Rais wa Somalia asema Israel kuitambuwa Somaliland kunatishia utulivu wa kikanda
Israel kuitambuwa Somaliland, ambayo “inahimiza” harakati za kujitenga duniani kote, ni “tishio” kwa usalama na utulivu wa Pembe ya Afrika, Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud ametangaza mnamo Desemba 28,…