Putin aionya Marekani kuipatia Ukraine makombora ya Tomahawk
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema ikiwa Marekani itaipatia Ukraine makombora ya Tomahawk ili kufanya mashambulizi ya masafa marefu ndani ya nchi yake, hilo litapelekea kuvunjika kwa uhusiano kati ya…