MAPUMZIKO | #NBCPL
MAPUMZIKO | #NBCPL HT: Namungo FC 0-0 Singida BS LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #FountainGateFC #TRAUnited #FountainGateTRAUnited (Feed generated with FetchRSS)
MAPUMZIKO | #NBCPL HT: Namungo FC 0-0 Singida BS LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #FountainGateFC #TRAUnited #FountainGateTRAUnited (Feed generated with FetchRSS)
MSHIKEMSHIKE: Yanga, Simba tayari zimewasili Zanzibar kwa ajili ya ‘Dabi ya Kariakoo’. Timu gani unaipa nafasi kubwa ya kushinda na kwa nini?. Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye…
Yanga TV wiki hii ni balaa...... "...tutawapiga, tutawapiga, tutawapiga.....hadi mama atoke madarakani" Usikose, ni kesho Ijumaa saa 4:00 usiku #AzamSports1HD (Feed generated with FetchRSS)
#NBCPL Haya magoli yote matano, TRA United wakizindukia Uwanja wa Black Rhino, Karatu. FT: Fountain Gate 1-4 TRA United Inafuata Namungo vs Singida BS LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates…
#SportPesaLeague Magoli yote mawili, wakitangulia maafande kwa goli la maajabu kutoka kwa Boniface Muchiri, lakini Homeboyz wakachomoa kupitia kwa super sub, Pistone Mutamba Vunyoli, kwa header mchungulio…. FT: Ulinzi Stars…
#NBCPL Mammbo mazito…!!! HT: Dodoma Jiji 0-0 Simba SC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #DodomaJijiFC #SimbaSC #DodomaJijiSimba (Feed generated with FetchRSS)
25’ | #NBCPL Dodoma Jiji 0-0 Simba SC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #DodomaJijiFC #SimbaSC #DodomaJijiSimba (Feed generated with FetchRSS)
#NBCPL Neno la makocha baada ya mechi…..wa Yanga akiendelea kulia na ugumu wa ratiba huku wa JKT akisema alichojifunza kutokana na kichapo cha leo. FT: Yanga SC 5-0 JKT Tanzania.…
#NBCPL Funga kazi imetoka kwa super sub, Shekhan Ibrahim. Goli la tano kwa Wananchi..!! FT: Yanga SC 5-0 JKT Tanzania. Inafuata Dodoma Jiji vs Simba SC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC…
#NBCPL Chuma nambari nne ni Buba kwake Dube, Dube naye hafanyi makosa….!!! FT: Yanga SC 5-0 JKT Tanzania. Inafuata Dodoma Jiji vs Simba SC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates…
AZAM FC vs MTIBWA SUGAR: “…tunataka tushinde mechi zote za nyumba” Kocha wa Azam FC, Florent Ibenge anasema wajipanga kuwa bora zaidi ya wapinzani wao Mtibwa Sugar ili kukaa kwenye…
AZAM FC vs MTIBWA SUGAR: “…tumefanya vikao” Kocha wa Mtibwa Sugar, Yusuph Chipo amesema anaamini wachezaji wake watazingatia marekebisho aliyofanya na makubaliano ya vikao walivyokaa kuelekea mchezo wao dhidi ya…
#CRDBBankFederationCup Hatua ya 16 bora; Yanga SC/Polisi Tanzania vs TZ Prisons/TMA Stars Simba SC/B19 FC vs Dodoma Jiji/African Sports Azam FC/Mbeya Kwanza vs Fountain Gate/Gunners FC Singida BS/Songea United vs…
#CRDBBankFederationCup Hatua ya 32 bora; Yanga SC vs Polisi Tanzania Simba SC vs B19 FC Azam FC vs Mbeya Kwanza Singida BS vs Songea United Geita Gold vs Nyika FC…
MSHIKEMSHIKE: Kuelekea dabi ya Kariakoo Yanga SC VS Simba SC Machi 1, Je ni mchezaji gani atakaeng’ara katika mchezo huo? Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha…
Michezo ya wiki hii katika Saudi Pro League Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #SaudiProLeague #Azamtvsports @spl_en (Feed generated with FetchRSS)
KUMBUKUMBU ZA WATANI | Jikumbushe kidogo kilichotokea tarehe 20/04/2024, Simba walipokufa 2-1 kwenye Kariakoo Derby. Je, ni wachezaji gani waliokuwepo siku hiyo ambao unatamani wangekuwepo kwenye derby ijayo ya tarehe…
#KariakooDerby: Karibu Zanzibar nyumbani kwa mechi ya Yanga dhidi ya Simba Ni hekaheka kuelekea #KariakooDerby ‘Mbungi’ yenyewe ni Machi Mosi pale New Amaan Complex, Zanzibar na itakuwa LIVE #AzamSports1HD Ujue…
#KariakooDerby: Ndani ya chombo ya @officialazammarine watangazaji @ngodaalwatan na @baraka_mpenja wakaombwa ‘selfie’ na shabiki yao. Ni hekaheka kuelekea #KariakooDerby ‘Mbungi’ yenyewe ni Machi Mosi pale New Amaan Complex, Zanzibar na…
#KariakooDerby: Mtangazaji wa soka @ngodaalwatan amzuia Sauti ya Radi @baraka_mpenja ambaye alitaka kujitosa katikati ya Bahari ya Hindi akitaka kuonesha umwamba wake wa kuogelea. Unadhani Ngoda kaona nini? Ni hekaheka…
#NBCPL Wananchi mbele….wengine bado…!!! 28’: Namungo FC 0-1 Yanga SC Iko LIVE #AzamSports1HD Saa 3:00 usiku ni TANZANIA PRISONS vs SIMBA SC. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #NamungoFC #YangaSC #NamungoYanga…
MAPUMZIKO | #LaLigaEASports HT: Barcelona 2-0 Levante LIVE #AzamSports4HD #LigiKuuHispania #LaLigaUpdates #Laliga #BarcaLevante (Feed generated with FetchRSS)
#SerieA Wamebinua meza…. FT: Atalanta 2-1 Napoli Inafuata Milan vs Parma LIVE #AzamSports2HD #SerieA #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #AtalantaNapoli (Feed generated with FetchRSS)
75’ | #SerieA Atalanta 1-1 Napoli LIVE #AzamSports2HD #SerieA #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #AtalantaNapoli (Feed generated with FetchRSS)
#SerieA Como moto chini…!!! FT: Juventus 0-2 Como Inafuata Lecce vs Inter saa 2:00 usiku LIVE #AzamSports3HD #SerieA #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #JuveComo (Feed generated with FetchRSS)
#SportPesaLeague Haya hap magoli yote matatu, Leopards wakitangulia kupitia kwa Kelly Okonji Madada na Kayci Odhiambo… na Posta wakapata la kufutia machozi kupitia kwa super sub, Karisa ambaye ameingia tu…
#SportPesaLeague Sindano tatu za Nairobi United..Wauaji ni Mustapha Kizza, Kevin Wangaya na Benson Ochieng. Mechi imepigwa Ulinzi Sports Complex. FT: Shabana FC 1-0 Tusker FC Burudani ya soka inaendelea LIVE…
65’ | #SerieA Juventus 0-2 Como Iko LIVE #AzamSports1HD #SerieA #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #JuveComo (Feed generated with FetchRSS)
Mechi za NBC Premier League Jumapili hii Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #NBCPL #SisiNiSoka #Azamtvsports (Feed generated with FetchRSS)
SERIE A leo Ijumaa Saa 4:45 usiku, Sassuolo watakuwa nyumbani wakiwakaribisha Verona. Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports3HD Kwa kifurushi cha Shilingi 28,000 unatazama mchezo huu. @seriea (Feed generated with…
Mechi za wikiendi hii katika Bundesliga Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mechi hizi #Bundesliga #azamtvsports (Feed generated with FetchRSS)
Kariakoo Derby haikwepekei Lipia sasa kifurushi chako cha shilingi 28,000 ili usipitwe na mchezo huu. #Kariakooderby #Azamtvsports (Feed generated with FetchRSS)
AZAM FC: Je unafahamu ni mchezaji gani katika kikosi cha Azam ana hekaheka linapokuja suala la 'menu'? Mzikilize mpishi mkuu wa klabu ya Azam akielezea uzoefu wake wakati wa chakula…
Saudi Pro League inaendelea leo Alhamis Saa 4:00 usiku, Al Ahli watakuwa uwanja wa nyumbani wakikipiga na Al Najmah Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports3HD. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000…
#CRDBBankFederationCup N mapumziko na hattrick moja… HT: JKT Tanzania 4-0 Pan African LIVE #AzamSports1HD #CRDBBankFederationCup #CRDBBank #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #JKTTanzania #PanAfrican #JKTPanAfrican (Feed generated with FetchRSS)
35’ | #CRDBBankFederationCup JKT Tanzania 4-0 Pan African LIVE #AzamSports1HD #CRDBBankFederationCup #CRDBBank #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #JKTTanzania #PanAfrican #JKTPanAfrican (Feed generated with FetchRSS)
CRDB FEDERATION CUP: Mchambuzi wa soka, Andrew Kingamkono, amesema anatarajia kocha wa Azam SC, Florent Ibenge, kufanya mzunguko wa wachezaji na kuwapa nafasi zaidi vijana katika mashindano ya CRDB Federation…
ZILIZOBAMBA: Ramadhan Star League msimu wa pili kuanza rasmi siku ya Alhamisi 20/02/2026 katika viwanja vya Donbosco Ostabey. Mtangazaji @ikthehost anafafanua zaidi kuhusu uhondo huo wa mpira wa kikapu. #Viwanjani…
Wachambuzi wa soka @akingamkono na @rashidy_hamis wameunga mkono kauli ya Kocha wa Coastal Union, Mohamed Muya, aliyesema bado hajaridhishwa na ufanisi wa safu ya ushambuliaji ya timu yake licha ya…
MAPUMZIKO | #CRDBBankFederationCupFinal: HT: KMC FC 2-1 Bandari Iko LIVE #AzamSports1HD #CRDBBankFederationCup #CRDBBank #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #KMCFC #BandariFC #KMCBandari (Feed generated with FetchRSS)
Mechi za wiki hii ligi ya mabingwa kwa Wanawake. Michezo hii kuruka mbashara kupitia chaneli ya ESPN. Chaneli hii ya ESPN inapatikana katika kifurushi cha shilingi 35,000. #UEFAWOMENSCHAMPIONSLEAGUE #ESPN #Azamtvsports…
NANAUKA CUP YAANZA KUWAKUTANISHA VIJANA MTWARA Mbunge wa Mtwara Mjini ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Joel nanauka ameanzisha mashindano ya michezo yanayojulikana kama Joel…
#CAFCLDraw Ligi ya Mabingwa Afrika Robo fainali:- RS Berkane vs Al Hilal Esperance vs Al Ahly Mamelodi vs Stade Malien AS FAR vs Pyramids Nusu fainali:- Esperance/Al Ahly vs Mamelodi/Stade…
#CAFCCDraw Kombe la Shirikisho Afrika. Robo fainali:- Al Masry vs Belouizdad, Olympic Club De Safi vs Wydad AC, AS Otoho vs Zamalek SC, AS Maniema Union vs ASM Alger. Nusu…
Machi Mosi patakuwa hapatoshi dimba la New Amaan Complex kwani itapigwa Kariakoo Derby, Yanga SC dhidi ya Simba SC. Mchezo huu utapigwa kuanzia saa 2:15 usiku na kuruka mbashara kupitia…
GAMONDI KUINOA STARS | Kocha wa Taifa Stars, Miguel Gamondi amesema anajisikia fahari kuwa kocha mkuu wa timu hiyo na kuahidi kushirikiana vema na taasisi zote za soka Tanzania, kuhakikisha…
GAMONDI KUINOA STARS | Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema Kocha Miguel Gamondi amepewa uwanda mpana wa kuita vijana wote wa Kitanzania wenye vipaji wanaoishi mataifa…
Kocha Miguel Gamondi amesaini rasmi mkataba wa miaka miwili wa kuifundisha timu ya Taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars). Akizungumza katika hafla fupi ya utiaji saini wa mkataba huo,…
UCHAMBUZI MECHI ZA CAF: Uchambuzi unaendelea ndani ya studio za #AzamTV ukiangazia mechi za leo za Kombe la Shirikisho Afrika na Ligi ya Mabingwa. Saa 11:00 jioni ni Wydad AC…
KUTOKA MOROCCO: Kikosi cha Azam FC, kikiondoka hotelini kwenda uwanja wa Mohamed V, jijini Casablanca, nchini Morocco kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya Kombe la…