Alex Matere aingia mbio za kusaka kiti cha Tim Wanyonyi eneobunge la Westlands kura ya 2027
Muundo wa kisiasa wa Nairobi unabadilika huku mbunge Tim Wanyonyi wa Westlands akiamua kusaka ugavana naye kiongozi wa vijana Alex Matere akiamua kusaka ubunge 2027.