Juana hajui hili wala lile, Gaby amejua ni nani aliyeshika ujauzito na anakutana na sura anayoifahamu vizuri tena sio kuifahamu …
Juana hajui hili wala lile, Gaby amejua ni nani aliyeshika ujauzito na anakutana na sura anayoifahamu vizuri tena sio kuifahamu tu; ni sura ya mwanamke anayejaribu kujidanganya kuwa hampendi... Camila…
Hili ni Soko Janja la Makachero wa Sentro nyanya hapa tunauza kwa ya shamba, bidhaa za nyumbani kwa bei rafiki
Hili ni Soko Janja la Makachero wa Sentro nyanya hapa tunauza kwa ya shamba, bidhaa za nyumbani kwa bei rafiki. Tumefanya maisha ya mjini kuwa rahisi kama kijijini, rahisi na…
Ndayiragije awapa nyota TRA United siku kumi
BAADA ya kuikanda Singida Black Stars kwa mabao 3-1 wachezaji wa TRA United wamepewa siku 10 za kupumzika kabla ya kurudi kujiandaa na mechi zijazo za Ligi Kuu Bara, Kombe…
Ibenge achekelea rekodi mpya kwa Simba
SIMBA bado wanalaumiana kufuatia kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Azam FC, huku wenzao wanacheka tu na kumfanya kocha Florent Ibenge achekelee kubadilisha mzimu wa matokeo mabaya dhidi ya Wekundu…
Binti Tekfur tunamtafuta kumbe yupo huku
Binti Tekfur tunamtafuta kumbe yupo huku... #OttomanAzamTWO
Baada ya mwandishi kujua ukweli
Baada ya mwandishi kujua ukweli. Mama Maryama ameliingia suala katikati sijui amemmwambia nini tazama sura yake imesawijika. Usikose kutazama UMMY leo saa 1:00 usiku ndani ya #AzamTWO
Habari njema ikufikie kuwa kuanzia JANUARI 2026, kutakuwa na mabadiliko ya ratiba za filamu, tamthilia na vipindi, ili kukata ki…
Habari njema ikufikie kuwa kuanzia JANUARI 2026, kutakuwa na mabadiliko ya ratiba za filamu, tamthilia na vipindi, ili kukata kiu na kuongeza ladha ya burudani kwa mtazamaji wa chaneli namba…
Benki ya Dunia imezitahadharisha nchi maskini kuwa bado ziko hatarini huku gharama za madeni zikifikia rekodi ya juu zaidi
Benki ya Dunia imezitahadharisha nchi maskini kuwa bado ziko hatarini huku gharama za madeni zikifikia rekodi ya juu zaidi. Benki hiyo imesema, pengo kati ya gharama za nchi maskini kulipa…
Kwa Nawanda mambo bado magumu 🥹 #NomaSeries
Kwa Nawanda mambo bado magumu 🥹 #NomaSeries
Kila kitu pia kinapatikana kupitia @azamtvmaxapp kama ambavyo @abuuyusuftz anakusanua mchongo mzima wa #AzamTVMaxApp msimu huu w…
Kila kitu pia kinapatikana kupitia @azamtvmaxapp kama ambavyo @abuuyusuftz anakusanua mchongo mzima wa #AzamTVMaxApp msimu huu wa sikukuu... Usikose kutazama #PichaYanguSeries kila Jumatatu - Alhamisi saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD pekee.
“Tamthilia ambayo itanisumbua kidoooogo, labda Kombolela…labda…” – @stickmotela mwandaaji wa tamthilia ya Picha Yangu akitam…
"Tamthilia ambayo itanisumbua kidoooogo, labda Kombolela...labda..." - @stickmotela mwandaaji wa tamthilia ya Picha Yangu akitamba na kuwa na kazi nzuri zaidi kwenye safu ya burudani za Sinema Zetu msimu huu…
“Nikaangukia kwa dishi hili…” – @diva_queen_of_eyes 😅🙌
"Nikaangukia kwa dishi hili..." - @diva_queen_of_eyes 😅🙌 Usikose kutazama #PichaYanguSeries kila Jumatatu - Alhamisi saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD pekee.
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI – 10/12/2025
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI - 10/12/2025
KARIBU TAMTHILIA YA PICHA YANGU | Mmoja kati ya waigizaji watakaokuvunja mbavu zako kwenye Picha Yangu; ni pamoja na @amani_kigo…
KARIBU TAMTHILIA YA PICHA YANGU | Mmoja kati ya waigizaji watakaokuvunja mbavu zako kwenye Picha Yangu; ni pamoja na @amani_kigoye ambaye humo amecheza kama Shakei, mfanyakazi mwenzake Sheiza ambao wote…
YANGA WANAMMEZEA MATE TOP SCORER WA MSUMBIJI
YANGA WANAMMEZEA MATE TOP SCORER WA MSUMBIJI Yanga Wanatafuta uwezekano wa Kumsajiri top Scorer Wa Ligi ya Msimbazi Luis José Miquisone . Baada ya Kuonesha Kiwango bora Taangu Arejee Masumbiji…
“Stick mjanja mjanja sana” – Maneno ya @kobisi_kikala_ akimzungumzia mwandaaji wa tamthilia ya #PichaYangu, @stickmotela namna a…
"Stick mjanja mjanja sana" - Maneno ya @kobisi_kikala_ akimzungumzia mwandaaji wa tamthilia ya #PichaYangu, @stickmotela namna alivyochagua mandhari ya Lushoto kuwa sehemu ya kazi yake. Usikose kutazama #PichaYanguSeries kila Jumatatu…
KARIBU TAMTHILIA YA PICHA YANGU | Kutoka tamthilia ya #Taswira, @trisser_joseph aliyecheza kama Jane ana haya ya kusema ikiwa pa…
KARIBU TAMTHILIA YA PICHA YANGU | Kutoka tamthilia ya #Taswira, @trisser_joseph aliyecheza kama Jane ana haya ya kusema ikiwa pamoja na jinsi #SinemaZetuHD imembadilishia upepo mtaani. Usikose kutazama #PichaYanguSeries kila…
KARIBU TAMTHILIA YA PICHA YANGU | Mwandaaji wa tamthilia pendwa ya #Noma, @adamoo14 alikuwa na maneno haya ya ukaribisho kwa tim…
KARIBU TAMTHILIA YA PICHA YANGU | Mwandaaji wa tamthilia pendwa ya #Noma, @adamoo14 alikuwa na maneno haya ya ukaribisho kwa timu nzima ya @stickmotela Usikose kutazama #PichaYanguSeries kila Jumatatu -…
Wakati tukiiaga #TaswiraSeries, @sele_michano alishindwa kujizuia na kulia 🥹 Ila amehakikishiwa kuwa hapa ndio nyumba ya vipaji …
Wakati tukiiaga #TaswiraSeries, @sele_michano alishindwa kujizuia na kulia 🥹 Ila amehakikishiwa kuwa hapa ndio nyumba ya vipaji halisi na ni nyumbani kwao kabisa, siku zote ataendelea kuonekana kwenye chaneli pendwa…
KARIBU TAMTHILIA YA PICHA YANGU | Kuhusu uhusika wa Mussa/Shaiza huyu huyu hapa @cox_toto akieleza namna alivyouvaa uhusika huo …
KARIBU TAMTHILIA YA PICHA YANGU | Kuhusu uhusika wa Mussa/Shaiza huyu huyu hapa @cox_toto akieleza namna alivyouvaa uhusika huo na kisa cha yeye kuingia kwenye mgogoro wa kimapenzi na kazi.…
“Mzee Chillo aliwahi kunipiga kibao wakati tukiwa seti, ilikuwa ni mtoto kumkanya mwanaye, leo hii niko hapa” – alexander_malick
"Mzee Chillo aliwahi kunipiga kibao wakati tukiwa seti, ilikuwa ni mtoto kumkanya mwanaye, leo hii niko hapa" - alexander_malick Usikose kutazama #PichaYanguSeries kila Jumatatu - Alhamisi saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD…
Sehemu ya vipindi vitakavyoruka wiki hii kwenye chaneli za Cartoon kupitia kisimbuzi cha AzamTV
Sehemu ya vipindi vitakavyoruka wiki hii kwenye chaneli za Cartoon kupitia kisimbuzi cha AzamTV. Katika msimu huu wa likizo, lipia kifurushi cha shilingi 35,000 ili watoto waweze kufurahia vipindi hivi…
Sehemu ya tamthilia zitakazoruka wiki hii kupitia kisimbuzi chako cha AzamTV
Sehemu ya tamthilia zitakazoruka wiki hii kupitia kisimbuzi chako cha AzamTV. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama tamthilia hizi. #Starplus #AzamONE #Colors #Ninanovela #R#romanzaafrica
“Kwenye #PichaYangu, Radhia ni jasusi, pia kuna mapigano, hiyo inamaanisha nimepigana humo ndani…” – @nana_dollz sasa kama una…
"Kwenye #PichaYangu, Radhia ni jasusi, pia kuna mapigano, hiyo inamaanisha nimepigana humo ndani..." - @nana_dollz sasa kama unambishia, kaa subiri uhondo wote wa #PichaYanguSeries kila Jumatatu - Alhamisi saa 1:30…
*Prof. Anna Tibaijuka*
*Prof. Anna Tibaijuka* Hii “teoria ya vita vya kiuchumi” si chochote zaidi ya blanketi la propaganda lililotupwa kufunika janga la kisiasa la ndani. Ni kisingizio tu—hakuna zaidi. Tuwe wa wazi:…
Maxime aanza na watano Mbeya City, wamo Awesu, Chasambi kutoka Simba
Baada ya kutua kikosini, Kocha Mkuu wa Mbeya City, Mecky Maxime ameanza kazi ya kusuka upya timu hiyo akihitaji huduma ya wachezaji watano wakiwamo mastaa wawili kutoka Simba ili kurejesha…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ametoa pongezi kwa Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama waliohakikisha k…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ametoa pongezi kwa Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama waliohakikisha kuwepo kwa hali ya amani na utulivu huku kukitajwa kuwepo…
Leo Ikiwa Ni Kumbukizi Ya Siku Ya Kuzaliwa Ya Mrembo Hamisamobetto Mume Wake Azizki Amemuandikia Ujumbe Huu Mzuri Sana👇 👇👇👇
Leo Ikiwa Ni Kumbukizi Ya Siku Ya Kuzaliwa Ya Mrembo Hamisamobetto Mume Wake Azizki Amemuandikia Ujumbe Huu Mzuri Sana👇 👇👇👇 "Mpenzi wangu Hamisamobetto, Katika siku hii maalum, nataka nikukumbushe umuhimu…
Mangalo alivyorejea akiibeba Pamba
BAADA ya kukosekana uwanjani kwa msimu mmoja, beki wa kati wa Pamba Jiji, Abdulmajid Mangalo ameonekana kurejea kwa kasi mpya uwanjani akiisaidia timu hiyo kuvuna pointi 12, huku akitoa mwelekeo…
‼️‼️🔊🔊‼️‼️ Tundu A
‼️‼️🔊🔊‼️‼️ Tundu A. M. Lissu alifikishwa mahakamani mara ya mwisho tarehe 12 Novemba, 2025. Tangu siku hiyo, mahakama imeshindwa kutoa ratiba mpya ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi yake. Kuanzia tarehe…
Maxime anatua na wawili Mbeya City
MBEYA City imeshamtambulisha Mecky Maxime kuwa kocha mkuu ili kuanza kazi ya kuirudishia makali timu hiyo, lakini ametua na wawili.
Mgunda: Sawa tumejipata, lakini kazi ipo
KOCHA Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda amesema pamoja na nyota wake kumpa matumaini ya kufanya vizuri katika Ligi Kuu Bara msimu huu, lakini amedai kukutana ugumu akiahidi kutumia mapumziko ya…
Kuelekea dirisha dogo la usajili Januari 2026, Simba SC tayari imefanya mawasiliano ya awali kumrejesha kikosini Luis Miquissone
Kuelekea dirisha dogo la usajili Januari 2026, Simba SC tayari imefanya mawasiliano ya awali kumrejesha kikosini Luis Miquissone. Kuna uwezekano mkubwa Joshua Mutale akatolewa kwa mkopo endapo atakuwa…
Taarifa kutoka Jeshi la Polisi Tanzania
Taarifa kutoka Jeshi la Polisi Tanzania #CloudsDigitalupdates
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ametoa pongezi kwa Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama kwa ku…
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ametoa pongezi kwa Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama kwa kuhakikisha hali ya amani na utulivu nchini, hasa baada…
🔴KUMEKUCHA: MIFUMO YA MALIPO…DESEMBA 10, 2025
🔴KUMEKUCHA: MIFUMO YA MALIPO...DESEMBA 10, 2025
🔴#MAGAZETI: SIKU YA UHURU SHUGHULI ZASIMAMA-DESEMBA 10- 2025
🔴#MAGAZETI: SIKU YA UHURU SHUGHULI ZASIMAMA-DESEMBA 10- 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…DESEMBA 10, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...DESEMBA 10, 2025
#SWALILAKIPIMAJOTO: Siku ya Uhuru wa Tanganyika
#SWALILAKIPIMAJOTO: Siku ya Uhuru wa Tanganyika. Je, itumike kuelimisha umuhimu wa tunu za taifa na uzalendo?