Marekani inasema inaweza kutumia jeshi kuchukua kisiwa cha Greeland
Rais Donald Trump, anathmini njia za namna Marekani inavyoweza kuchukua na kudhibiti kisiwa cha Greenland, kinachomilikiwa na Denmark. Imechapishwa: 07/01/2026 – 04:46Imehaririwa: 07/01/2026 – 05:24 Dakika 1 Wakati wa kusoma…