#PichaYanguSeries | Huyu ndio dishi mwenyewe ambaye @divah_queen_of_eyes alikuwa akimsema
#PichaYanguSeries | Huyu ndio dishi mwenyewe ambaye @divah_queen_of_eyes alikuwa akimsema. Anaitwa Shakei @amani_kigoye 😆 #PichaYangu @cox_toto
#PichaYanguSeries | Huyu ndio dishi mwenyewe ambaye @divah_queen_of_eyes alikuwa akimsema. Anaitwa Shakei @amani_kigoye 😆 #PichaYangu @cox_toto
MASTERCHEF ITAANZA JANUARI PILI, 2026 Majaji wakuu wa shindano la upishi Australia wana kazi ya kuwapima, kuwachuja na wapishi bora wa nyumbani wenye shauku ya kuwa washindi kupitia shindano la…
#HABARI: Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limefanya operesheni maalumu usiku na mchana katika mikoa ya Singida na Tabora ya ukaguzi wa vyombo vya moto na kubaini baadhi ya…
"Ambaye hataki kuwa na nidhamu binafsi, tumlazimishe sisi Serikali kuogopa kugusa mali ya Umma..." Dkt.Mwigulu Nchemba - Waziri Mkuu wa Tanzania. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: -…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....11 DESEMBA 2025 (Feed generated with FetchRSS)
Alaeddin amekamatwa, nyumbani wanadhani atakuwa ameuawa 🥹
Kipi kifanyike kuboresha umakini juu Elimu kuogelea na Uokoaji kwenye bahari.....? Meza Huru (Feed generated with FetchRSS)
Chaichaka ni mtoto fulani hivi mwenye drama nyingi...ameenda kuwanywea hasa Bisura ili ampe vijembe vyake. Kumbuka Bisura ni kama amemkuza Chaichaka pasina kujua ni mama yake mzazi, alikuwa akimtembelea na…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu ametangaza kifo cha Mbunge wa Peramiho, Jenista Joakim Mhagama, kilichotokea leo Alhamisi Desemba 11, 2025, jijini Dodoma. “Kwa…
Aliyekuwa Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Mbunge wa Peramiho Mhe. Jenista Joakim Mhagama amefariki Dunia leo leo tarehe 11 Desemba, 2025 Jijini Dodoma. Taarifa…
Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama amefariki dunia leo Desemba 11, 2025 jijini Dodoma. “Kwa masikitiko makubwa, natangaza kifo cha Mbunge wa Perahimo, Jenista Mhagama kilichotokea leo 11 Desemba,…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu (Mb) anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Peramiho Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama, kilichotokea leo tarehe 11 Desemba,…
Mijadala inayoshika kasi Mitandaoni “Yuko wapi Rais wa Tanzania” 📸: Getty
Wasafiri kutoka nchi 40 ambazo raia wake wanaweza kusafiri kwenda Marekani bila visa hivi karibuni wanaweza kuhitajika kutoa taarifa za akaunti za mitandao yao ya kijamii kwa miaka mitano iliyopita.…
"Nina amini kwamba malezi ndio sehemu pekee inayotoa Binti mwema au Binti mbaya. Na pia Teknolojia na wazazi wengi tumetaka watoto wetu walelewe kwenye vishkwambi tofauti na zamani ambapo mzazi…
"Huwa nasema jambo la kipuuzi hata kama watu mia Moja watalishangilia litaendelea kuwa la kipuuzi. Nafikiri vijana wengi hawapendi kufanya kazi tunataka maisha rahisi lakini kiuhalisia Hawa ambao tunawaita ma-sponsors,…
Usipange kukosa uhondo wa Mines of Passion leo saa 3;00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV
AzamTV imekuongezea chaneli tatu mpya katika Kisimbuzi, Liverpool TV chaneli namba 125, TVE International Africa chaneli namba 250 na Furaha TV chaneli namba 419. Liverpool TV inapatikana katika vifurushi vya…
Tunapoelekea katika sikukuu ya CHRISTMAS hakikisha una chupa ya sunland sunflower oil ☺ili mambo yaende muruaa 👌👌 🕹Tupo Tanzania nzima 📞 0738867122 . " (Feed generated with FetchRSS)
MWANAHARAKATI WA TANZANIA MANGE KIMAMBI AITAKA JAMII YA KIMATAIFA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA SERIKALI Mwanaharakati wa Tanzania Mange Kimambi ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua madhubuti dhidi ya…
"Nafikiri vijana wengi hawapendi kufanya kazi tunataka maisha rahisi lakini kiuhalisia hawa ambao tunawaita ma-sponsors, mashangazi wenyewe wanataka starehe sio kwamba anakuhitaji kwa ajili ya kutengeneza future na wewe. Anataka…
MASTER CHEF ITAANZA JANUARI PILI, 2026 Majaji wakuu wa shindano la upishi Australia wana kazi ya kuwapima, kuwachuja na wapishi bora wa nyumbani wenye shauku ya kuwa washindi kupitia shindano…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 11,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
Eeem tukutane saa 1:00 usiku leo pale #AzamONE maana JUANA inazidi kupata moto. 😊
Usikose muendelezo wa 06 OF US leo saa 2:00 usiku ndani ya #AzamTWO, shida bado zimewatawala familia ya Rifat wakihangaika huku na kule 🥹
#AzamONE Unlocked 🔓 – KUFULI LIMEFUNGULIWA Karibu kwenye ulimwengu mpya wa filamu, tamthilia na vipindi halisi vya burudani muda wote ukiwa kokote ulimwenguni. AzamONE inazidi kukua na kuwa imara zaidi.…
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewapongeza wananchi kwa kukubali wito wa kulinda amani na utulivu na kuidhihirishia dunia kuwa Tanzania ni nchi ya amani.
Dereva wa Bisura kajinyonga au kamalizwa na watesi wake? Baba Mussa anamtaka mwanaye hataki jambo jingine zaidi. Usikose kutazama #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD chaneli namba 106…
STAN BAKORA UKIRUDI UJE UMALIZIE MKATABA WAKO WA BODABODA..?😀😏 @stanbakora_ NB:-Kama huja follow akaunti yetu follow ili uweze kupata habari nyingi zaidi pia usisahau ku bonyeza kikengere ili kupata notification…
ANAULIZA MWANDAMBO... NB:-Kama huja follow akaunti yetu follow ili uweze kupata habari nyingi zaidi pia usisahau ku bonyeza kikengere ili kupata notification pindi habari zinapopostiwa ::: #standupcomedy #tanzaniatalent #talent #wcb4life…
WEMA SEPETU AZIDI KUWACHAMBA GEN Z HUKO SNAPCHAT.. NB:-Kama huja follow akaunti yetu follow ili uweze kupata habari nyingi zaidi pia usisahau ku bonyeza kikengere ili kupata notification pindi habari…
"Hatua tunazozichukua zinaonwa na wale ambao tunakanyaga mikia yao"
BAADHI YA WASANII WATAJWA KUIKIMBIA BONGO... NB:-Kama huja follow akaunti yetu follow ili uweze kupata habari nyingi zaidi pia usisahau ku bonyeza kikengere ili kupata notification pindi habari zinapopostiwa :::…
Zein ni kijana wa hovyo...(ijapokuwa hatujui itakuwa hivyo siku zote au la), Karam amekuja naye anaonesha tabasamu la upendo lakini hatujui kama ndio ngozi yake halisi. Tumeianza safari ya THE…
"Kwahiyo mahitaji ndio yanachochea bidhaa fulani kutafutwa kwa kiwango kikubwa sana"- Erald Mporoto, Mchambuzi wa masualaya kijamii, siasa za kimataifa na balozi wa kiswahili nchini Tanzania. #SentroYaCloudstv #LainiYaWana
"Uchumi unapokua walio wengi wanatakiwa washikiliwe sana"- Erald Mporoto, Mchambuzi wa masualaya kijamii, siasa za kimataifa na balozi wa kiswahili nchini Tanzania. #SentroYaCloudstv #LainiYaWana
"Baadhi ya Mataifa mteja anatajiwa bei, analipia bidhaa anaondoka lakini kwa Tanzania ili mnunuaji akuamini wewe muuzaji unatakiwa upunguze hata shilingi 500"- Erald Mporoto, Mchambuzi wa masualaya kijamii, siasa za…
Shaiza/Mussa ameanza kazi rasmi lakini alipewa onyo kuhusu Radhia, mtoto mkubwa wa Mzee Maega kuwa ni jasusi pia hivyo awe makini, kijana wa watu amezimika na Radhia hataki maelekezo hapo…
Jemo yuko sahihi si ndio au mnaonaje?
Huyu mwandishi kumbe ana lake 👀
Mwanzilishi wa Tanzania Fashion & Style Awards, itakayofanyika 20 DEC 2025, ambaye pia ni model @daxxcruzofficial, ameweka wazi kupitia kipindi cha Clouds E kuwa kwenye tasnia ya uwanamitindo Tanzania hakuna…
KOMBOLELA TAMTHILIA BORA UBUNIFU WA MAVAZI Hongera kwa timu nzima ya @nabra_creative_company kwa ushindi wa tuzo ya tamthilia bora ubunifu wa mavazi kutoka jukwaa kubwa la @swahilifashionweek Mwasisi wa Nabra…
M-tag mshkaji wako anayekusapoti kwenye harakati zako! #SentroYaCloudsTv #Clouds26Nyoosha #LainiYawana
Jasusi mwingine ni Kachio, rafiki wa damu wa Chaichaka, licha ya urafiki wao...Kachio ana kazi maalum anazotumwa na jeshi kuhusu mali au hazina inayomilikiwa na Mzee Maega. Kupitia Chaichaka, kazi…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU - 10/12/2025
HOLIDAY MOVIES 🍿 #AzamONE Furahia safu ya burudani za filamu mbalimbali kwenye msimu huu wa sikukuu kupitia chaneli yako ya AzamONE namba 101 kwenye kisimbuzi cha #AzamTV Lipia mapema kifurushi…
Kizazi cha sasa mapenzi bila pesa yanawezekana Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 Hosted by @missloloh_ @djfantastic255 #TheSparkShow
Ujenzi wa barabara ya Iringa kuelekea Hifadhi ya Taifa ya Ruaha umetajwa kuwa kichocheo cha kuimarisha shughuli za utalii ndani ya hifadhi hiyo, huku ukifungua fursa za kiuchumi kwa wananchi…