Raia 18 wa Kiafrika wafariki katika mkasa wa moto hotelini India
Watu ishirini na mmoja waliangamia katika moto katika hoteli moja huko New Delhi. Kituo hiki kilikuwa kinawahudumia wagonjwa wa kigeni na familia zao. Miongoni mwao wagonjwa hao walikuwa Waafrika 18…