🔴KUMEKUCHA: 05, OKTOBA 2025 – MATUMIZI YA MIFUMO KIDIGITALI
🔴KUMEKUCHA: 05, OKTOBA 2025 - MATUMIZI YA MIFUMO KIDIGITALI
🔴KUMEKUCHA: 05, OKTOBA 2025 - MATUMIZI YA MIFUMO KIDIGITALI
🔴MAPIGANO YAUA WATANO TUNDURU/ KAMATI YASHUSHA RUNGU LIGI KUU BARA: ...OKTOBA 05, 2025
#SWALILAKIPIMAJOTO:"Malalamiko ya kuadimika kwa Mbolea za kupandia mazao mkoani Njombe. Je, Yatatuliwe kwa haraka kuepusha hasara katika kilimo chao?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 05, 2025
Wapatanishi wa Israel na Hamas wazungumza huko Cairo kujaribu kuumaliza mzozo wa Gaza. Watu watano wauawa Ukraine kufuatia mashambulizi ya Urusi. Iran yaeleza kuwa ushirikiano wake na IAEA hauna tena…
Kanisa Katoliki latoa wito wa kufanikisha mpango wa amani huko Gaza. Putin aionya Marekani kuhusu mpango wa kuipatia Ukraine makombora ya Tomahawk. Jukwaa la Wahariri Tanzania lalaani kitendo cha Jeshi…
AL Merrikh ya Sudan imetupwa nje katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kulazimishwa suluhu nyumbani na FC Lupopo ya DR Congo.
Wazazi na walezi wa wanafunzi wa kidato cha nne wanaotarajia kuhitimu wametakiwa kutimiza wajibu wao katika malezi, ili vijana hao watumie muda kwa manufaa na kuepuka kujiingiza kwenye vitendo visivyo…
Taarifa kwa Umma kutoka JWTZ.
Katika kukuza elimu nchini hususani kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya TEHAMA, shule ya sekondari ya Mlimani Matemwe ya visiwani Zanzibar imesaidiwa usimikwaji wa mfumo wa TEHAMA katika moja ya…
Wagombea ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa jimbo la Kibamba na mgombea wa ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita wa jimbo la Lindi Mjini wamendelea na kampeni zao huku wakiwaomba wapiga…
Chama cha ADC kimeahidi kuanzisha mfuko maalum wa kuwafidia wakulima wanaopata hasara wakati wa uzalishaji wa mazao mbalimbali visiwani Zanzibar ili kuendelea na shughuli hizo na kujikimu kimaisha wakati wa…
Chama cha MAKINI kupitia kwa mgombea wake Coaster Kibonde kimesema maboresho ya sekta ya usafiri nchini itakuwa kipaumbele endapo chama hicho kitashinda Uchaguzi Mkuu ikiwemo kununua ndege 70 ambazo zitasafirisha…
#HABARI: Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linautaarifu umma wa Watanzania kuwa kumejitokeza baadhi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kuweka maudhui yanayochochea kuliingiza Jeshi katika mambo ya…
#HABARI: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Mgombea Mwenza nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, kimeendelea na kampeni zake mkoani Tabora, kunadi sera…
Serikali imeombwa kutoa muongozo mpya kwa wamiliki wa maduka ya vipodozi ikiwemo kutungwa kwa sheria itakayowabana wauzaji ili kuhakikisha wanakuwa na sifa zinazoendana na shughuli za uuzaji wa dawa muhimu…
Khamis Faki Mgau anayegombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha NRA amewaahidi mishahara minono walimu wa shule za kawaida na madrasa. Mgau ametoa ahadi hiyo kisiwani Pemba wakati akizungumza na…
Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ilani ya chama hicho imetoa uzito wa kipekee katika ustawi wa jamii na chama hicho kimedhamiria kuimarisha nguzo kuu…
Katika kampeni zake za leo, mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuchochea ukuaji wa shughuli za uchumi za kisiwa cha Tumbatu kwa kujenga…
#HABARI: Katika hali isiyo ya kawaida watu wawili waliofahamika kwa majina ya Neema Moshi na Neema Joseph, wakazi wa Mtaa wa Lwenge, Manispaa ya Geita, wamelazimika kukubaliana kuivunja nyumba yao…
Mgombea Urais wa chama cha CHAUMMA, Salum Mwalim ameahidi kuweka mazingira huru ya kujadili maboresho ya mfumo wa elimu nchini endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi. Ameongeza kuwa lengo ni…
#HABARI: Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) imesema kuwa zaidi ya wanafunzi 450,000 kila mwaka wanafeli katika mifumo rasmi ya elimu nchini, huku mkoa wa Pwani ukitajwa kushika nafasi…
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Ndg. Majalio Kyara, amesema atarejesha heshima ya walimu kwa kuhakikisha maslahi yao yanazingatiwa na…
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI OKTOBA 04, 2025 - IDARA YA UHAMIAJI WATAKIWA KUDHIBITI WALOWEZI.
Chama Cha Mapinduzi kupitia mgombea wake wa urais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Ilani ya chama chake kwa mwaka 2025/30 imeweka mkazo katika kuimarisha mawasiliano vijijini na kukuza matumizi ya…
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kutatua changamoto ya magugu maji kwenye Ziwa Babati na maziwa mengine nchini yaliyoathiriwa na mimea hiyo, ambayo imeathiri uvuvi…
Zaidi ya nyota 150 wa mchezo wa gofu kutoka mataifa matano ya Afrika, wameendelea kuchuana vikali kwenye mashindano ya wazi ya Tanzania Open 2025 yanayofanyika katika viwanja vya Kili Golf,…
Hisia za kimataifa zimekuwa zikiongezeka kufuatia mwitikio chanya wa kundi la Hamas jana kwa mpango wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kuwakomboa mateka wa Israel huko Gaza na kumaliza…
Takriban watu 30 wamejeruhiwa katika shambulizi la droni kwenye kituo cha reli mkoani Sumy kaskazini-mashariki mwa Ukraine. Haya yamesemwa leo na maafisa wa nchi hiyo.
Rais mpya wa Malawi, Peter Mutharika, amechukuwa rasmi madaraka leo Jumamosi na kutoa ahadi ya kukomesha ufisadi uliokithiri pamoja na kufufua uchumi wa taifa hilo la kusini mwa Afrika.
Maelfu ya safari za kuwarejesha makwao wahamiaji waliokosa hifadhi Ujerumani zinafutiliwa mbali kutokana na kutoweka ghafla kwa waomba hifadhi hao na pia uwasilishaji wa ghafla wa vyeti vya matibabu.
Mahakama moja nchini Tunisia imemhukumu kifo mwanamume wa umri wa miaka 51 kuhusiana na chapisho katika mtandao wa Facebook lililoonekana kumkera Rais wa nchi hiyo Kais Saied.
Mgombea Ubunge Jimbo la Lindi Mjini kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita amesema endapo atapata ridhaa ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo ataboresha mfumo wa soko…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUVUMA: OKTOBA 04, 2025 - UZALISHAJI MAZAO YA MKAKATI WAONGEZEKA
#HABARI: Kikao cha 54 cha Bodi ya Parole, kilichokutana mjini Morogoro kimependekeza kuachiwa kwa wafungwa 163 wakiwemo wanawake 11, kati ya 206 waliojadiliwa ili wakamalizie kutumikia kifungo chao kwenye jamii…
UONGOZI wa Fountain Gate umesema hautafanya uamuzi wa haraka kutafuta kocha mkuu, badala yake Mohamed Ismail ‘Laizer’ ambaye ni msaidizi atapewa majukumu ya kukiongoza kikosi hicho katika kipindi cha mpito.
Wilaya ya Singida imeandaa mkutano mkuu wa wadau wa kilimo wakiwemo wakulima ili kuhakikisha wilaya hiyo inaendelea kuzalisha zaidi mazao mbalimbali ya biashara ili kukuza uchumi wa wilaya kupitia sekta…
#HABARI: Mbunge mstaafu wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Pareso amewataka Wakazi wa mkoa wa Manyara kuogopa matapeli wa kisiasa wanaopotosha juu ya uwepo wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba…
#HABARI: Benki ya NMB Kanda ya Kusini, imefanikiwa kutoa elimu ya fedha kwa wakulima elfu tano, lengo likiwa kuwapa mikopo yenye riba nafuu ili waweze kununua mashine za kubangua korosho…
KOCHA Mkuu wa Maafande wa JKT Tanzania, Ahmad Ally amesema mojawapo wa mikakati mikubwa anayoifanyia kazi kipindi hiki cha kupisha kalenda ya Fifa ni kuhakikisha Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo…
MAMIA ya mashabiki wa Singida Black Stars wamejitokeza leo Oktoba 4, 2025 katika mapokezi ya kikosi hicho ambacho kimerejea mkoani humo baada ya kutwaa ubingwa wa michuano ya Kagame.
MENEJA Mkuu wa Simba raia wa Bulgaria, Dimitar Pantev, amewasili kwa ajili ya kukiongoza kikosi hicho huku akiahidi kutengeneza timu ya ushindani, itakayocheza soka safi na la kuvutia.
Mkutano wa 12 wa Afya Tanzania (Tanzania Health Summit) uliowakutanisha wadau mbalimbali wa Sekta ya Afya umehitimishwa Septemba 2, 2025 Jijini Dar es salaam huku ikisisitizwa juu ya umuhimu wa…
#HABARI: Mbunge Mteule wa Viti Maalum watu wenye Ulemavu Ummy Nderiananga amemtaja Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi kama kipenzi…
#HABARI: Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Usongwe, katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, mkoani Mbeya, wameiomba Serikali kuboresha miundombinu ya shule hususani kujengewa mabweni katika shule hiyo ili kupunguza msongamano,…
Israel imesema kuwa wanajeshi wake bado wanaendesha operesheni katika Ukanda wa Gaza na imewaonya wakaazi wasirudi, licha ya miito kutoka kwa familia za mateka na Donald Trump ya kusitisha mapigano…