Burkina Faso: Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa UM akosoa kuvunjwa kwa vyama vya siasa
Ofisi ya Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa imejibu kuhusu kufutwa kwa vyama vya siasa nchini Burkina Faso, uamuzi uliofanywa na utawala wa kijeshi unaotawala. Katika…