MTONI QUEENS: “…magoli yote mawili ni ya golikipa”
MTONI QUEENS: “…magoli yote mawili ni ya golikipa” Hatua ya sita bora ligi ya wanawake mkoa wa Dar es Salaam inazidi kuwasha moto, ambapo leo Rangi Tatu na Mtoni Queens…
MTONI QUEENS: “…magoli yote mawili ni ya golikipa” Hatua ya sita bora ligi ya wanawake mkoa wa Dar es Salaam inazidi kuwasha moto, ambapo leo Rangi Tatu na Mtoni Queens…
FIFA SERIES | RWANDA “…kama mnavyonijua mimi ni mshindani, napenda kupata matokeo mazuri” Kocha wa Taifa Stars, Miguel Gamondi anaeleza jinsi atakavyoitumia michuano ya FIFA Series kama sehemu ya maandalizi…
MZIZIMA DERBY: “….tumewafunga mara mbili msimu huu” Azam FC imerejea rasmi mazoezini huku ikianza kuzitupia jicho mechi mbili zijazo kwenye Ligi Kuu ya NBC ikiwemo Mzizima Derby dhidi ya Simba…
ALLY KAMWE: “……rudi mzigoni, lete watu” Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe asisitiza ombi lake kwa rais wa klabu hiyo, Hersi Said kuhusu usajili, afafanua sababu za…
FIFA SERIES | “….Yusuph Kagoma tumemuacha Dar es Salaam” Kikosi cha wachezaji 23 wa Taifa Stars kimewasili salama Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali nchini Rwanda, tayari kwa maandalizi…
ALLY KAMWE: “…. Yanga itarudi kutoa kichapo”. Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amefafanua sababu za kumuongeza Abdihamid Moalin kuwa kocha msaidizi, akiweka wazi kuwa uamuzi huo…
FIFA SERIES | Baadhi ya wanahabari walioko Kigali nchini Rwanda kwa ajili ya michuano ya FIFA Series wanaeleza kuridhishwa na mapokezi huku wakitoa tathmin kuhusu vikosi vya timu zao pamoja…
FIFA SERIES | Kuelekea michuano ya FIFA Series nchini Rwanda, leo Gift Macha anatupitisha kwenye mambo usiyoyajua kuhusu Uwanja wa Amahoro, ukiwa ni mmoja kati ya viwili vitakavyotumika. ✍️ @amosimasokotz…
SOKA LA WANAWAKE: Ligi ya wanawake ya mkoa wa Dar es Salaam inazidi kunoga na sasa inaingia hatua ya sita bora ambayo itaanza rasmi Jumatano ya Machi 25 mwaka huu.…
SIMBA SC: “Tumefanikiwa kubakiza kipaji halisi cha mpira”. Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally anaweka wazi sababu za kumuongezea mkataba winga wao Elie Mpanzu, azungumzia ratiba yao ya…
FIFA SERIES | Maandalizi ya Mechi za Kimataifa za Kirafiki za ‘FIFA Series’ nchini Rwanda yanaendelea vizuri ambapo tayari timu mbalimbali zimeanza kuwasili jijini Kigali kwaajili ya michezo hiyo. Mechi…
AISHI MANULA | “…nikipata muda wa kucheza, nitaonesha kile wanachotarajia kutoka kwangu” Golikipa Aishi Manula ana neno kwa mashabiki baada ya kurejea timu ya taifa #TaifaStars (Feed generated with FetchRSS)
TAIFA STARS | Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo kimefanya mazoezi yake ya kwanza katika viwanja vya Gymghana Dar es salaam kujiandaa na michezo ya FIFA…
#MadridDerby What a game…!!! Je, nini kimekufurahisha zaidi??? Weka hapa uchambuzi wako…!!! FT: Real Madrid 3-2 Atletico Madrid #LigiKuuHispania #LaLigaEASports #LaLigaUpdates #Laliga #RealMadridAtleti (Feed generated with FetchRSS)
#MadridDerby Jitihada za Nahuel Molina Lucero kutia chuma ya pili, hazikutosha kuwapa chochote Atletico Madrid. FT: Real Madrid 3-2 Atletico Madrid LIVE #AzamSports4HD #LigiKuuHispania #LaLigaEASports #LaLigaUpdates #Laliga #RealMadridAtleti (Feed generated…
#MadridDerby ‘Salute’ 90’+: Real Madrid 3-2 Atletico Madrid LIVE #AzamSports4HD #LigiKuuHispania #LaLigaEASports #LaLigaUpdates #Laliga #RealMadridAtleti (Feed generated with FetchRSS)
#SerieA Ni sare tena kwa Inter…!! FT: Fiorentina 1-1 Inter Madrid Derby inaendelea LIVE #AzamSports2HD #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #FiorentinaInter (Feed generated with FetchRSS)
#SerieA Wamerangulia, wakachomolewa, wakapiga msako wa nguvu, wakapata penati wakakosa, game imekwisha kwa sare ... Je, una la kusema!? FT: Juve 1-1 Sassuolo Saa 1:00 usiku ni Simba SC vs…
#CAFCLCC Ahly OUT…, Misri OUT….Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu; Je, hii maana yake nini??? FT: Al Ahly 2-3 Esperance (Agg: 2-4) FT: CR Belouizdad 0-0 Al Masry (Agg: 1-1)…
#CAFCLCC Maji yanazidi kuwa marefu kwa Ahly…!!! 70’: Al Ahly 1-1 Esperance (Agg: 1-2) 70’: CR Belouizdad 0-0 Al Masry (Agg: 1-1) Kwa Kiswahili anasikika Mwamba wa Juu, Leonard Musikula.…
30’ | #SerieA Juve 1-0 Sassuolo LIVE #AzamSports2HD #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #Juve #Sassuolo #JuveSassuolo (Feed generated with FetchRSS)
| #LaLigaEASports Chuka zote za kipindi cha kwanza zimeonesha umwamba uwanja wa nyumbani. FT: Villareal 3-1 Real Sociedad Ilikiwa LIVE #AzamSports4HD #LigiKuuHispania #LaLigaUpdates #Laliga Villareal RealSociedad (Feed generated with FetchRSS)
#SerieA Mwenyeji amepigwa nyumbani, dakika za jioooooni Udinese wanaongeza chuma cha pili na kuzinyakua alama tatu. FT :Genoa 0-2 Udinese Ilikuwa LIVE #AzamSports3HD #LigiKuuItalia #SerieAUpdates GenoaUdinese (Feed generated with FetchRSS)
| #Bundesliga Hiki kinaitwa kichapo gani vile…? FT: RB Leipzig 5-0 Hoffenheim Ilikuwa LIVE #AzamSports2HD #LigiKuuUjerumani #Bundesliga #BundesligaUpdates RBLeipzig Hoffenheim (Feed generated with FetchRSS)
MAPUMZIKO #SerieA Bado hakuna mbabe... HT :Genoa 0-0 Udinese LIVE #AzamSports3HD #LigiKuuItalia #SerieAUpdates GenoaUdinese (Feed generated with FetchRSS)
MTIBWA SUGAR: “…tumepata muda wa kutosha wa kupumzika…tumeangalia mechi zao” Kikosi cha Mtibwa Sugar FC kinaendelea na tizi la nguvu kujiandaa na mchezo wao dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumamosi, Jamhuri…
YANGA SC: “…tumeshavuka kipindi kigumu” Kikosi cha Yanga kimewasili jijini Dodoma tayari kwa mchezo wao wa Jumamosi dhidi ay Mtibwa, huku msemaji wake Ally Kamwe akiwahakikishia mashabiki kwamba sasa ni…
#NBCPL “…ilikuwa ni lazima wafungwe” . Neno kutoka kwa Kocha wa Mashujaa FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ baada ya mechi, ambaye anasema imekuwa ni bahati kwa Azam FC kutoka kwenye mchezo…
#NBCPL “…kila anayekuja hapa lazima achinjwe” Neno kutoka kwa mashabiki kwenye Dimba la CCM Kirumba baada ya mechi…. Pamba Jiji wanatamba “…timu yoyote itakayokuja Kirumba, haitoki..siyo Simba tu…” Lakini Simba…
SENEGAL 'YAPOKWA' UBINGWA WA AFCON 2025 Senegal wamevuliwa Ubingwa wa Afrika #AFCON2025 na badala yake CAF imewapa Morocco Ubingwa huo. Uamuzi huo umetolewa usiku huu kufuatia rufaa ya Morocco waliolalamikia…
Azam FC tayari iko Kigoma na jioni ya leo imepiga tizi kwenye Uwanja wa Kajuna, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu ya NBC dhid ya…
JULIO: “…kuna jambo zuri vijana wangu watafanya”. Mashujaa FC yahitimisha mazoezi yake kwenye Dimba la Lake Tanganyika Kigoma, ikiwa ni maandalizi kuelekea mchezo wao dhidi ya Azam FC na tayari…
YANGA SC: “…hali ya uwanja ni nzuri” Yanga yapiga tizi lake la mwisho kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha tayari kuwakabili TRA United, mchezo wa ligi kuu ya NBC…
Simba yaifuata Pamba Jiji, wakati Pamba Jiji nao wakiendelea kujifua katika mazoezi makali kuelekea mchezo wao wa Machi 19, 2026 kwenye Dimba la CCM Kirumba. Baadhi ya wachezaji wa Pamba…
#LaLigaEASports Watu wamepokonywa tonge mdomoni kwa goli la kusawazisha dakika za jiooooooooooooni FT: Rayo Valecano 1-1 Levante #LigiKuuHispania #LaLigaUpdates #RayoLevante (Feed generated with FetchRSS)
#SerieA Kwa kishindo wamerejea kwenye njia ya ushindi...!!! FT: Cremonese 1-4 Fiorentina Game ya Laliga bado inaendelea LIVE #AzamSports4HD #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #CremoneseFiorentina (Feed generated with FetchRSS)
Rais mpya wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), Hasheem Thabeet, amekabidhiwa rasmi ofisi, huku akieleza mikakati na vipaumbele vyake…. Hasheem pia amepokea taarifa ya utendaji kutoka kwa rais…
#CAFCL Wamelala…Sasa watalazimika kushinda angalau 2-0 nyumbani; Je, wataweza!!!?? FT: Esperance 1-0 Al Ahly HT: OC de Safi 0-0 Wydad AC LIVE #AzamSports2HD #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #Esperance #AlAhly #EsperanceAlAhly (Feed generated…
#CAFCL Kule Morocco ni mapumziko hivi sasa kukiwa hakuna bao, wakati Tunisia ni dakika za nyongeza, kuna watu wanapambana kuchomoa…!!! 90+: Esperance 1-0 Al Ahly HT: OC de Safi 0-0…
#CAFCL 65’: Esperance 0-0 Al Ahly 25’: OC de Safi 0-0 Wydad AC LIVE #AzamSports1HD na #AzamSports2HD #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #Esperance #AlAhly #EsperanceAlAhly (Feed generated with FetchRSS)
#SerieA Wamempiga aliyetoka kumpiga kinara wa ligi….kipimo cha kipigo ni kilekile. FT’: Lazio 1-0 Milan OC Safi vs Wydad inaanza saa 7:00 usiku huu LIVE #AzamSports2HD #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #Lazio #Milan…
#LaLigaEASports Kichapo....!!! FT: Real Madrid 4-1 Elche Hewani muda huu ni RS Berkane vs Al Hilal LIVE #AzamSports4HD #LigiKuuHispania #LaLigaUpdates #RealMadridElche (Feed generated with FetchRSS)
#CAFCC Al Masry wanapokonywa tonge mdomoni dakika za jioooooooni FT: Al Masry 1-1 Belouizdad Hewani muda huu ni RS Berkane vs Al Hilal LIVE #AzamSports1HD #CAFConfederationCup #KombeLaShirikishoAfrika #AlMasryBelouizdad (Feed generated…
#SerieA Moja la pointi tatu za ugenini...!! FT: Udinese 0-1 Juventus Real Madrid bado wanaendeza moto LIVE #AzamSports4HD #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #UdineseJuve (Feed generated with FetchRSS)
70' | #LaLigaEASports Real Madrid 3-0 Elche LIVE #AzamSports4HD #LigiKuuHispania #LaLigaUpdates #RealMadridElche (Feed generated with FetchRSS)
| #CAFCL Masandawana kibabe wananyakua alama tatu mbele ya Stade Malien FT: Mamelodi 3-0 Stade Malien Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD Je unadhani Stade Malien watalipa kisasi kwenye mchezo wa marudiano? #CAFCL…
80' | #CAFCL Chuma ya tatu kwa Masandawana..... Mamelodi 3-0 Stade Malien LIVE #AzamSports1HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #MamelodiSundown #StadeMalien (Feed generated with FetchRSS)
58' | #CAFCL Chuma ya pilii.........kwa Mamelodi Mamelodi 2-0 Stade Malien LIVE #AzamSports1HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #MamelodiSundown #StadeMalien (Feed generated with FetchRSS)
MAPUMZIKO | #CAFCL Chuma ya Khuliso Mudau imewapa uongozi Mamelodi dakika 45 za mwanzo HT: Mamelodi 1-0 Stade Malien LIVE #AzamSports1HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #MamelodiSundown #StadeMalien (Feed generated with FetchRSS)
Mashabiki wa Yanga wamefunga safari kutoka Songwe ambako ni lango kuu la SADC hadi Zanzibar kwenda kuipa nguvu timu yao kwenye mechi ya ‘Dabi’ ya Kariakoo dhidi ya Simba SC.…