Nigeria: Mzozo kati ya Washington na Abuja ‘umetatuliwa kwa kiasi kikubwa,’ yatangaza serikali
Mzozo wa kidiplomasia kati ya Marekani na Nigeria “umetatuliwa kwa kiasi kikubwa,” kulingana na Waziri wa Habari wa Nigeria Mohamed Idris, ambaye amezungumzia “ahadi thabiti na ya heshima” kutoka pande…