Abalkassim aibukia Mbeya City
BAADA ya kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi minne, aliyekuwa mshambuliaji nyota wa Pamba Jiji, Abalkassim Suleiman, amekamilisha usajili wa kujiunga na Mbeya City ya jijini Mbeya, kwa dili…
BAADA ya kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi minne, aliyekuwa mshambuliaji nyota wa Pamba Jiji, Abalkassim Suleiman, amekamilisha usajili wa kujiunga na Mbeya City ya jijini Mbeya, kwa dili…
UONGOZI wa Dodoma Jiji umeanza maboresho ya kikosi hicho katika dirisha hili dogo lililofunguliwa rasmi Januari Mosi, ambapo kwa sasa unakaribia kuipata saini ya beki wa kati raia wa DR…
SAFARI ya Simba kulisaka taji la tano la Mapinduzi, imeanza vizuri baada ya kiungo wa timu hiyo, Mohamed Bajaber kufunga bao pekee katika ushindi wa 1-0.
SARE ya bao 1-1 dhidi ya URA, imeifanya Singida Black Stars kuwa timu ya kwanza kukata tiketi ya kucheza nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026.
BAADA ya kukaa nje ya uwanja kwa nusu msimu mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Yacouba Songne amekamilisha dili la kuitumikia Mbeya City.
MBEYA City inajipima na mechi za kirafiki kujiandaa na Ligi Kuu Bara, huku ikiwa tayari imeshacheza dhidi ya Ken Gold iliyowafunga mabao 2-1 na kushinda dhidi ya Kombaini ya Mbeya…
BAADA ya kurejea uwanjani akiwa fiti akitoka kuwa majeruhi, kiungo wa KMC, Ahmed Bakari 'Pipino' amesema huu ni muda mwafaka wa kuunganisha nguvu na wenzake kuipambania timu hiyo kuondoka mkiani.
STAA wa Transit Camp, Adam Uledi amesema licha ya kuongoza katika Ligi ya Championship kwa idadi ya mabao, lakini matokeo waliyonayo hayaendani na mahitaji akizitaja mechi tano tu zitakawapa mwanga…
TIMU ya Alliance FC ya jijini Mwanza imemrejesha kocha wake wa zamani, Mirambo Camil kuongoza benchi la ufundi baada ya mwenendo usioridhisha katika First League.
‘RAHA ya mpira bao’. Ni kauli ya Kocha Mkuu wa Mbeya City, Mecky Maxime akielezea mipango yake akiahidi mambo mazuri pale Ligi Kuu Bara itakaporejea mapema mwezi huu. Maxime alitambulishwa…
MABAO mawili yaliyofungwa katika kila kipindi, yameipa Azam FC ushindi wa kwanza katika Kombe la Mapinduzi 2026 ulioifanya kuacha msala kwa Singida Black Stars na URA.
RAUNDI ya 13 ya Ligi ya Championship inaendelea tena wikiendi hii kwa mechi kali na za kuvutia, ambapo macho na masikio ya wapenzi wa soka nchini yataelekezwa katika mechi ya…
WIKIENDI ya moto kwelikweli. Huko Ulaya zitapigwa mechi za ligi England, Hispania, Italia na Ufaransa. Mashabiki wanataka kujua timu wanazozishabikia zitatoboa mbele ya wapinzani. Achana na mechi hizo, Afrika kuna…
LEO Jumamosi kuna mechi mbili za Kombe la Mapinduzi 2026 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja ambazo zimebeba matokeo ya kuamua jambo baina ya timu zinazokwenda kukutana.
KIPA namba moja wa Geita Gold iliyopo Ligi ya Championship, Deogratius Munishi ‘Dida’ na beki Fredy Juma Sululu waliosimamishwa ghafla mara baada ya timu hiyo kutoka sare ya 2-2 na…
JANA Ijumaa, ilipigwa mechi moja ya Kombe la Mapinduzi 2026 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja mabingwa watetezi Mlandege dhidi ya Azam, lakini kuna kitu kilitokea kabla ya mechi…
BAADA ya makipa wawili wa Simba, Moussa Camara na Yakoub Suleiman kuumia huku wakitarajiwa kurudi uwanjani Februari 2026, kipa aliyebaki, Hussein Abel ametoa kauli ya upambanaji.
URA FC ya Uganda imeanza vizuri michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mlandege, lakini kuna kitu kocha wa kikosi hicho amekisimulia.
OFISA Habari wa Singida Black Stars, Hussein Massanza, amesema moto alioanza nao mshambuliaji wa timu hiyo, Joseph Guede, unamkumbusha alivyokuwa Jonathan Sowah.
KIUNGO wa Azam FC, Himid Mao ametoboa siri ya ubora wake akisema unachangiwa na namna ambavyo anayapokea majukumu kutoka kwa kocha na kuyatimiza inavyotakiwa.
MABINGWA watetezi wa Kombe la Mapinduzi, Mlandege FC, hesabu zinaonyesha wameumaliza mwendo katika michuano hiyo baada ya kupoteza mechi mbili za kwanza hatua ya makundi.
KIKOSI cha Pamba Jiji kimerejea kambini kujifua tayari kwa ngwe iliyosalia na Ligi Kuu Bara pamoja na michuano ya Kombe la Shirikisho (FA) iliyosimamishwa tangu mapema Desemba mwaka jana kupisha…
MLANDEGE FC ni mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi, lakini ilichofanya mechi mbili za hatua ya makundi, yenyewe imeshindwa kujitetea. Inabondwa tu.
WAKATI duru la kwanza katika Ligi Kuu Zanzibar likimalizika, mambo mbalimbali yamejitokeza ikiwamo kufungiwa kwa waamuzi, wachezaji, viongozi na hata mashabiki walioonekana kwenda kinyume cha utaratibu.
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) lina msemo wake maarufu ‘Play Fair, Be Positive’ ukiwa na maana kwamba ‘Cheza kwa Haki, Kuwa Chanya’.
MBONI Steven Kibamba amepania kufanya vizuri katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inayoendelea kwenye Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja.
MABINGWA mara moja wa Kombe la Mapinduzi mwaka 2016, URA wameanika mikakati yao katika mashindano hayo yaliyoanza Desemba 28, 2025 yakichezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja.
BEKI wa kati wa Simba aliyepo katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 akiwa na timu ya taifa, Taifa Stars, Wilson Nangu amesema kuna utofauti kubwa ya…
MABOSI wa Dodoma Jiji wameanza maboresho ya kikosi hicho kimya kimya katika dirisha hili dogo linalofunguliwa rasmi leo Januari 1, 2026, ambapo kwa sasa wanakaribia kupata saini ya mshambuliaji nyota…
BEKI wa kati wa raia wa Ivory Coast anayekipiga Singida Black Stars, Anthony Tra Bi Tra yupo katika hatua za mwisho za kuachana na kikosi hicho dirisha hili dogo la…
UONGOZI wa Singida Black Stars una mpango wa kumtoa kwa mkopo nahodha wa timu hiyo, Kennedy Juma kwenda Mashujaa ambako umemng’oa Abdulmalik Zakaria.
TRA United imetuma ofa Singida Black Stars ya kumtaka beki wa kulia, Kelvin Kijili, ili kuongeza nguvu ndani ya kikosi hicho kwa ajili ya raundi ya pili msimu huu.
TAIFA Stars imekaza msuli na kutoka sare ya bao 1-1 na Tunisia katika mchezo wa Kundi C la mashindano ya Kombe la Matiafa ya Afrika (Afcon) na hivyo timu hizo…
Uhondo wa mechi za leo unatokana na wapinzani wanaokwenda kukutana, huku kila mmoja akihitaji kushinda na kusaka rekodi.