Mechi za makundi AFCON zinakamilika leo Jumatano
Mechi za makundi AFCON zinakamilika leo Jumatano Algeria ameshafuzu hatua ya mtoano anakamilisha ratiba kwa kukipiga na Equatorial Guinea. Sudan na Burkina Faso kila mmoja ana alama tatu. Je, ni…
Mechi za makundi AFCON zinakamilika leo Jumatano Algeria ameshafuzu hatua ya mtoano anakamilisha ratiba kwa kukipiga na Equatorial Guinea. Sudan na Burkina Faso kila mmoja ana alama tatu. Je, ni…
Baadhi ya waandaji wa kipindi cha #MorningTrumpet wakitoa salamu za Mwaka mpya 2026. ✍Juliana James Mhariri | @claud_jm #AzamTVUpdates #MorningTrumpet
Unadhani ni kitu gani kilikukwamisha kutimiza malengo uliyojiwekea kwa mwaka 2025 ?
Kadri mwaka 2025 unavyofikia tamati, wananchi wametakiwa kufanya tathmini ya hali zao za kifedha ili kujua kama malengo waliyoweka yametimia na kupanga mipango bora kuelekea mwaka 2026. Akizungumza kuhusu suala…
#HABARI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, ameutaja Mkoa wa Pwani kuwa kinara wa uzalishaji wa ajira Nchini kwa mwaka 2025, baada ya…
Mali na Burkina Faso zinasema zitawazuia raia wa Marekani kuingia katika nchi zao, katika kile wanachoeleza kuwa ni jibu la moja kwa moja kwa uamuzi wa Washington wa kuwazuia raia…
🔴 MASHINDANO YA AFCON 2025: TAIFA STARS YATINGA HATUA YA 16 BORA AFCON
Jeshi la Polisi Tanzania linaendelea kuwekeza kikamilifu katika mafunzo ya ndani na nje ya nchi kwa maafisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali, kwa lengo la kuboresha utendaji kazi na…
Katika kuwakwamua wakulima kufikia kilimo chenye tija wilayani Ludewa mkoani Njombe, Halmashauri ya wilaya hiyo kupitia mapato ya ndani imewezesha kuzalisha miche ya kahawa laki mbili na tatu (200,003) ili…
"Dubai kuna amani na utulivu. Ni moja kati ya sehemu salama duniani na hakuna matukio mengi ya kuonyesha kuna uhalifu mkubwa wameweka utulivu na amani. "Na Mfanyabiashara yoyote mkubwa anakwenda…
#nmbmapinduzicup2026 NMB MAPINDUZI CUP 2026: Michuano ya mapinduzi Cup inaendelea leo kwa michezo miwili Big match saa 2:15 usiku, AzamFC kukipiga na Singida BS. Hii ni mechi ya kwanza kwa…
"Mimi ni Mjasiriamali nilianza kwa kuajiriwa . Nilifika Dubai 2019. Nilikwenda kwa lengo la kutafuta ajira baada ya kuhitimu masomo yangu. "Kabla ya kwenda Dubai nilikwenda South Africa lakini sikufanikiwa…
#HABARI: Bwana Joseph Ludovic ambaye ni mwalimu wa na masomo ya dini mbali na kulaani vurugu za uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, mwaka huu ametoa wito kwa viongozi wa dini kuponya…
#LiveonClouds360 #CloudsTvNyoosha #LainiYawana
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 31,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #azamtvupdates
Maige ametoka jela..Mussa ajiweka wazi kuwa anampenda Radhia. Sijui itakuwaje leo? Usikose leo #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD
🔴#KUMEKUCHA: SALAMU ZA JESHI LA POLISI KUELEKEA MWAKA MPYA....DISEMBA 31, 2025
#KIPIMAJOTO: Kamati za mikoa zenye dhamana ya kushughulikia wananchi na miundombinu maafa kama ya mvua zinazoendelea nchini yanapotokea. Je, zimewezeshwa kifedha na vifaa vya Uokozi ili zitekeleze majukumu yake ipasavyo?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...DISEMBA 31, 2025
Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini, Mkoani Tanga Reuben Kwagilwa anatarajiwa kufunga rasmi mashindano ya "Moja kw amoja Cup" yaliyohusisha timu 12 kutoka kata mbalimbali za jimbo hilo, ambapo mashindano…
Ni sauti zinazoimba nidhamu, zinazoeleza maadili, na kugusa mioyo bila kelele. Wanaitwa The Golden Voice wameitwa na Makachero na wameitika kwa Sauti ya dhahabu. #SentroCloudsTv #Clouds26Nyoosha..!!
Malkia wa Nguvu, Lightness Guga akielezea mipango yake ya kibiashara. #SentroYaCloudstv #LainiYawana
"Tuangalie fursa, tuzibadilishe kuwa ajira"- Malkia wa Nguvu, Lightness Guga. #SentroYaCloudstv #LainiYawana
Neno kutoka kwa Malkia wa Nguvu, Lightness Guga. #SentroYaCloudstv #LainiYawana
"Niliolewa katika umri mdogo na kuolewa kwangu sio kwamba nilipanga. Niliolewa nikiwa na miaka 19. Na kama ingekuwa ni sasa hivi nimepata kibali cha ndoa ningesema hapana!- Malkia wa Nguvu,…
Timu ya Taifa ya Tanzania imefuzu kutinga hatua ya 16 Bora ya michuano ya AFCON 2025 baada ya kutoka na sare ya bao 1 - 1 dhidi ya Tunisia usiku…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewaagiza Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya…
Wananchi wa kijiji cha Milala, wilayani Mpanda, mkoani Katavi wamewaweka 'kitimoto' viongozi wa eneo hilo wakitaka majibu kuhusu eneo lililotengwa kwa ajili ya makaburi kugeuzwa shamba. Mwanaidi Waziri amefuatilia sakata…
"Mama yangu ni mmoja kati ya watu ambao wamenipa chachu ya kujifunza kwamba lazima usimame mwenyewe. Na kwenye maisha huwezi kutegemea mtu lazima kujifunza usimame mwenyewe akitokea wa kukusaidia sawa!…
Serikali imesema kuwa kuanzia sasa, wawekezaji watahusika moja kwa moja katika kulipa fidia kwa wananchi wanaopisha maeneo ya uwekezaji kabla ya kuanza shughuli zao za uzalishaji, ikiwa ni moja ya…
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema umejipanga kuanza utekelezaji wa mpango wa 'Bima ya Afya kwa Wote' unaotarajiwa kuanza Januari Mosi, 2026 huku Mkurugenzi Mkuu (NHIF), Dkt.…
Achana na ya Shakei 😅🙌 wasikilize watoto wa Mzee Maega
Tujuze! #SentroYaCloudstv #CloudsTvNyoosha #LainiYawana
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 3012/2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA DISEMBA 30, 2025 - WANNE WANAODAIWA KUWA MAJAMBAZI WAFARIKI SONGWE
#HABARI: Waombaji 14,433 wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundistadi VETA kwa mwaka wa masomo 2026 kati ya 18,875 waliowasilisha maombi wakiwemo 134 ambao ni wahitimu wa elimu ya juu wenye…
#HABARI: Watu wanne wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamefariki dunia wakati wakipatiwa matibabu baada ya kujeruhiwa katika majibizano ya risasi na Jeshi la Polisi mkoani Songwe. Tukio hilo lilitokea katika eneo…
#HABARI: Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu, leo Disemba 30, 2025, imekutana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA PWANI- DISEMBA 30, 2025
Sauti zao zimebeba heshima thamani na hadhi ya dhahabu. Ni sauti zinazoimba nidhamu, zinazoeleza maadili, na kugusa mioyo bila kelele. Wanaitwa The Golden Voice wameitwa na Makachero na wameitika kwa…
#Happybirthday | Godbright Mlay (Public Relation Officer Tanzania Commercial Bank) tunakutakia maisha marefu yenye baraka na mafanikio zaidi. #Clouds26Nyoosha
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anamringi Macha ameuagiza uongozi wa Halmashauri Wilayani Busega kuchukua hatua madhubuti ikiwemo kuwatafutia eneo mbadala Wananchi wanaofanya shughuli zao za biashara katika Soko la Kisesa…
Sandra yuko mafichoni kumbe anawasiliana na Bisura 😱
#HABARI: Abiria wanaosafiri kati ya Dar es Salaam na Dodoma kupitia Reli ya Kisasa (SGR), wamepongeza Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa kuchukua hatua za haraka kushughulikia changamoto za usafiri…
Wananchi wa Kijiji cha mgagao na vijiji jirani wanaozunguka Kijiji hicho klilicho wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro wameondokana na adha ya kutembea umbaki mrefu kutafuta maji safi na salama,baada ya…
Heri ya kumbukizi ya siku yako ya kuzaliwa, Naibu Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Bukombe, Mheshimiwa Dkt. Doto Mashaka Biteko (@biteko). #Cloudsmediagroup tunakutakia maisha marefu yenye mafanikio na baraka…
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga, ameonesha kutoridhishwa na maendeleo duni ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara 13 na madaraja katika maeneo mbalimbali ya mji huo, unaotekelezwa…
Wakazi wa Kijiji cha Lowe, kilichopo Wilayani Sumbawanga, wameiomba Serikali kuwajengea daraja la kudumu litakalounganisha kijiji hicho na maeneo ya jirani, wakisema changamoto hiyo ni ya muda mrefu na imekuwa…
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabiri Makame, ametoa siku 14 kwa uongozi wa Hospitali ya Wilaya ya Mbozi kuhakikisha jengo la mama na mtoto linaanza kutumika mara moja. Jengo hilo…
Kwenye #sheriaupdates leo tunazungumzia ubatili wa mnada ikiwa nyumba yako imeuzwa na benki kwa kushindwa kulipa mkopo. Mhariri | @claud_jm #AzamTVUpdates #UTV108