#Heriyamwakampya2026 | @ofisi_ya_makamu_wa_rais
#Heriyamwakampya2026 | @ofisi_ya_makamu_wa_rais
Msanii wa Bongo Fleva na dancer @chino_kidd7 amefunguka kuhusu mambo muhimu ambayo vijana wanapaswa kuyazingatia ili kufanikiwa …
Msanii wa Bongo Fleva na dancer @chino_kidd7 amefunguka kuhusu mambo muhimu ambayo vijana wanapaswa kuyazingatia ili kufanikiwa kwenye fani ya dancing. Akizungumza kupitia TheSpark ya Clouds TV, Chino amesema mafanikio…
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @chino_kidd7 amesema kuwa hawezi kuacha kuwasaidia dancers, hata kama hapewi heshima anayostahil…
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @chino_kidd7 amesema kuwa hawezi kuacha kuwasaidia dancers, hata kama hapewi heshima anayostahili, kwa sababu bado kuna wengi wanaohitaji msaada. Kupitia TheSpark ya Clouds tv…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…JANUARI 01, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...JANUARI 01, 2026
#HABARI: Watu kumi wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa katika ajali ya magari mawili kugongana uso kwa uso, usiku wa kuamk…
#HABARI: Watu kumi wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa katika ajali ya magari mawili kugongana uso kwa uso, usiku wa kuamkia leo na kuteketea kwa moto ambapo ajali hiyo imehusisha…
🔴#KUMEKUCHA: MWAKA 2026 UWE WA AMANI NA UTULIVU, JANUARI 01 2026
🔴#KUMEKUCHA: MWAKA 2026 UWE WA AMANI NA UTULIVU, JANUARI 01 2026
#SWALILAKIPIMAJOTO: Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini Kigoma kushindwa kuyaondoa maji yaliyozunguka makazi ya watu eneo l…
#SWALILAKIPIMAJOTO: Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini Kigoma kushindwa kuyaondoa maji yaliyozunguka makazi ya watu eneo la Katubuka kwa miaka mitatu. Je, Watendaji wa Wakala huo wawajibishwe?
🔴 #MAGAZETI: SAMIA: 2026 NI WA KUJENGA UMOJA WA KITAIFA / FEI TOTO ALIVYOVUNJA….JANUARI 01, 2026
🔴 #MAGAZETI: SAMIA: 2026 NI WA KUJENGA UMOJA WA KITAIFA / FEI TOTO ALIVYOVUNJA....JANUARI 01, 2026
AzamTV inawatakia Watanzania wote heri ya mwaka mpya 2026
AzamTV inawatakia Watanzania wote heri ya mwaka mpya 2026. #AzamTVBurudaniKwaWote
“Umoja wa kitaifa ni ajenda yetu kuu tunapouanza mwaka 2026” – Rais Dkt
“Umoja wa kitaifa ni ajenda yetu kuu tunapouanza mwaka 2026” – Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
Wakati Watanzania wakiuanza mwaka mpya, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema mwaka 2026 Seri…
Wakati Watanzania wakiuanza mwaka mpya, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa nchini. Dkt Samia ameeleza hayo…
“Tusikubali tofauti za kiitikadi au kimtazamo zitugawe na kutupotezea malengo ya Taifa” – Rais Dkt
“Tusikubali tofauti za kiitikadi au kimtazamo zitugawe na kutupotezea malengo ya Taifa” – Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
Kutoka pande za Tabora hivi ndivyo wananchi wanauelezea mwaka 2025 kabla ya kuupokea mwaka mpya wa 2026
Kutoka pande za Tabora hivi ndivyo wananchi wanauelezea mwaka 2025 kabla ya kuupokea mwaka mpya wa 2026. #CloudsDigitalupdates
“Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea” – Ujumbe wa faraja wa Rais Dkt
“Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea” – Ujumbe wa faraja wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika salamu za Mwaka Mpya 2026
“Tulichukua hatua za haraka kutatua changamoto ya maji jijini Dar es Salaam
“Tulichukua hatua za haraka kutatua changamoto ya maji jijini Dar es Salaam. Mvua zinazoendelea kunyesha zitarejesha upatikanaji wa maji” – Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Taifa leo Desemba 31,…
Umoja wa Mataifa (UN) umeutangaza mwaka 2026 kuwa wa kimataifa wa mkulima mwanamke na jamii za wafugaji kutokana na mchango wao …
Umoja wa Mataifa (UN) umeutangaza mwaka 2026 kuwa wa kimataifa wa mkulima mwanamke na jamii za wafugaji kutokana na mchango wao katika mifumo ya chakula cha kilimo pamoja na ufugaji.…
Usafirishaji wa makaa ya mawe kutoka mgodi wa Ngaka mkoani Ruvuma unatarajiwa kupata ahueni baada ya kukamilika kwa daraja la mc…
Usafirishaji wa makaa ya mawe kutoka mgodi wa Ngaka mkoani Ruvuma unatarajiwa kupata ahueni baada ya kukamilika kwa daraja la mchepuko linalotarajiwa kuzinduliwa Januari mosi, 2026 na kuruhusu upitaji wa…
Zaidi ya Shilingi Trilioni 1.2 za mauzo ya korosho zimekusanywa mkoani Mtwara huku msimu wa mauzo ya zao hilo ukitarajiwa kukami…
Zaidi ya Shilingi Trilioni 1.2 za mauzo ya korosho zimekusanywa mkoani Mtwara huku msimu wa mauzo ya zao hilo ukitarajiwa kukamilika mwezi Machi mwaka 2026. Mwenzetu John Kasembe ameangazia mafanikio…
#HABARI: Baada ya kituo cha televisheni cha ITV kuripoti habari za kusikitisha kuhusu maafa yaliyosababishwa na mvua kubwa wilay…
#HABARI: Baada ya kituo cha televisheni cha ITV kuripoti habari za kusikitisha kuhusu maafa yaliyosababishwa na mvua kubwa wilayani Handeni, wadau mbalimbali wameanza kujitokeza kutoa misaada kwa wahanga. Taarifa hiyo…
#HABARI: Shirika la Reli Tanzania limetoa taarifa ya kusitisha safari za treni ya SGR kwa muda kuanzia Disemba 31, 2025 kati ya …
#HABARI: Shirika la Reli Tanzania limetoa taarifa ya kusitisha safari za treni ya SGR kwa muda kuanzia Disemba 31, 2025 kati ya Morogoro – Dodoma na Dodoma – Morogoro kutokana…
🔴TAARIFA YA HABARI YA DISEMBA 31, 2025 – JESHI LA POLISI LAIMARISHA ULINZI MKESHA WA MWAKA MPYA
🔴TAARIFA YA HABARI YA DISEMBA 31, 2025 - JESHI LA POLISI LAIMARISHA ULINZI MKESHA WA MWAKA MPYA
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU – 31/12/2025
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 31/12/2025
Mwandishi wa fasihi kutoka Nigeria, Chimamanda Ngozi Adichie anasema ‘Mitandao ya Kijamii Inaua Uwezo Wetu wa Kufikiria lakini F…
Mwandishi wa fasihi kutoka Nigeria, Chimamanda Ngozi Adichie anasema 'Mitandao ya Kijamii Inaua Uwezo Wetu wa Kufikiria lakini Fasihi Inafanya Kinyume Chake'. Tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwaka 2025 na tukitarajia…
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Burian, leo Desemba 31, 2025, amepiga marufuku vitendo vya uchomaji wa matairi wakati wa kusherehekea mkesha wa Mwaka Mpya. Akizungumza na waandishi…
Tazama Jiji la Sydney – Australia lilivyoupokea mwaka mpya kwa fataki na shangwe
Tazama Jiji la Sydney – Australia lilivyoupokea mwaka mpya kwa fataki na shangwe. #AzamTVUpdates ✍ Warda John Mhariri | @moseskwindi
#HABARI: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetoa tahadhari kali kwa wananchi dhidi ya vitendo vya kuchoma matai…
#HABARI: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetoa tahadhari kali kwa wananchi dhidi ya vitendo vya kuchoma matairi barabarani pamoja na kupiga baruti au fataki katika…
#HABARI: Mali na Burkina Faso zimesema zinaweka marufuku ya kusafiri kwa raia wa Marekani, kama jibu la hatua sawia iliyotangaz…
#HABARI: Mali na Burkina Faso zimesema zinaweka marufuku ya kusafiri kwa raia wa Marekani, kama jibu la hatua sawia iliyotangazwa na utawala wa Trump mapema mwezi huu. Katika taarifa tofauti…
#HABARI: Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino imeanza rasmi zoezi la upimaji wa ardhi katika Kata za Buigiri na Chamwino, likiwa n…
#HABARI: Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino imeanza rasmi zoezi la upimaji wa ardhi katika Kata za Buigiri na Chamwino, likiwa na lengo la kurasimisha umiliki wa ardhi, kulinda vyanzo vya…
Tunapoaga 2025, tunaacha nyuma mzigo wa huzuni na kubeba mbele hazina ya hekima
Tunapoaga 2025, tunaacha nyuma mzigo wa huzuni na kubeba mbele hazina ya hekima. Tunapoukaribisha 2026, tunasema karibu mwaka wa mwanga, karibu mwaka wa hatua, karibu mwaka wa ushindi. Mwenyezi Mungu…
#HABARI: Mji wa Auckland umeukaribisha mwaka mpya kwa onesho la fataki lililofanyika juu ya jengo refu zaidi nchini New Zealand,…
#HABARI: Mji wa Auckland umeukaribisha mwaka mpya kwa onesho la fataki lililofanyika juu ya jengo refu zaidi nchini New Zealand, Sky Tower. Onesho hilo limeashiria mwanzo wa mwaka mpya kwa…
#HABARI: Mwaka 2025 umekuwa wa mafanikio makubwa kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), ambapo kaulimbiu ya “Mpango Umewezekan…
#HABARI: Mwaka 2025 umekuwa wa mafanikio makubwa kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), ambapo kaulimbiu ya "Mpango Umewezekana" imetafsiriwa kwa vitendo kupitia kuimarika kwa hali ya upatikanaji wa nishati nchini.…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limemfikisha Mahakamani Mathias Fabiani John (25), mtumihiwa wa mauaji ya Bw
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limemfikisha Mahakamani Mathias Fabiani John (25), mtumihiwa wa mauaji ya Bw. Juma Samli Napone (42), fundi ujenzi na mkazi wa mtaa Indiani Kota…
Mkaja wa bibi (au mkaja wa mama) ni zawadi au shukrani inayotolewa kwa mama/bibi (wakunga/wazee wa kike) wa mchumba kwa kumlea n…
Mkaja wa bibi (au mkaja wa mama) ni zawadi au shukrani inayotolewa kwa mama/bibi (wakunga/wazee wa kike) wa mchumba kwa kumlea na kumlea binti/mwanamke aliyekuwa bibi arusi, na ni tofauti…
Kwa Razan mambo sio mambo, Mama Abdulaziz ameshikilia bango, upande mwingine Bi Fatma anakutana na mama mkwe wake (bibi yake Mar…
Kwa Razan mambo sio mambo, Mama Abdulaziz ameshikilia bango, upande mwingine Bi Fatma anakutana na mama mkwe wake (bibi yake Maryam) mambo nayeye yanabadilika. Usikose kutazama UMMY leo saa 1:00…
Aziza kazi anayo mikononi mwa familia yake ya kikatili
Aziza kazi anayo mikononi mwa familia yake ya kikatili. Analazimika kukutana na watu ambao hafanani nao kitabia. Usikose kutazama 06 of Us kuanzia saa 2:00 usiku ndani ya #AzamTWO
Katika juhudi za kuendelea kukuza zao la kahawa nchini, Bodi ya Kahawa imegawa zaidi ya miche 5,000,000 kwa wakulima wa zao hilo…
Katika juhudi za kuendelea kukuza zao la kahawa nchini, Bodi ya Kahawa imegawa zaidi ya miche 5,000,000 kwa wakulima wa zao hilo mikoa ya Nyanda za juu Kusini wakilenga wakulima…
Kalesi Bey na Sophia kwa nyakati tofauti wanaomba muungano na Lucas dhidi ya Osman
Kalesi Bey na Sophia kwa nyakati tofauti wanaomba muungano na Lucas dhidi ya Osman. Je, mipango yao itaenda hadi wapi? Usikose kutazama uhondo wa OTTOMAN leo saa 4:00 usiku ndani…
Usikose kutazama THE PRICE leo saa 3:00 usiku, wakati Zein akiendelea kula msoto wa hisia dhidi ya Sarah ambaye hana tena habari…
Usikose kutazama THE PRICE leo saa 3:00 usiku, wakati Zein akiendelea kula msoto wa hisia dhidi ya Sarah ambaye hana tena habari naye. Ni kupitia #AzamTWO pekee.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara kupitia kitengo cha usalama barabarani limetoa wito kwa madereva wasio na sifa za kisheria kuende…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara kupitia kitengo cha usalama barabarani limetoa wito kwa madereva wasio na sifa za kisheria kuendesha vyombo vya moto kuchukua hatua za kurejea darasani kwa…
Madereva wanaotumia barabara ya Mandela jijini Dar es Salaam wameendelea kulalamikia foleni kubwa inayosababishwa na utaratibu u…
Madereva wanaotumia barabara ya Mandela jijini Dar es Salaam wameendelea kulalamikia foleni kubwa inayosababishwa na utaratibu usio rafiki wa maegesho ya magari ya mizigo yanayoingia na kutoka katika bandari kavu…
Mamlaka ya Udhibiti wa Mbegu Bora nchini, TOSCI, imeanza zoezi la ukaguzi wa mawakala wa pembejeo za kilimo mkoani Rukwa, ambapo…
Mamlaka ya Udhibiti wa Mbegu Bora nchini, TOSCI, imeanza zoezi la ukaguzi wa mawakala wa pembejeo za kilimo mkoani Rukwa, ambapo imechukua hatua ya kumfungia mmoja wa mawakala hao baada…
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Bashiru Ally, amesema Serikali ina mpango wa kupanua masoko ya nyama katika soko la kimataifa kwa kuuza tani 50,000 kwa mwaka, kutoka tani 14,000…
#HABARI: Waziri Mkuu wa zamani wa Bangladesh Khaleda Zia, ambaye wengi walidhani kuwa angeshinda katika Uchaguzi wa mwaka ujao k…
#HABARI: Waziri Mkuu wa zamani wa Bangladesh Khaleda Zia, ambaye wengi walidhani kuwa angeshinda katika Uchaguzi wa mwaka ujao kuongoza nchi yake kwa mara nyingine tena, amefariki dunia akiwa na…
Karibu kutazama namna Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lilivyotekeleza mipango yake kwa mwaka 2025 kupitia utekelezaji wa mir…
Karibu kutazama namna Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lilivyotekeleza mipango yake kwa mwaka 2025 kupitia utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati na maboresho ya huduma kwa wateja, hatua zilizoimarisha upatikanaji…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI – 31/12/2025
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI - 31/12/2025