tuliyonayo hapa kijiweni ni straika wa mpira, Paul Peter alishawahi kuonja hela za timu kubwa hapa nchini ingawa hazikuwa nyingi sana kwa vile alikuwa bado kinda wakati huo.
KUNA fagio moja kubwa linaendelea Simba dirisha hili dogo la usajili hasa likihusu wachezaji wa kigeni huku timu hiyo ikishusha vifaa vipya.
JUMLA ya makocha 16 wa mchezo wa gofu wamepata mafunzo kwa ajili ya kuwafundisha wachezaji chipukizi hapa nchini.
TANZANIA Prisons imefikia pazuri katika mazungumzo ya kuwasajili wachezaji watatu wa eneo la ushambuliaji ambao ni George Mpole, Emmanuel Martin na Gustavo Simon.
KUNA mechi mbili za Ligi Kuu Bara zinachezwa leo Ijumaa zikihusisha timu zinazopambana kujiweka pazuri kwenye msimamo, huku KMC iliyoifuata TRA United, ikiwa katika mtego chini ya benchi jipya la…
UONGOZI wa Fountain Gate huenda ukahamishia mechi zake zote za nyumbani zilizobaki za Ligi Kuu Bara kwa msimu huu kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, baada ya kuutumia…
RAIS wa Bigman FC, Ahmed Waziri Gao amesema hana mpango wa kuiuza timu hiyo inayoshiriki Ligi ya Championship msimu huu kwa sasa, licha ya kudaiwa pia huenda ikapigwa bei kutokana…
SHIRIKISHO la Riadha Tanzania (RT) limeutaja mkoa wa Pwani kuwa mwenyeji wa mashindano ya taifa ya riadha mwaka huu.
MWANASPOTI limepata taarifa za ndani kutoka Simba kwamba klabu hiyo imemalizana na kiungo mshambuliaji, Iñno Jospin Loemba kutoka Colombe Sportive du Dja et Lobo inayoshiriki Ligi Kuu ya Cameroon.
MWANASPOTI limepata taarifa za ndani kutoka Simba kwamba klabu hiyo imemalizana na kiungo mshambuliaji, Iñno Jospin Loemba kutoka Colombe Sportive du Dja et Lobo inayoshiriki Ligi Kuu ya Cameroon.
ALIYEKUWA mshambuliaji wa maafande wa Tanzania Prisons, Abdulkarim Segeja, amekamilisha usajili wa kujiunga na Coastal Union kwa mkataba wa miezi sita utakaomweka ndani ya kikosi hicho cha Wagosi wa Kaya…
MABOSI wa Azam wanaangalia uwezekano wa kumsajili kiungo mshambuliaji wa Singida Black Stars raia wa Ivory Coast, Idriss Diomande, baada ya nyota huyo aliyehusishwa pia kuhitajika na Simba katika dirisha…
KIUNGO wa zamani wa Simba na JKT Tanzania, Hassan Dilunga amekamilisha dili la kujiunga na TRA United akiungana na Mzamiru Yassin waliyecheza pamoja wakiwa Simba.
KIPA wa zamani wa Yanga Princess, Husna Mtunda ameanza vyema ndani ya kikosi cha Alliance Girls ya Mwanza akitoa mchango mkubwa kwa kuzuia nyavu za lango lake kuguswa na wapinzani.
STRAIKA wa Pyramids ya Misri na timu ya taifa ya DR Congo, Fiston Mayele, ameonyesha wazi furaha yake baada ya Clatous Chama, kurejea katika klabu ya Simba.