Mboni; Mshambuliaji aliyepewa maujanja Simba, akaja kuitungua Mapinduzi
SIMBA katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inayofanyika Zanzibar, ilianza hatua ya makundi na clean sheet ikishinda 1-0 dhidi ya Muembe Makumbi City, lakini ikajikuta ikishindwa kulinda lango lake…
Mzizima Derby… Mechi ya kisasi
UMEPITA mwezi mmoja tu tangu ilipopigiwa Dabi ya Mzizima Ligi Kuu Bara, ambapo ilishuhudiwa Simba ikipasuliwa kwa mabao 2-0 na Azam FC.
Said Zanda atua JKT Tanzania
UONGOZI wa JKT Tanzania uko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa mshambuliaji nyota Said Zanda ‘Ronaldo’ kutoka Bigman inayoshiriki Ligi ya Championship baada ya pande mbili kufikia makubaliano.
Azam yajifungia na mashine
AZAM FC ipo katika mazungumzo na mshambuliaji Ben Malango ambaye kocha Florence Ibenge anatamani uzoefu wake uongeze nguvu ndani ya timu.
JKT, Simba kazi ipo WPL
BAADA ya jana kupigwa mechi nne za Ligi ya Wanawake (WPL), leo saa 12 jioni itaendelea Simba Queens itakapoikaribisha JKT Queens.
JKT Queens, Simba Queens kazi ipo WPL
BAADA ya jana kupigwa mechi nne za Ligi ya Wanawake (WPL), leo saa 12 jioni itaendelea Simba Queens itakapoikaribisha JKT Queens.
Yanga yaichapa TRA, yaifuata Singida BS nusu fainali Mapinduzi
YANGA imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya TRA United katika mechi ya kuhitimisha hatua ya makundi ya Kombe la Mapinduzi 2026.
Stars kutua kesho baada ya kuweka historia
TIMU ya Taifa ‘Taifa Stars’ leo Jumatano inatarajiwa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere (JNIA), Dar es Salaam ikirejea nyumbani baada ya kuweka historia katika…
Dida, Suluhu wavunjiwa mikataba Geita Gold
UONGOZI wa Geita Gold umevunja mkataba na wachezaji wawili kipa Deogratius Munishi ‘Dida’ na beki Fredy Juma Sululu baada ya kucheza mechi ya dhidi ya Ken Gold iliyomalizika kwa sare…
Mido ya Kagera yaibukia Mbeya City
MBEYA City inaendelea na maboresho katika dirisha dogo lililofunguliwa kuanzia Januari 1, 2026, ambapo kwa sasa kikosi hicho cha jijini Mbeya kiko kwenye hatua za mwisho za kumsajili kiungo Said…
Simbu kushiriki Burji2Burji Half Marathon
MWANARIADHA wa Alphonce Simbu anatarajiwa kushiriki mbio za Burji2Burji Half Marathon zitakazofanyika Dubai, Februari 8, mwaka huu, akiwa miongoni mwa wanariadha maarufu wa kimataifa.
Ibenge achekelea Mtasingwa kurejea
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge ameonekana mwenye furaha zaidi baada ya kushuhudia kiungo wa timu hiyo, Adolf Mtasingwa, akirejea rasmi uwanjani baada ya kukaa nje ya uwanja kwa…
Fufuni yahamishia hasira Ligi Kuu Zanzibar
WAHENGA wanasema kuvunjika kwa Koleo si mwisho wa uhunzi. Msemo huo ameondoka nao Kocha Mkuu wa Fufuni, Suleiman Mohamed maarufu Mani Gamera au Govinda, baada ya kushuhudia kikosi chake kikiishia…
URA: Mwakani tunakuja kubeba kombe
MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi mwaka 2016, timu ya URA, imekubali ushindani iliokutana nao msimu huu katika michuano hiyo imewapa funzo na kuahidi wakati ujao itaondoka na kombe.
Kinda Azam atabiriwa makubwa
ALICHOKIFANYA kinda wa Azam FC anayecheza nafasi ya beki wa kati, Twalibu Nuru, kimemfanya kocha wa kikosi hicho, Florent Ibenge kumtabiria siku si nyingi ataitumikia Taifa Stars.
KVZ Yaondoka na somo Yanga Mapinduzi Cup
POINTI moja waliyokusanya KVZ walipocheza dhidi ya TRA United, kisha wakafungwa 3-0 na Yanga, kuna funzo kubwa wamelipata makamanda hao wa Kikosi Cha Valantia Zanzibar.
Mastraika waiangusha Muembe Makumbi City
KITENDO cha Muembe Makumbi City kufunga bao moja katika mechi mbili za Kombe la Mapinduzi, lawama ziende kwa washambuliaji wakiongozwa na Abdallah Idd Pina.
Mlandege tatizo wachezaji sio kocha
KOCHA msaidizi wa Mlandege, Sabri Ramadhan China amesema wachezaji wa kikosi hicho wameshindwa kuifanya kazi ipasavyo ndiyo sababu ya kuwa timu ya kwanza kuaga mashindano.
Pacha mpya inasukwa Singida Black Stars
USAJILI wa mabeki wawili wa kati Singida Black Stars, Abdallah Salum Kheri ‘Sebo’ na Abdulmalik Zakaria umetajwa kuwa unakwenda kuimarisha zaidi eneo hilo baada ya kuonekana kuna shida.
Yanga v TRA United ni mechi ya kisasi
HATUA ya makundi katika Kombe la Mapinduzi 2026, inahitimishwa leo kwa kupigwa mechi moja matata sana pale New Amaan Complex kuanzia saa 2:15 usiku ambapo itakuwa Yanga dhidi ya TRA…
Simba yaifuata Azam nusu fainali Mapinduzi Cup
NI rasmi sasa Mzizima Derby inapigwa kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi kati ya Azam dhidi ya Simba.
Tanzania yatabiriwa medali ya dhahabu mbio za Nyika
SAFARI ya wanariadha wa kikosi cha timu ya taifa ya riadha ya Tanzania kushiriki mbio za dunia za Nyika imeiva baada ya kuagwa leo Januari 5, 2026 huku ikitabiriwa kurudi…
Azam yaichapa URA Mapinduzi Cup, yaisubiri Simba, Fufuni
USHINDI wa mabao 2-1 ilioupata Azam dhidi ya URA wafungaji wakiwa Jephte Kitambala na Albogast Kyobya, yameifanya timu hiyo kumaliza kinara wa kundi A.
TFF, Gamondi waitana mezani
BAADA ya kuifikisha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars katika hatua ya 16 Bora ya michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025 akiwa kama kocha wa mpito, Miguel…
HATUWADAI: Taifa Stars ilivyoaga AFCON kwa heshima
TAIFA Stars imehitimisha safari yake ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) katika hatua ya 16-Bora baada ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya timu Na.1 kwa ubora wa barani…
AFCON 2025 yambeba Alphonce Mabula
KIUNGO wa Shamakhi FC, Alphonce Mabula amesema kucheza michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) akiwa na kikosi cha Taifa Stars kumeanza kumpa uzoefu wa mechi za kimataifa na somo kwenye…
Usajili dirisha dogo, Mashujaa yamsikilizia Mayanga
MABOSI wa Mashujaa FC ya Kigoma bado wanakuna vichwa kuhusu usajili wa dirisha dogo, huku wakisisitiza kwamba wanasubiri ripoti ya benchi la ufundi ili kuwa na uhakika wa nini kifanyike…
Kocha Dodoma Jiji aanika mipango yake
KOCHA wa Dodoma Jiji, Aman Josiah amesema timu itafanya mazoezi kwa wiki moja, huku ikiangalia ni mkoa gani ikienda itapata mechi za kirafiki kwa urahisi kabla ya kurejea mechi za…
Seleman Mgaza azichonganisha timu mbili Bara
MSHAMBULIAJI wa Zimamoto ya Zanzibar, Seleman Mgaza ameziingiza vitani timu mbili za maafande wa JKT Tanzania na KMC, ambazo zimeonyesha nia ya kumhitaji katika dirisha hili dogo, huku mazungumzo kati…
Staa URA aitumia salamu Azam
WAKIJIANDAA kwa mechi ya mwisho kuhitimisha kundi A ambayo imebeba hatma ya kila mmoja wao, nyota wa URA, Mulikyi Hudu ameitumia salamu Azam FC kwa kusema, ijiandae kupokea maumivu na…
Dabi ya Mzizima yanukia nusu fainali Mapinduzi Cup
LEO Jumatatu, makundi mawili katika Kombe la Mapinduzi 2026 yanamaliza mechi zake ambapo baada ya dakika tisini, tunaweza kushuhudia jambo kubwa sana.
Chukwu, Yakoub hawashikiki Mapinduzi Cup
KABLA ya jana jioni Yanga haijacheza dhidi ya KVZ, kuna mastaa wawili katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 walikuwa wamefunika kwa kubeba tuzo nyingi.
Stars yatolewa kwa mbinde Afcon 2025
HATUWADAI wanetu. Walisikika mashabiki wa Taifa Stars jijini Dar es Salaam usiku wa Jumapili baada ya kuishuhudia timu yao ya soka ikitupwa nje ya mashindano ya Kombe la Mataifa ya…
Mwanengo aanza na mguu mzuri Yanga ikiichapa KVZ
MSHAMBULIAJI Emmanuel Mwanengo, ameanza na mguu mzuri ndani ya Yanga baada ya kuwa sehemu ya mchango wa ushindi wa mabao 3-0 ilioupata timu hiyo dhidi ya KVZ.
Azam FC yaanza na Haaland, Pogba
AZAM FC inaendelea kujiimarisha katika maeneo mbalimbali ya kikosi hichona sasa imevamia Mlandege ya Zanzibar na kubeba mastaa wawili wa timu hiyo, akiwamo Aimar Hafidh Abubakar ‘Haaland’ na Suleiman Juma…