Simba yalaani Mangungu kufanyiwa vurugu Benjamin Mkapa
Uongozi wa Simba umelaani vitendo vya vurugu alivyofanyiwa Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Murtaza Mangungu baada ya kumalizika kwa mchezo baina yao na Esperance ya Tunisia, leo Jumapili, Februari Mosi, 2026…