MAKALA YA MBEYA CITY: “Kambi ilikuwa ni kambi nzuri”
MAKALA YA MBEYA CITY: “Kambi ilikuwa ni kambi nzuri” Unaikumbuka ile Mbeya City ya motooooo….ya msimu wa 2012/13, 2013/14….? Ni ile Mbeya City iliyokuwa chini ya Kocha Juma Mwambusi. Kocha…
MAKALA YA MBEYA CITY: “Kambi ilikuwa ni kambi nzuri” Unaikumbuka ile Mbeya City ya motooooo….ya msimu wa 2012/13, 2013/14….? Ni ile Mbeya City iliyokuwa chini ya Kocha Juma Mwambusi. Kocha…
SERIE A leo Jumapili Big Game, saa 4:45 usiku, Napoli watakuwa nyumbani wakiwakaribisha AS Roma. Katika msimamo wa Serie A, Napoli yupo nafasi ya tatu na alama 49 huku Roma…
YANGA vs JS KABYLIE: Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Shaban Kamwe anasema katika orodha ya timu saba ambazo tayari zimefuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika…
#NBCPL: Milango ya pande zote bado migumu…. 15’: Tanzania Prisons 0-0 Namungo LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #TanzaniaPrisonsNamungo #TanzaniaPrisons #Namungo (Feed generated with FetchRSS)
CAFCL: Mtangazaji @kenedymosestz na jopo lake la wachambuzi, tayari wapo studio wakizichambua mechi za leo za Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL). Saa 10:00 jioni kuna mechi mbili ikiwemo Mamelodi Sundowns…
KURASA ZA MWISHO | Mchambuzi wa soka @charlesabel24, ambaye pia ni mwandishi wa habari za michezo amebainisha namna idadi kubwa waandishi ilivyowakosha wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya chombo hicho…
NBA All Star 2026 Intuit Dome pale Los Angeles patakuwa hapatoshi ni 2026 NBA All Star Ni Team East wakiongozwa na Giannis Antetokounmpo na Jaylen Brown dhidi ya team West…
Mechi za leo Jumamosi katika Laliga Big Game, Saa 5:00 usiku, Los Blancos, Real Madrid watakuwa nyumbani Bernabeu wakiwakaribisha Real Sociedad. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama laliga mwezi mzima…
MKUTANO CAF: “Tutazitatua changamoto hizo” Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe amesema kutakuwa na taarifa kwenye vyombo vya habari miezi michache ijayo kwamba viwanja havipo tayari, hoteli hazipo tayari, nyasi…
Mechi za mwisho hatua ya makundi Ligi ya mabingwa Afrika. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #CAFCL #Azamtvsports (Feed generated with FetchRSS)
KUTOKA AFRIKA KUSINI: Msikie Katibu wa Singida Black Stars Omari kaya akieleza namna mazingira yalivyo mazuri kwa timu baada ya yeye kuwasili mapema jijini Cape Town, akigusia pia ushirikiano walioupata…
JKT TANZANIA vs COASTAL UNION: “kuwatengenezea hamu ya mechi siku ya kesho…”. Kocha wa Coastal Union Mohamed Muya, amesema kuelekea mchezo wa wao dhidi ya JKT Tanzania watajilinda dhidi ya…
VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @lilianmukulu_ anasema kama wachezaji wapya wa TRA United watakuwa wamepata vibali vyote na kujumuishwa katika kikosi kitakachocheza leo mchezo wao wa NBC Premier League dhidi ya…
JKT TANZANIA vs COASTAL UNION: “…Maandalizi yalikuwa kwenye vitengo hivyo viwili”. Kocha wa JKT Tanzania Ahmad Ally, amesema maandalizi kuelekea mchezo wao wa kesho dhidi ya Coastal Union yameenda vizuri…
Mkurugenzi wa Akili Education, Felician Chizelema, amesema kuwa wapo katika maandalizi ya mbio ndefu za Akili Alumni Marathon 2026 yanalenga kuweka rekodi ya dunia kwa kukusanya washiriki kutoka mataifa mengi…
NBC Premier League leo Alhamis Saa 1:00 usiku,Dodoma Jiji watakuwa uwanja wa Jamhuri, Dodoma wakiwakaribisha TRA United. Je, ni walima Zabibu ama wakusanya mapato nani kuondoka na alama tatu? Mchezo…
DODOMA JIJI vs TRA UNITED: “Hakuna atakayekosekana…” Kocha wa TRA United Etienne Ndayiragije, amesema wachezaji wa timu hiyo wapo katika utimamu mzuri hivyo wapo tayari kwa mchezo wa kesho. Naye…
DODOMA JIJI vs TRA UNITED: “Lakini katika uwanja wetu wa Jamhuri tunatakiwa tuutumie vizuri…” Kocha wa Dodoma Jiji Amani Josiah, anasema kuelekea mchezo wao wa NBC Premier League dhidi ya…
VITASA: Msikie mchambuzi wa #Vitasa @aidanmlimila akizungumzia tukio lililoushangaza ulimwengu siku kama ya leo mwaka 1990. #Vitasa #Viwanjani (Feed generated with FetchRSS)
NBC PREMIER LEAGUE: Nyota wa Dodoma Jiji, William Edgar amefichua siri ya ‘moto’ wake msimu huu ambapo mpaka sasa tayari amefunga magoli manne kwenye NBC Premier League. Nyota huyo anasema…
Hatua ya robo fainali Kombe la DFB Pokal inakamilika kuchezwa leo saa 4:45 usiku. FC Bayern Munich watakuwa nyumbani Allianz Arena wakicheza na RB Leipzig Je, ni Bayern ama RB…
#NBCPL: Bakari Msimu anaitanguliza coastal Union kufuatia goli la dakika za mapema zaidi za mchezo. Prisons 0-1 Coastal Union LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi #TanzaniaPrisonsVsCoastalUnion #TanzaniaPrisons #CoastalUnion
🚗✨ IST Festival Tanzania inakuja kuunganisha vijana wa rika zote, kufungua milango ya biashara, kujenga mitandao (networking) na kusherehekea utamaduni wa magari kwa kiwango cha kitaifa. Tembelea ukurasa wa @ist_festival2026…
AFC Champions League TWO leo Jumanne. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #SisiNiSoka #Azamtvsports
SINGIDA BS vs FOUNTAIN GATE: Kocha wa Fountain Gate FC, Mohamed Lazer anasema mechi dhidi ya Singida BS, mara zote huwa sio nyepesi na ikumbukwe kuwa walima alizeti hao wametoka…
Hatua ya robo fainali ya DFB Pokal kuendelea wiki hii Je, timu gani kuungana na Leverkusen na VFB Stuttgart katika hatua ya nusu fainali? Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama…
SINGIDA BS vs FOUNTAIN GATE: Kocha wa Singida BS, David Ouma anasema wapo wachezaji ambao hawakuwatumia kwenye michuano ya CAF, lakini wanaweza kuwatumia kwenye NBC Premier League. Ouma anasema wameamua…
KMC vs SIMBA: “Presha haiwezi kuondoka” Kocha wa KMC, Mohamed Abdallah ‘Bares’ anasema kukosekana kwa matokeo mazuri kwenye mechi zao zilizopita katika NBC Premier League kunaifanya timu hiyo iwe na…
KMC vs SIMBA: Kocha wa Simba SC, Steve Barker amesema hakuna mechi rahisi kwenye ligi na wachezaji wake wameonesha kujitoa katika kila mechi kuhakikisha wanaimarika. Kocha Barker anasema wametengeneza msingi…
MKUTANO MKUU CAF KUFANYIKA TANZANIA: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa CAF, katika ardhi ya Tanzania, itasaidia kupata ushirikiano kati ya…
MASHABIKI AZAM FC: “Tunakwenda kumuua Wydad, tupo zetu robo fainali” Mashabiki Azam FC hawana wasiwasi juu ya timu yao kutinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC). Shabiki mwingine…
SIMBA SC: “Mashabiki wetu wasiingie kwenye malumbano” Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amewaomba mashabiki wa timu hiyo kuwa watulivu nyakati hizi ili kikosi hicho kiweze kufanya…
MASHABIKI SIMBA: “Alikuwa amechelewa kuja Simba” Mashabiki wa Simba waonesha kukoshwa na viwango vya wachezaji wao wapya waliowasajili katika kipindi cha dirisha dogo. Mashabiki hao wanasema wanamsubiri kwa hamu nyota…
#NBPL: Ilitokea piga nikupige flani hivi kabla ya Laurian Makame kuukwamisha mpira nyavuni akiiandikia JKT goli lenye hadhi ya alama tatu. FT: JKT Tanzania 1-0 Mashujaa FC Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD…
MSHIKEMSHIKE: Yanga baada ya kupoteza dhidi ya AS FAR ugenini, matumaini pekee ni ushindi kwenye mchezo wa mwisho dhidi ya JS Kabylie, unaionaje nafasi ya wananchi kufuzu robo fainali ya…
AZAM FC: Afisa Habari wa Azam FC, @hasheem_ibwe ataja ratiba ya timu hiyo kuelekea nchini Morocco kuifuata Wydad AC. Ibwe amesema timu ya utangulizi itaondoka Februari 10 na wengine wataondoka…
MSIMAMO: JKT Tanzania wanahitaji makoti ya kuwazuia na barafu…kileleni ni zaidi ya jokofu. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable #ImenogaZaidi
#NBPL: JKT Tanzania wamechukua alama tatu. FT: JKT Tanzania 1-0 Mashujaa FC Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi #JKTTanzaniavsMashujaa #JKTanzania #Mashujaa
#NBPL: Bado JKT Tanzania wapo mbele kwa goli moja. 90’: JKT Tanzania 1-0 Mashujaa FC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi #JKTTanzaniavsMashujaa #JKTanzania #Mashujaa
Wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho Afrika, AzamFC na Singida BS, Jumapili hii wanamaliza hatua ya makundi ya michuano hii wakiwa viwanja vya ugenini. Matajiri wa jiji AzamFC watakuwa…
#NBPL: ‘Boli’ inaendelea katika dimba la Meja Jenerali Isamuhyo. 65’: JKT Tanzania 1-0 Mashujaa FC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi #JKT TanzaniavsMashujaa #JK Tanzania #Mashujaa
AZAM FC: “Calculator (kikokoto) haituhusu” Afisa Habari wa Azam FC, @hasheem_ibwe anasema njia ya kutinga hatua ya robo fainali sio nyepesi kutokana na mazingira ya kundi yalivyo ambapo mpaka sasa…
#NBPL: JKT Tanzania wanaenda mapumziko wakiwa kifua mbele kwa goli moja. JKT Tanzania 1-0 Mashujaa FC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi #JKTTanzaniavsMashujaa #JKTanzania #Mashujaa
PAMBA JIJI vs NAMUNGO FC: “Maandalizi yote ya kucheza na timu nzuri kama hiyo yamekamilika …” Kocha wa Namungo FC Juma Mgunda, amesema Pamba ni timu bora ikiwa katika uwanja…
PAMBA JIJI vs NAMUNGO FC: “Wachezaji ni wale wale mbinu itakuwa tofauti…” Kocha wa Pamba Jiji Francis Baraza, amesema anatambua ubora wa Namungo FC lakini kama wachezaji watazingatia yale waliyofanyia…
ZILIZOBAMBA: Mtaalamu wa #Vitasa @aidanmlimila leo amekuja na mapambano ambayo yalimalizika kwa KO ambayo ilisababishwa na ngumi moja tu. Moja ya mapambano hayo ni lile la Karim Mandonga dhidi ya…
DROO CRDB BANK FEDERATION CUP: Msikie Meneja Mashindano wa TFF, Baraka Kizuguto akitoa ufafanuzi wa mfumo uliotumika kwenye droo ya leo ya 64 bora ya CRDB Bank Federation Cup. Droo…
ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Beki wa Yanga SC, Mohamed Hussein Zimbwe awaambia mashabiki wa Yanga kwamba wiki hii ni kumuomba Mungu ili waweze kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa…
ZANZIBAR CUP KASKAZI 2026: Ule uhondo wa mchezo wa #Vishada siu yake imewadia. Timu ya #AzamTV ikiwa katika maandalizi ya mwisho kuelekea #ZanzibarCupKaskazi2026 ikiwa ni msimu wa tano. Mashindano haya…
DROO CRDB BANK FEDERATION CUP: “CRDB Bank Federation Cup ni shindano la hadhi ya kitaifa” Meneja Mashindano wa TFF, Baraka Kizuguto anasema michuano ya CRDB Bank Federation Cup, ni mashindano…