Naibu wa Gladys Wanga Oyugi Magwanga ajiuzulu kutoka wadhifa wake
Naibu Gavana wa Homa Bay Joseph Oyugi Magwanga ajiuzulu akitaja kufadhaika,kufungia afisi, kupokonywa gari, na uhusiano mbaya na Gavana Gladys Wanga.
Naibu Gavana wa Homa Bay Joseph Oyugi Magwanga ajiuzulu akitaja kufadhaika,kufungia afisi, kupokonywa gari, na uhusiano mbaya na Gavana Gladys Wanga.
Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna amepata afueni ya muda baada ya Baraza la kutatua Migogoro ya Vyama vya Siasa kuzuia uamuzi wa ODM kumpokonya kiti cha Katibu Mkuu.
Wakili Harrison Kinyanjui anasema Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna hazuiliki kisiasa, akiwaonya wapinzani wa ODM na kukosoa kushindwa kwa utawala wa UDA.
Super Metro Yaanzisha Uchunguzi Baada ya Abiria, Joseph Mureithi, Kusukumwa hadi Kufa na Kondakta Alipokuwa Akisafiri Kutoka Kitengela Kuelekea Nairobi.
Polisi wa Bomet wanamsaka afisa wa Busia ambaye anadaiwa kumrubuni na kumuua mkewe ambaye walikubalina wakakutane hotelini. Mkutano wao uliishia katika mauaji.
Mzozo wa mwanafunzi aliyeishi chuoni uligeuka kuwa msiba huku Margaret Nyatuka akitafakari njia yake ya ukombozi na kutarajia maisha ya baadaye zaidi ya kufungwa.
Richmond Mensah, muuguzi wa Ghana nchini Uingereza, aliaga dunia akiwa usingizini, na kuacha nyuma familia iliyovunjika moyo. Watu mitandaoni aliomboleza kwa uchungu
Choice alishiriki hadithi yake katika kanisa la pasta Kanyari baada ya kupepea mitandaoni kuhusu uhusiano wake na Yaytseslav. Alijuta kwa kukubali zawadi ya KSh 30k
Bosi wa DCP Rigathi Gachagua amekuwa kwenye kampeni moto ya siku tatu katika eneo la Gusii, ikijumuisha kaunti za Kisii na Migori, tangu Jumatatu, Februari 23.
Bosi wa DCP Rigathi Gachagua amekuwa kwenye kampeni moto ya siku tatu katika eneo la Gusii, ikijumuisha kaunti za Kisii na Migori, tangu Jumatatu, Februari 23.
Msiba ulitokea Kitengela pale Joseph Mureithi wa miaka 25 akidaiwa kusukumwa nje ya matatu ya Super Metro, na kusababisha kifo chake baada ya kuzozana na makanga.
Mkurugenzi wa zamani wa Kilimo na Mifugo Mithika Linturi ametangaza nia yake ya kuwania kiti cha ugavana wa Meru katika Uchaguzi Mkuu ujao wa 2027.
Wakili wa Nairobi anapinga mkataba wa ushirikiano wa Ruto-Sakaja, akitaja ukiukaji wa ugatuzi, ukosefu wa ushiriki wa umma, na usawa katika kaunti.
DCI ilimkamata Festus Omwamba kwa kuwarubuni Wakenya katika kazi hatari Ulaya. Kukamatwa huko kulifichua kundi linalowawinda watu wasiokuwa na ufahamu wa njama hizo.
Khaligraph Jones alijibu kihuni ushauri wa shabiki wa kurekebisha mtindo wake wa muziki, na kuzua mijadala mtandaoni. Alijinaki kuhusu mafanikio yake.
Maoni ya lofa wa Sudan Kusini kuhusu ufahamu wa Kiingereza wa Wakenya yamezua mjadala, yakiangazia mitazamo ya kitamaduni na tofauti za elimu katika Afrika Mashariki
Taharuki ilitanda Thika mshukiwa wa mwizi wa simu alipopanda juu ya paa ili kutoroka umati wenye hasira hali iliyoleta kufadhaika kwa jamii kutokana na uhalifu mdogo
Afisa wa Kaunti ya Siaya Richard Omondi Odhiambo alisimamishwa kazi mara moja kwa kumtuhumu Gavana Orengo kuwa amelewa wakati wa mkutano wa kisiasa.
Mwanamke Mkenya kwa jina Olivia ameokolewa kutoka Uwanja wa Ndege wa Kuala Lumpur baada ya kupatikana akiwa amechanganyikiwa. Familia imejulishwa.
Madam Caroline alihutubia madai kufuatia kifo cha mwanafunzi wa Mwaka wa 8 Mark katika Shule ya Moi Comprehensive, na kusababisha maandamano ya wazazi huko Nakuru.
Mureithi alikuwa amemaliza kazi yake katika kituo cha mafuta karibu na Athi River na kupanda gari mita chache kutoka Hospitali ya Shalom kuelekea Nairobi.
Jacque Maribe alimuenzi marehemu baba kwa siku ambayo angekuwa anatimiza miaka 72 iwapo angekuw ahai, akitafakari kumbukumbu nzuri na mtoto wake aliyepewa jina lake
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Moi aliyeshinda kesi dhidi ya serikali amepata ushindi mwingine huku akifukuzia fidia ya KSh 200m kwa madai ya ukiukaji wa faragha.
Familia iliomboleza msiba wa Salome, mama mchanga aliyeuawa katika ajali na kuaxcha watoto wawili huku wapendwa wake wakijitahidi kukabiliana na hali hiyo.
Kuchunguza kifo cha kutatanisha cha mvulana wa darasa la 8 katika Shule ya Moi Comprehensive huko Nkauru, huku wazazi wakitaka majibu ya haraka...
NTSA imetoa orodha ya makosa 37 ya trafiki yenye faini ya hadi KSh 10,000. Mfumo mpya wa utekelezaji otomatiki unalenga kuboresha usalama barabarani nchini Kenya.
Upande wa serikali unamshutumu rais mstaafu Uhuru Kenyatta kwa kufadhili upinzani kupinga azma ya Rais William Ruto kuchaguliwa tena katika Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Ratiba za Ligi Kuu kwa Arsenal na Manchester City mwezi Machi zinaweza kuahirishwa kutokana na droo ya Ligi ya Mabingwa, ambayo imeathiri michuawano.
Ferdinand Omanyala alionyesha jumba lake la kifahari lenye paa tambarare huko Ruiru, likionyesha muundo wa kisasa na maridadi. Mashabiki walisherehekea bidii yake
Mkurugenzi wa zamani wa ODM Wafula Buke amefarijika baada ya mwanawe wa miaka 21 Declan kuhukumiwa kifungo cha miaka minne jela kwa kupanga kutenda kosa kubwa.
Wakenya waliokuwa wakifuatilia mahojiano walielezea hasira na kufadhaika kwao mtandaoni, wakishangaa kwa nini Waziri Opiyo Wandayi alikuwa akikwepa maswali rahisi.
ODM imeanzisha hatua za kinidhamu dhidi ya wabunge waasi, na kuwaondoa katika kamati kuu huku wafuasi wa chama wakiimarisha udhibiti kabla ya uchaguzi wa 2027.
Mchungaji Daniel na Kathleen Gula walitafakari juu ya miaka 54 ya upendo, kushinda tofauti katika safari yao ya ndoa za Nigeria na Uingereza katika huduma pamoja.
Mpango wa mwanamke wa kufanya mila za Kiislamu baada ya mazishi kwa mumewe ulipingwa na familia na kumlazimisha kutii baada ya chifu kuingilia kati.
Gavana wa Homa Bay Gladys Wanga amemkosoa Edwin Sifuna kwa matamshi yake katika mkutano wa Linda Ground, akifafanua ajenda ya chama baada ya Raila Odinga kufariki.
Aliyekuwa DP Rigathi Gachagua amekashifu miungano ya zamani ya kiongozi wa ODM Raila Odinga akidai aliwatenga watu wa Kisii licha ya uaminifu wao.
Wabunge Junet Mohamed na Millie Odhiambo walijibizana katika Bunge la Kitaifa baada ya baadhi ya waasi wa ODM kutimuliwa kutoka kwenye majukumu muhimu ya kamati.
Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna amekiri kuwa sasa yupo makini sana kuhusu chakula chake huku umaarufu wake ukiongezeka; wafuasi wanamfananisha na Raila Odinga.
Mfanyibiashara wa Nairobi, Steve Goda, anauguza majeraha mabaya ya moto baada ya shambulio linalodaiwa kufanywa na mpenzi wake, ambaye pia aliiba KSh 318,000.
Familia moja Kirinyaga imeshtuka baada ya kuamka kupata gari lao la KSh 35m limeharibiwa. Wenyeji wanashuku majambazi wenye uzoefu ndio waliohusika na tukio hilo.
Bunge la Kitaifa linatarajiwa kujadili ripoti ya Kamati ya Ulinzi, Ujasusi na Mahusiano ya Kigeni ambayo ilimchunguza Ida Odinga na kuidhinisha uteuzi wake.
Willy Ngoma, msemaji wa waasi wa M23, alifariki katika shambulio la ndege isiyo na rubani huko Rubaya, DRC. AFC/M23 wametuma rambirambi zake kwa familia ya Ngoma.
Familia moja huko Vihiga inaomboleza binamu watatu waliofariki pamoja katika ajali ya pikipiki wakielekea darasani katika Shule ya Sekondari ya St Francis Kaptik.
Pasta Ng'ang'a wa Neno Evangelism amekosoa tabia mbaya za wanaume wa Kenya katika mahubiri mazito, yanayohusisha tamaa, masuala ya afya na changamoto za kijamii.
Kundi la waombolezaji huko Kibwezi walichukua hatua baada ya jeshi la nyuki kuwavamia walipokuwa wakiendesha hafla ya maziko ya mpendwa wao nyumbani.
Binti huyo Mkenya alifafanua uhusiano wake na mwanamume Mrusi maarufu mtandaoni kwa jina Vladislav Liukov. Alikanusha madai ya ngono akisimulia yaliyojiri.
Baada ya miaka 24, familia ya Michelle Hundley Smith imegundua yu hai. Kauli za mitandao ya kijamii zilionyesha hisia mchanganyiko kuhusu kutoweka kwake kwa ajabu.
Kiongozi wa Wengi Kiambu Godfrey Mucheke amelazwa hospitalini baada ya kushambuliwa na washukiwa wa uhuni alipokuwa katika hafla ya ufadhili wa masomo.
Wesley Fofana amefunguka kuhusu kulia baada ya Chelsea kutolewa kwenye Kombe la Carabao walipopiga dhidi ya Arsenal, Alizungumzia jeraha na hamu ya kutwaa mataji.
Festus Arasa Omwamba ameibuka kama mtu mwenye utata ambaye sasa anaonekana waziwazi katika rada za polisi na mashirika ya ujasusi kuhusu msururu wa madai mazito.